Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Sajini aliyekuwa anauza ukurugenzi kwa milioni tano na ukuu wa idara kwa milioni 2 ? Au sajini gani unamzungumzia. ? Huyu Sajini aliyefukuza watu kazi tamisemi kwa kuwaonea.Pole sana kumbe huwajui watu bado. Hata Huyo atakayemtuma amfanyie vetting anaweza kumhonga pia
 
Rais mstaafu kikwete apatiwe kazi maalumu ya kuwashawishishi wawekezaji nje kuja nchini kuwekeza atengewe fungu la kwenda huko huko kuwafuata dr kimei apatiwe viwanda biashara hivi vichwa viwili vinaweza kufanya maajabu makubwa sana
 
Futa wafuatao:-
2.Sagini (Butiama) - aende TAMISEMI
3. Prof. Ndalichako - abaki pale pale
4. Prof. Muhongo - aende Madini
Mwigulu - abaki pale pale
7. Bashe - apandishwe either Kilimo au Biashara au ujenzi
8. Kabudi - abaki pale pale
9. Zungu - abaki pale pale. Naibu wake awe Mrisho Gambo
Hili baraza lakidini nini?
 
Rais mstaafu kikwete apatiwe kazi maalumu ya kuwashawishishi wawekezaji nje kuja nchini kuwekeza atengewe fungu la kwenda huko huko kuwafuata dr kimei apatiwe viwanda biashara hivi vichwa viwili vinaweza kufanya maajabu makubwa sana
Wizara ya hela au pesa apewe bashe anajuwa tumekwama wapi kiukweli jamaa anajua uchumi
 
Sijamuona hamisi wa Nzega
Jafo wa Kisarawe
Mpina
Doto wa madini

Ingizo jipya
Namuona gambo
Katambi
Kwenye michezo Abasi tarimba
Salma Kikwete
Babu Tale
Mwana F A
James Mbatia
Kitila Mkumbo

Kwenye mikoa
Dar makonda
Sebaya Kilimanjaro
Anna gwhira Arusha
Jerry Muro
Joshua nassary
 
Sijamuona hamisi wa Nzega
Jafo wa Kisarawe
Mpina
Doto wa madini

Ingizo jipya
Namuona gambo
Katambi
Kwenye michezo Abasi tarimba
Salma Kikwete
Babu Tale
Mwana F A
James Mbatia
Kitila Mkumbo

Kwenye mikoa
Dar makonda
Sebaya Kilimanjaro
Anna gwhira Arusha
Jerry Muro
Joshua nassary
Makonda alisema ukuu wa mkoa sasa basi inatosha
 
Back
Top Bottom