Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Kuna thread nilichangia mada kuna mrusi akani quote "naona shoga unawatetea mashoga wenzako" sikupenda kabisa ikabidi nimblock tu. Sijajua kwa nini mtu ukitoa mawazo yako huru mtu ana ku attack na jambo ambalo anajua litakukwaza!
Kamanda kwa dalili hizo ukiwa na smg hutaacha kuwamwaga ubongo wapinzani wa wazo lako .
Ukikashifiwa jibu kwa hoja. Usimblock atakosa elimu
 
Pro Russia wengi wanaongozwa na mihemko ya kidini eti wanamkomoa Mrekani Bwana Utam
Wewe itakua ndio unamkomoa US sababu RUSSIA waislam wamadheheb gani wale MKUU je UCHINA nao waislam wamadheb gani nao!!?
Shida unataka kuugeuza huu uzi kuwa wakidini jamaa unatuchukia sana waislam sijui tulikukosea nini
Tusamehe MKUU ila
US hachukiwi kwa UDINI sababu wenyewe hawana dini nandio maana wanafikia kuchagua LESBIAN pale IKULU ama UKRISTO unaruhusu huo ULESBIAN makanisani!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmoja kati ya Pro Russo wanaohimili joto la mjadala huu bila kuwakwaza wengine kwa lugha za maudhi ni wewe.Kongole kwako.
Ahsante MKUU
Mie nimeona mengi nikiona unakuja na natusi sikujibu ama nakwambia halaf kwaheri
Nandio maana mpaka sasa sija ignore yeyote nawala sita ignore
Nawala sitatukana mtu haya mambo yamitandaoni hayawezi yakafanya nimtusi mtu kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee umeua .....yaani wasipoelewa hapo basi wasubir siku wakizaa mtoto dume jike ndo watajua unamaanisha nn...
 
😀😀😀❤ umetisha mkuu kwai saiv upo russia daaa
Nadhani sasa vijana hawa undergraduate wataweka heshima,maana kwa elimu zao hizi za kugoogle kila kitu huwa wanajiona wanajua kila kitu[emoji3]
Jamaa ametoa hoja zinazo eleweka ila wewe ni pro ukraine ambaye ni mweupe
 

Ha ha ha!! Nyie huwa mnamuabudu yeyote anayeshindana na Marekani, kwenu haijalishi kama ni kafiri au mpagani, almradi anathubutu kutunisha misuli dhidi ya Marekani.....
 
Kwaiyo saiv upo kwa mzee putin unakula upepo tu, heshima yako ila mimi ni mzee kijana

Usichukie sana kila mahali pawe na A na B ila hoja nimsingi wa mambo yote
 
Kwaiyo saiv upo kwa mzee putin unakula upepo tu, heshima yako ila mimi ni mzee kijana

Usichukie sana kila mahali pawe na A na B ila hoja nimsingi wa mambo yote
Vema sana
 
Wewe ni msaidizi wa Mzee Kinana ?

Alafu usisahau kumuombea Musiba msamaha kwa Kinana na Membe.

Kuna kipindi ulipotea humu, hasa baada ya zile 'clip' za mazungumzo yenu kuvujishwa ila baada ya uteuzi wa Kinana na wewe umerejea kwa kasi sana.
britanicca
 
Kwani we ndo Musiba mkuu ! Acha utani mi si msaidizi wa Kinana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…