UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kwenye uchumi wa daraja la kwanzaInapaa kwenda wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye uchumi wa daraja la kwanzaInapaa kwenda wapi?!
Labda uchumi wa viongozi wa juu wa chama na serikali maana wao ndio wanaofaidi keki ya taifa.Kwenye uchumi wa daraja la kwanza
Bado inachechemea 🤣🤣🤣Inamaana nchi haijapaa tu bado?
Gwajima atapewa hiyo wizaraKWANN TANZANIA HATUNA WAZIRI WA PROPAGANDA NA DINI?
Hili baraza lakidini nini?Futa wafuatao:-
2.Sagini (Butiama) - aende TAMISEMI
3. Prof. Ndalichako - abaki pale pale
4. Prof. Muhongo - aende Madini
Mwigulu - abaki pale pale
7. Bashe - apandishwe either Kilimo au Biashara au ujenzi
8. Kabudi - abaki pale pale
9. Zungu - abaki pale pale. Naibu wake awe Mrisho Gambo
Wizara ya hela au pesa apewe bashe anajuwa tumekwama wapi kiukweli jamaa anajua uchumiRais mstaafu kikwete apatiwe kazi maalumu ya kuwashawishishi wawekezaji nje kuja nchini kuwekeza atengewe fungu la kwenda huko huko kuwafuata dr kimei apatiwe viwanda biashara hivi vichwa viwili vinaweza kufanya maajabu makubwa sana
Fedha huwezi ukamuacha Dr Mpango aliedumu kipindi chote 5yrs.Wizara ya hela au pesa apewe bashe anajuwa tumekwama wapi kiukweli jamaa anajua uchumi
Hadi dini inaangaliwa mzee, tanga watatoa Ummy na FA, Shonza atampisha FAMawaziri na Manaibu Waziri Tanzania huteuliwa kwa kufuata pia jiografia ya Nchi yetu.
Makonda alisema ukuu wa mkoa sasa basi inatoshaSijamuona hamisi wa Nzega
Jafo wa Kisarawe
Mpina
Doto wa madini
Ingizo jipya
Namuona gambo
Katambi
Kwenye michezo Abasi tarimba
Salma Kikwete
Babu Tale
Mwana F A
James Mbatia
Kitila Mkumbo
Kwenye mikoa
Dar makonda
Sebaya Kilimanjaro
Anna gwhira Arusha
Jerry Muro
Joshua nassary
ShonZa na bashungwa wapumzishwe kwa uzee upi walio nao , wamefanya kazi nzuri sana