Najiuliza sana kama naweza kurudi Toyota. Sema ukiendesha Sport package iko harsh utatamani Crown.Nilionja siku moja kuendesha BMW 320i kutoka banana hadi kariakoo...hakika wajerumani wametuacha mbali Sana, pamoja na ishu za gari zao kuwa na changamoto ya pump bado hizo gari ziko juu sana
Najiuliza sana kama naweza kurudi Toyota. Sema ukiendesha Sport package iko harsh utatamani Crown.
Kitu stiff suspensions.Najiuliza sana kama naweza kurudi Toyota. Sema ukiendesha Sport package iko harsh utatamani Crown.
Kuwa mechanical au kutokuwa mechanical huwa inategemea hiyo pump iko powered na nini?Mechanical water pump ipoje kwan hio ya umeme sio mechanical?
Wazee acheni kuniponda jamani mzee wa Yokohama ama Nakayama π kule ndio gari zinatoka
Gari za mzungu ni problematic. Wanatumia finest materials ila gari ni mbovu hazina raha kumilikiWewe story za kuponda gari za mzungu you are in kujazia nyama na supu.
Na majamaa yalificha parts zake sehemu ngumu ngumu kuzi-access ili kuua DIY na Gari zao zipelekwa kutengenezwa kwa Dealers tu.
Maana Kama huna specialized tools zao hamna kitu mtu utafanya.
Gari za mzungu ni problematic. Wanatumia finest materials ila gari ni mbovu hazina raha kumiliki
Wasipoficha Mjapani atapiga chabo kirahisi..!Na majamaa yalificha parts zake sehemu ngumu ngumu kuzi-access ili kuua DIY na Gari zao zipelekwa kutengenezwa kwa Dealers tu.
Maana Kama huna specialized tools zao hamna kitu mtu utafanya.
πππ Mjapan Ni master wa simplicity,muasisi wa kaizen.Hana haja ya vitu complicated chief.Wasipoficha Mjapani atapiga chabo kirahisi..!
wazee wa kanagawa toyota ukiwaeleza gari ya mzungu wanaona unaongea nini sijui, na ukataufuta nao ni sababu mojawapo ya kuogopa gari za mzungu ukikaa pale uyole uone wazambia wazimbabwe na wacongo vitu wanavyopeleka kwao unajisemea kweli wabongo ni waoga sana tatizo hatuna exposure wengi wetu we kila siku Mwenge-Mwananyamala utaielewa vipi bmw na ushazoea kuona passo na ist road!...gari ya mzungu ni the best when it comee to quality & performance....mjapani gari aliyoweza ni cruiser na crown tu mengine hakuna kituWazee acheni kuniponda jamani mzee wa Yokohama ama Nakayama π kule ndio gari zinatoka
kitu DY ππππ.. anatafuta mtu wa kumtwisha fedhehaMpaka mtu anafikia maamuzi haya, unahisi atakuwa amekutana na nini..??
Yaani yupo radhi apewe Passo pistoni 3 aachie ndinga kali...
European cars zina wenyewe....siyo za kila mtu...View attachment 2102262
...amenitisha hapo aliposema... exchange kwa gari yoyote...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji85][emoji85][emoji85]kitu DY [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. anatafuta mtu wa kumtwisha fedheha
wazee wa kanagawa toyota ukiwaeleza gari ya mzungu wanaona unaongea nini sijui, na ukataufuta nao ni sababu mojawapo ya kuogopa gari za mzungu ukikaa pale uyole uone wazambia wazimbabwe na wacongo vitu wanavyopeleka kwao unajisemea kweli wabongo ni waoga sana tatizo hatuna exposure wengi wetu we kila siku Mwenge-Mwananyamala utaielewa vipi bmw na ushazoea kuona passo na ist road!...gari ya mzungu ni the best when it comee to quality & performance....mjapani gari aliyoweza ni cruiser na crown tu mengine hakuna kitu
Mpaka mtu anafikia maamuzi haya, unahisi atakuwa amekutana na nini..??
Yaani yupo radhi apewe Passo pistoni 3 aachie ndinga kali...
European cars zina wenyewe....siyo za kila mtu...View attachment 2102262
wazee wa kanagawa toyota ukiwaeleza gari ya mzungu wanaona unaongea nini sijui, na ukataufuta nao ni sababu mojawapo ya kuogopa gari za mzungu ukikaa pale uyole uone wazambia wazimbabwe na wacongo vitu wanavyopeleka kwao unajisemea kweli wabongo ni waoga sana tatizo hatuna exposure wengi wetu we kila siku Mwenge-Mwananyamala utaielewa vipi bmw na ushazoea kuona passo na ist road!...gari ya mzungu ni the best when it comee to quality & performance....mjapani gari aliyoweza ni cruiser na crown tu mengine hakuna kitu
kitu DY ππππ.. anatafuta mtu wa kumtwisha fedheha
Acha kuogopa.... π€£...amenitisha hapo aliposema... exchange kwa gari yoyote...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji85][emoji85][emoji85]
πππ ashushe tena kidogoo eehAf trust me gari hiyo inaweza kuwa na shida ndogo tu. Ila sababu imeshamnyanyasa hatamani hata kuiona tena.
Sema kwa hiyo bei bado atakaa nayo sana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hii Nissan nina historia nayo ya kipekee...nataka ikae hata nije kumpa ndugu kwa laki 3Mkabidhi Nissan vuta Chuma hicho ule maisha.
DYC aiseee gari inaonekana bado mbichi, huenda gari imepata shida na marekebisho yake ameona ni gharama sana. Au zimeshamtoka heka maana kurekebisha kitu fulani.
Wala litakuwa siyo jini. Kwa Tech za Bimmer Cc2000 kwa hiyo gari ina consumption nzuri tu.