butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Machinga wameanzia awamu ya tano?Nchi chini ya mama inakwend vizuri Sana kila kitu kinakwenda in positive direction unlike the machinga regime of jpm. Every educated was prepared to be a machinga. This was a disaster.
Wewe utakuwa siyo Mtanzania!
Shida yenu mlitaka JPM aongoze nchi Kama Kikwete,hiyo haowekani Duniani kote,kila Rais ana mipango na maono yake.Ndiyo maana style ya Nyerere,Rais Mwinyi akuifuata sawa na Mkapa ambavyo akufuata style ya Mwinyi na JK ambavyo hakufuata style ya Mkapa na JPM vilevile hakufuata style ya Kikwete na Mama vilevile hafuati style ya JPM!