Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Naombeni majibu kwa haya maswali msiruke nawakubali kwa fact wapenda amani.

Ni sababu zipi za msingi zinazokufanya uwapinge?

Na kama mnadai kavamia nchi huru kwanini aivamie Ukraine na si nchi nyingine?

Na kama mnadai anaua hovyo raia na kupiga majengo na sio kambi za jeshi au wanajeshi wapo wapi? Human shield ikitokea ni action ipi inapaswa kufuatwa?

Je kama wapinga vita wanataka amani hizo silaha mnapeleka za nini ?

Hayo matwakwa ya mrusi wakiyafata wanapungukiwa nini?

Mrusi angeweka silaha zake Cuba reaction ya US ingekuwaje?

Vipi urusi akubali nato aweke silaha Ukraine ila na yeye akaweke Cuba marekani angekubali?

Mwisho, mnaodai urusi kashindwa vita kuimaliza kwanini akishambulia mnalalamika na akitulia mnabeza, shida nini?
naona kimya ngoja nitag mmoja mmoja ila ukijistukia jibu mapema pro nato Nyamizi
 
Kuna Mrusi mmoja humu wa buguruni kwa Mnyamani wa kuitwa green rajab na mwenzie Mrusi wa Tandika kaburi 1 STRUGGLE MAN

Hao jamaa kwanza source zao huwa hazipatikani mtandaoni kirahisi kuzipata lazima uwe pembeni na google translate ya Russian na kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin )

Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga

Pro Ukraine hawashabikii mtu bali wanasimamia facts,

wanasimamia haki, hawapendi uonevu. Wengi jata Zelensky hawamjui ni nani. Ni watu fulani peace sana, ukiwa challenge hawakuchukii watakupa mkono wa kirafiki.

Upande mwingine kuna Pro Putin, hata hawaijui Russia, wanayemjua ni Putin tu, ni watu wenye visirani, huwa wanaongozwa na chuki na ushabiki. Wao wakigundua hauiungi mkono Russia wanaamua kukukatia story, wanachagua kukuchukia na kuona umetumwa na US.

Kuwakuta wenye uelewa na wanaokubali challenge na facts kama @⁨Kalamu1⁩ ni wachache sana, utatafuta hadi uchoke

Cha msingi watu tunatofautiana katika hili Lakin unakuta lingine tunakubaliana

Johhana leta maneno, wapi Nafaka na Nyamizi

Namshukuru Mwanangu Thadeusi Musembi mchambuzi fulani ambaye hatakaa ajue Kama namfuatilia sana

Cc britanicca

Sky Eclat
Upo sahihi kabisa Mwl, hawa Pro -Putin ni vyema wajisomee kuhusu Urusi na Putin ili waelewe kinachoendelea hapo Ukraine sio ustaarabu na sio haki.
Kichuguu Jackal
Tsh Root
Kalamu1
Frank Wanjiru
dudus
 
Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin )

Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga

Pro Ukraine hawashabikii mtu bali wanasimamia facts,

wanasimamia haki, hawapendi uonevu. Wengi jata Zelensky hawamjui ni nani. Ni watu fulani peace sana, ukiwa challenge hawakuchukii watakupa mkono wa kirafiki.

Upande mwingine kuna Pro Putin, hata hawaijui Russia, wanayemjua ni Putin tu, ni watu wenye visirani, huwa wanaongozwa na chuki na ushabiki. Wao wakigundua hauiungi mkono Russia wanaamua kukukatia story, wanachagua kukuchukia na kuona umetumwa na US.

Kuwakuta wenye uelewa na wanaokubali challenge na facts kama @⁨Kalamu1⁩ ni wachache sana, utatafuta hadi uchoke

Cha msingi watu tunatofautiana katika hili Lakin unakuta lingine tunakubaliana

Johhana leta maneno, wapi Nafaka na Nyamizi

Namshukuru Mwanangu Thadeusi Musembi mchambuzi fulani ambaye hatakaa ajue Kama namfuatilia sana

Cc britanicca

Sky Eclat
Umesahau lile jambo lao la masuala ya jinsia.
 
Lakini hii siyo sababu ya msingi ya huu mgogoro au Putin aliiweka pia katika sababu za kuivamia Ukraine?
Labda NATO wanataka kuiweka urusi kinganjani ili waendelee kiulaini ueneza mambo Yao?na mambo yako ni kina ushoga na mengine maovu si walitaka waichukue Ukraine ili waweke military base yao ili wawe na uwezo wa kuipiga urusi? of course hamuwezi kuelewa mmeshikiwa akili.
 
Kuna thread nilichangia mada kuna mrusi akani quote "naona shoga unawatetea mashoga wenzako" sikupenda kabisa ikabidi nimblock tu. Sijajua kwa nini mtu ukitoa mawazo yako huru mtu ana ku attack na jambo ambalo anajua litakukwaza!
heheeee pole MKUU
maana nimecheka kama mazuri kwakweli asee
ila kwa hapo wanayumba sana pro RUSSO wenzangu nawaona wengi wanahio kawaida
ingawaje west wanaunga mkono hayo mambo ila sidhanii kama nihalali kuwabandika wenziwao humu ambao hata hamujuani
 
Mbona hujamlizia kusema kwa na wewe pro Ukraine kindakindaki Bora wakuue.

Russia & USA wote ni monster sisi wote tumechagua upaande wa kusabikia, stick to your side hio democracy unaiona na huruma mnayo jitiisha, Kuna watu Dunia wanahitaji huruma kama hio lkn hamjawah hata siku moja kuwaonea huruma .
IMG_20220425_150208.jpg
 
Ukweli kabisa binafsi sipendi uonevu,tangu mwanzo nilijaribu sana kuzielewa sababu za Putin kuivamia Russia lakini zilikuwa haziniingii akilini.Nimejaribu kuwa mdadisi kwa walioko upande wa Putin hakuna anaekuja na sababu zenye mashiko,sana sana utaambulia kukashfiwa tu.

Kuna watu hawa pia Imeloa Tsh Proved Aleyn dudus na wengine wengi.Hawa watu wamenifanya kuona kumbe kile nilichokiamini tangu mwanzo wa huu mgogoro nilikuwa sahihi.
Hazikuingii akilini either ni kwa sababu umeshachagua upande wa kushabikia au akili hizo za kuelewa sababu zao hazipo au vyote kwa pamoja
 
Pro Ukraine hawajuagi kitu yaani Wana mihemko wakati pro Russia ni watu wa facts.mfano wewe huna facts hapo.
facts , kwa kushanibikia Urusi kisa USA aliivamia Mashariki ya kati , mnasahau inayovamiwa ss hv ni Ukraine , kiufup Pro Russia huws dish limeyumba
 
Kwanza naungana na wewe kuhusu utani na mengine.
Ila Pro Russian ndio tunasimamia ukweli ma fact. Kuwa dunia inafumbia macho uovu anaofanya US na genge lake, lakini wa Russia ndio mnapiga kelele. Tunachotaka mpige kelele hizi hizi kwa uovu anaofanya US. US ameua sana watu kwa kigezo cha demokrasia pale North Korea, Vietnam, kavuruga sana nchi za South America na kuweka madikteta.
Lakini haya yote kwemye historia ni kama minor events.
Pro Russia tunapinga double standards. Pale Palestina Israel almost anachukua eneo lote lakini mmefumba macho kama vile some people are more humans than others.
kwahiyo kama USA akikosea basi ndo Mataifa mengine yaendelee kukosea ? USA ndo kipimo cha usahihi ? mkiambiwa mnaiabudu USA mnalia lia
 
Back
Top Bottom