Huu ndiyo ukweli mchungu na ndiyo maana labda hata TBC taifa ikawepo kuuhabarisha umma:
Mbowe anaashiria maridhiano yalikwama kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu.”
Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe, Samia is just a pure soul.
Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila anasema malimbikizo ya ruzuku ni kwa sababu wao walikataa kuipokea.
Pia anasema haiwezekani kubadili uongozi katikati ya mapambano. Strongman mentality.
Pia kwa hotuba yake msamiati wa term limit haipo kwenye kamusi yake.
Kwa ujumla Mbowe hajasema lolote kuhusu kubadili strategy ya mapambano wala kujibu hoja kuwa yeye ni mteremko wa CCM kufanya yake.
Walau inaonekana, ndani ya Chadema kuna kusigana kwa muda mrefu na hii ndio sababu hata kwenye operation za Chadema, Lissu anatumia gari yake binafsi.
Pia soma: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura
Pia walau ni wazi kwa muda kuwa wakati Lissu akifanya peoples movement, wenzake wapo katikati ya movement na kushangilia mfumo wanaodai kuwatesa.
Nikiona vijana wanaharakati ambao kila siku wanasema free DEUSDEDITH SOKA
et al, wapo na Lissu na waliosema DEUSDEDITH SOKA anajitekenya wapo na mwamba (nusu-jiwe). This says much.
Wale akina mama 19 waliosemekana walipelekwa bungeni na Ndugai wapo na Mbowe…….
Balile anapata wapi nafasi ya ku moderate? Balile si ni CCM kabisa na kama ana la ziada ni wakala?
Ni ngumu sana kuamini kuwa utawala wa vyama vya upinzani haupo mikononi mwa mawakala wa mfumo tawala kuigiza kuna vyama vingi.
Namna CHADEMA establishment wanavyopambana na Lissu, CHADEMA sio siku nyingi ipo kwenye mserereko.
Lissu tu kutangaza kugombea uwenyekiti, imekuwa nongwa.
Kuna maneno kuwa mwenyekiti katikati ya kampeni 2020 alisema “Lissu anadhani atamshinda Magufuli “?……..
Anyway, kuna watu wanamtengenezea Samia ushindi bila kupora kura kama kawaida ya CCM.
"Kwa hisani ya Ole Shangay". Mwana harakati kule Loliondo.
Tungali tuna safari ndefu!