Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndio walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndio anawazidi kwa akili zake fupi.
Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye mitandao mbalimbali kinyume kabisa na sheria za privacy.
Sasa hii ni zamu ya watu kutema nyingi na hakuna mtu wa kumfichia madhaifu yake Maana hata yeye hakuwa na muda huo.
Next time msirudie kuchagua walimu kuwa Marais Maana hawana akili isipokuwa Nyerere tu. Mbona Mkapa hasemwi Wala kupondwa?