imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hapa ndio wamefika hao mayatima na wajane wa Mwendazake.Unajitafutia matusi kutoka kwa sukuma gang.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio wamefika hao mayatima na wajane wa Mwendazake.Unajitafutia matusi kutoka kwa sukuma gang.
Wapi ile 1.5trillion?Haya sawa ila umesikia kuwa milioni 480 zimetumika kutangaza matokeo ya Sensa..??[emoji2][emoji2][emoji2]
Bila kuiondoa ccm usitegemee tuishi maisha boraWizi wizi wakati wananchi wanakosa maji na wako kwenye mgawo umeme!!
Nchi ngumu saana!!
Lkn nyinyi ndiyo mliokuwa wa kwanza kumpigia kuraAkikosea Mwl mmoja siyo wote tumekosea....afu walimu alituchukia balaas sijui tulimkosea nn daaa
Unamuuliza nani..?? Utajiju..😃😃Wapi ile 1.5trillion?
Yani maza anabalans vema kabisa. Easy going and just let it flow like a river down the stream. Kikubwa ni amani na utulivu ili mtanzania apate anachopenda ngono na umbea kwenye mazingira siyo ya uwoga na kutishwatishwa
Nimecheka sanaUna maana Maza anaongoza Mazombie?!
Uwii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Yani maza anabalans vema kabisa. Easy going and just let it flow like a river down the stream. Kikubwa ni amani na utulivu ili mtanzania apate anachopenda ngono na umbea kwenye mazingira siyo ya uwoga na kutishwatishwa
Kumbe na wewe ulitumbuliwa!!Mtu mwenye kujielewa hawezi kumshabikia yule mwehu, hakuwa na wisdom wala vision ya kuwa kiongozi wa nchi
HV kweli alikuwa Mwalimu Kisha ubunge na uwaziri Kisha urais ,aise watu wanabahati mnoYule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndo walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndo anawazidi kwa akili zake fupi.
Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye motandaobalimbali kinyume kabisa na sheria za privacy.
Sasa hii ninzamu ya watu kutema nyingi na hakuna mtu wa kumfichia madhaifu yake Mana hata yeye hakuwa na mda huo.
Next time msirudie kuchagua walimu kuwa Marais Mana hawana akiri ispokuwa nyerere tu. Mbona mkapa hasemwi Wala kupondwa?
Sijui waliompigia....but mi ni chama pinzani but naambiwa sipaswi kuonyesha hisia zangu coz nimeajiriwa na chama tawala....ivo nimebaki kuchekacheka tu.(so sad)Lkn nyinyi ndiyo mliokuwa wa kwanza kumpigia kura
Ndivyo,na mke walishaachanaga kitambo... Alivyopata urais tu wakaenda kumbeba na kumtulia miguuni....aisee... Watu wanaraha sanaHV kweli alikuwa Mwalimu Kisha ubunge na uwaziri Kisha urais ,aise watu wanabahati mno
Nazo zinaenda mpaka kwa madanga.perdiem
Dikteta kapotelea udongoniYule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndo walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndo anawazidi kwa akili zake fupi.
Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye motandaobalimbali kinyume kabisa na sheria za privacy.
Sasa hii ninzamu ya watu kutema nyingi na hakuna mtu wa kumfichia madhaifu yake Mana hata yeye hakuwa na mda huo.
Next time msirudie kuchagua walimu kuwa Marais Mana hawana akiri ispokuwa nyerere tu. Mbona mkapa hasemwi Wala kupondwa?
MkuuMtu mwenye kujielewa hawezi kumshabikia yule mwehu, hakuwa na wisdom wala vision ya kuwa kiongozi wa nchi
Kiukweli yule jamaa mtwara watu hawana hamu nae kabisaJiwe alibutua na kuawachia mimba watu wengi sana!
Moja wapo ni mleta mada! Eti nae anammiss
Yule mzee aliamini nguvu ndio suluhisho la kila tatizo! Ni kama kichaa kapewa rungu, chakula hakijaiva, piga rungu sufuria! Kuna mbu kwenye pum**, piga rungu!Mtu mwenye kujielewa hawezi kumshabikia yule mwehu, hakuwa na wisdom wala vision ya kuwa kiongozi wa nchi
Hao watapita kama upepo na tutawasahau hakuna lolote la maana wamefanya kwenye nchi hii ya kukumbukwa.Hawa Three Musketeers wamesema, hatokaa itokee tena, kuliweka limbulula jingine....
View attachment 2403339
Alikuwa na kila mamlaka ya kuwadhibiti waliokuwa wakimhujumu ndani ya chama, lakini hakufanya, akachagua ku deal na wapinzani na kuwafilisi, kuwafunga na wengine kuwauaMkuu
Huo unaouita wehu hata wewe ungepewa ungeupata Sana kama WEWE ni mzalendo!!
Ni Bora angepita kwa kupitia UPINZANI kuliko NDANI ya CHAMA Tawala!
Ndani ya chama alipigwa vita Sana,wakaanza kumhujumu akashindwa kuvumilia na kupata jazba Sana kimaamuzi!vingine alijitahidi kufanya Siri tu!kifupi NDANI ya CHAMA walimfrustrate Sana utaona kupitia speech zake!!
Kumbuka chama kilikuwa Hakina mvuto kabisa akaitumia nembo ya jina lake!!
Kama ningekua SEHEMU ya MAAMUZI ya nchi hii,Ningeshauri agombee kupitia nccr mageuzi aungwe mkono na ukawa!halafu ashinde akiwa huko!ingemfaa Sana!kuliko chama Tawala KWA kipindi kile!!
Hata wewe ungepata frustration kibao kama ungeshinda kupitia chama Tawala KWA kipindi kile,wapiga dili wangekuhujumu Sana na kufanya MAAMUZI ya pupa na Binafsi japo una nia NJEMA ya kizalendo!
Hayati ni sadaka itakayoleta chachu ya Mabadiliko makubwa Sana yajayo ya nchi Hii!!!