Machinga wameanzia awamu ya tano?Nchi chini ya mama inakwend vizuri Sana kila kitu kinakwenda in positive direction unlike the machinga regime of jpm. Every educated was prepared to be a machinga. This was a disaster.
Mbona mkapa na nyerere hawasemwi? Yule bwana anatumika Kama reference ya viongoxi wabovu kuwahi kutokea dunianiOndoka usemweView attachment 2403259
Uko sahihi Mkuu ona alivyosimuliwa hapa 👇Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndo walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndo anawazidi kwa akili zake fupi.
Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye motandaobalimbali kinyume kabisa na sheria za privacy.
Sasa hii ninzamu ya watu kutema nyingi na hakuna mtu wa kumfichia madhaifu yake Mana hata yeye hakuwa na mda huo.
Next time msirudie kuchagua walimu kuwa Marais Mana hawana akiri ispokuwa nyerere tu. Mbona mkapa hasemwi Wala kupondwa?
Sema kuongoza miili mzeeKuongoza Roho milioni sitini yataka utulivu kama huu wa Maza.
Una maana Maza anaongoza Mazombie?!Sema kuongoza miili mzee
Roho hana uwezo wa kuongoza
Anaongoza miili milioni 60Una maana Maza anaongoza Mazombie?!
Miili bila Roho ni Mifugo kama Ng'ombe Mbuzi na Wanyama wa Mwitu.Anaongoza miili milioni 60
roho hawezi kuongoza maana hata roho yake inahitaji kuongozwa
Ngedere mmeachiwa shamba. Mtamsfia kwa kila kitu mwenye shamba so long hawafanyii bugudhaZimeingia kwenye mzunguko mzee..
Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndo walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndo anawazidi kwa akili zake fupi.
Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye motandaobalimbali kinyume kabisa na sheria za privacy.
Sasa hii ninzamu ya watu kutema nyingi na hakuna mtu wa kumfichia madhaifu yake Mana hata yeye hakuwa na mda huo.
Next time msirudie kuchagua walimu kuwa Marais Mana hawana akiri ispokuwa nyerere tu. Mbona mkapa hasemwi Wala kupondwa?
Yani maza anabalans vema kabisa. Easy going and just let it flow like a river down the stream. Kikubwa ni amani na utulivu ili mtanzania apate anachopenda ngono na umbea kwenye mazingira siyo ya uwoga na kutishwatishwaKuongoza Roho milioni sitini yataka utulivu kama huu wa Maza.
Tuko Milioni sitini na moko,viuno vinakatwa sio mchezo.mtanzania apate anachopenda ngono
Unajitafutia matusi kutoka kwa sukuma gang.Kuongoza Roho milioni sitini yataka utulivu kama huu wa Maza.
Alafu akatudanganya kuwa kwenye nafasi hiyo alisukumizwa tuMtu mwenye kujielewa hawezi kumshabikia yule mwehu, hakuwa na wisdom wala vision ya kuwa kiongozi wa nchi