Tathmini ya Chabruma Juu ya Upigaji Kura BMK, Chereko kwa CCM, Kilio kwa UKAWA,AKIDI KIULAINI

Mkuu Chabruma hivi kwlei nina sababu ya kuendelea kukuamini kweli kutokana na habri hii hapa chini?

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-akamatwa-baada-ya-kupiga-kura-ya-hapana.html

Last edited by a moderator:
Umeona vipengele alivyokataa na uzito wake?
Mwisho nikwambie kuwa hakuna akidi na kuipata ni ndoto.Sitta ameshakubali kuwa yeye ni mwehu ma mjuha wa kijinga!
Huna akili wewe!!
Kwani kukataa kwake vifungu hivyo kutaathiri nini kupata katiba mpya? By the way kuna hatua nyingine ya mashauriano. Atakaa sawa tu
 
Chabruma;

Tatizo la Togwa za Litapwasi, kasaidie wenzio huko kunya hawanyi ila kuharisha matata!
 
Last edited by a moderator:
Chamruma Hivi Utaweka Wapi Macho na uso wako kwa watanzania mechakachua Maoni ya wananchi wananchi tumewangalia tu sasa mejipigia hesabu za wongo tumewangalia tu hivi mnajua mlitendalo kweli? Tukutaneni barabarani ndio mtajua tunachofikiria juu yatanzania ya kesho... Viva Ukawa
 
Kwamba kura zote za siri ni za NDIYO.....heheheheheeeeee....hii nchi ya mazingaombwe, hata mjinga atasshtukia uharamia huu
 
Mkuu Chabruma hivi kwlei nina sababu ya kuendelea kukuamini kweli kutokana na habri hii hapa chini?

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-akamatwa-baada-ya-kupiga-kura-ya-hapana.html
Onyo! Epuka uzushi. Soma Updates za yanayojiri Bungeni leo

**************************UPDA TES************************** OTHMAN MASOUD, Mwanasheria wa Zanzibar ambaye alijitoa kwenye kamati ya Uandishi na kususa vikao vya Bunge akidhaniwa kuwa ameungana na UKAWA ameingia Bungeni. Amepiga kura ya wazi ambapo amepinga kura ya NDIYO . Amekataa Ibara za 2,9,86,70 hadi 75, 128, 129,158,159,160,161,243 hadi 251 pamoja na nyongeza ya kwanza
 
Mchakato wa katiba mpya ni vita. Usifikiri mtaachwa tu mnacheza rafu zenu. Kwa nini muwafungie watu ili wasioige kura?
 
Kwamba kura zote za siri ni za NDIYO.....heheheheheeeeee....hii nchi ya mazingaombwe, hata mjinga atasshtukia uharamia huu
NDIYOOOOOOOOOOOOO! Zatawala upigaji kura
 
Hii ni propaganda ya kuhalalisha wizi wa kura,umefikiaje hitimisho wakati kura za siri matokeo bado?!!

Umejuaje kura za fax na emails kama hujatumwa kuandika mazingira ya kuhalalisha ushenzi wa CCM na vibaraka wake??!!
 
Kwa vile hunijui, ni haki yako kujiuliza maswali hayo
 
Mkuu Chabruma nasikia mwanasheria mkuu wa Zanzibar baada ya kuwaumbua kwa kura ya hapana mumweka kizuizini
 
Last edited by a moderator:
Umeona vipengele alivyokataa na uzito wake?
Mwisho nikwambie kuwa hakuna akidi na kuipata ni ndoto.Sitta ameshakubali kuwa yeye ni mwehu ma mjuha wa kijinga!
Huna akili wewe!!
Neno kujidanganya linaweza kuwa na matumizi makubwa safari hii zaidi ya nyakati zingine zile.
ccm wananikumbusha dada mmoja Mwafrika aliyependa sana uzungu na akaona njia ya mkato ni kujipaka mkorogo. Baada ya kuona ule weupe akajipongeza kwa sherehe kubwa kuwa "mimi sasa ni mzungu" kana kwamba ilikuwa dhambi kuwa mweusi!
Hivi kuna anayeweza kushindana na UKWELI!?

Chabruma

Bdo kdgo tu hii thread utaitafuta uifute manake ulichokiandka ndcho ulichokiwaza kingetokea lakn hakitokei.
Tatzo lenu hamtaki kuamin kua mnaanguka tena anguko kuu mfano wake cjaona, hivyo mnabak kutupa ndoto za alinacha hapa
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli mnashaurika, ninawashauri Ma-CCM mkubali tu matokeo, yaishe!!! Kuthubutu kuzibadili HAPANA za wazi zilizoonekana laivu, kuwa NDIYO, itakuwa ni kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi !!!! Yetu macho na masikio !!!!!
 
Bdo kdgo tu hii thread utaitafuta uifute manake ulichokiandka ndcho ulichokiwaza kingetokea lakn hakitokei.
Tatzo lenu hamtaki kuamin kua mnaanguka tena anguko kuu mfano wake cjaona, hivyo mnabak kutupa ndoto za alinacha hapa
Mkuu, hicho mnachokiamini Sitta na timu yake wamekishtukia. Tatizo mlimwaga mboga kwa matarajio kuwa mnabaki na ugali then mle hata kww chumvi. Sitta kawanyang'anya huo ugali mnabaki kutapatapa tu
 
DONDOO MUHIMU ZA ZOEZI LA UPIGAJI KURA

* Wabunge wa UKAWA waliopiga kura za Mtandao ni wawili na wote ni wa Zanzibar Wote wamepiga kura ya NDIYO.
*Tumpambe Sitta Mauaaaaaaaaaaaa!

Kama hujapandwa na MAPEPO ya uwongo ndo ukaandika huu uzi hebu wataje kwa majina hao wajumbe wa UKAWA waliopiga kura.
 
Tuondolee maneno ya saloon haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…