Tatizo common kwenye engine za BMW

Tatizo common kwenye engine za BMW

Nilionja siku moja kuendesha BMW 320i kutoka banana hadi kariakoo...hakika wajerumani wametuacha mbali Sana, pamoja na ishu za gari zao kuwa na changamoto ya pump bado hizo gari ziko juu sana
Najiuliza sana kama naweza kurudi Toyota. Sema ukiendesha Sport package iko harsh utatamani Crown.
 
Mechanical water pump ipoje kwan hio ya umeme sio mechanical?
Kuwa mechanical au kutokuwa mechanical huwa inategemea hiyo pump iko powered na nini?

Kama iko powered na umeme then ni electrical.

Kama inazungushwa na engine ni mechanical.

Saiv kuna gari zinakuja engine inazungusha Alternator tu.

Power steering electrical

AC compressor electrical

Water pump electrical.
 
Na majamaa yalificha parts zake sehemu ngumu ngumu kuzi-access ili kuua DIY na Gari zao zipelekwa kutengenezwa kwa Dealers tu.

Maana Kama huna specialized tools zao hamna kitu mtu utafanya.

Ujue tools tunazofanyia sisi kazi zipo basic sana.

Mfano mdogo tu, kuna tool special ya kufanyia timing gari za BMW. Yaani kazi inakuwa rahisiii. Ila wengi hawana. Ila zipo zinauzwa.

Sasa ukitaka uifanyie timing kama toyota ndio lazima ujute.
 
Gari za mzungu ni problematic. Wanatumia finest materials ila gari ni mbovu hazina raha kumiliki

We unataka uopoe demu Masaki halafu uhonge kama unahonga demu wa Bunju.

Wa masaki atakaka macho matatu, gari kuzugia mjini, Kodi ya nyumba, Shipping kila week na pocket money ya kutosha.....
 
Mpaka mtu anafikia maamuzi haya, unahisi atakuwa amekutana na nini..??

Yaani yupo radhi apewe Passo pistoni 3 aachie ndinga kali...

European cars zina wenyewe....siyo za kila mtu...
Screenshot_2022_0131_094235~2.jpg
 
Wazee acheni kuniponda jamani mzee wa Yokohama ama Nakayama 😅 kule ndio gari zinatoka
wazee wa kanagawa toyota ukiwaeleza gari ya mzungu wanaona unaongea nini sijui, na ukataufuta nao ni sababu mojawapo ya kuogopa gari za mzungu ukikaa pale uyole uone wazambia wazimbabwe na wacongo vitu wanavyopeleka kwao unajisemea kweli wabongo ni waoga sana tatizo hatuna exposure wengi wetu we kila siku Mwenge-Mwananyamala utaielewa vipi bmw na ushazoea kuona passo na ist road!...gari ya mzungu ni the best when it comee to quality & performance....mjapani gari aliyoweza ni cruiser na crown tu mengine hakuna kitu
 
We una lipi?? Kwann crown? Engine zake mbna zimetumika kwa gari nyingi sana ..so sababu gani inakufanya useme crown
wazee wa kanagawa toyota ukiwaeleza gari ya mzungu wanaona unaongea nini sijui, na ukataufuta nao ni sababu mojawapo ya kuogopa gari za mzungu ukikaa pale uyole uone wazambia wazimbabwe na wacongo vitu wanavyopeleka kwao unajisemea kweli wabongo ni waoga sana tatizo hatuna exposure wengi wetu we kila siku Mwenge-Mwananyamala utaielewa vipi bmw na ushazoea kuona passo na ist road!...gari ya mzungu ni the best when it comee to quality & performance....mjapani gari aliyoweza ni cruiser na crown tu mengine hakuna kitu
 
Mpaka mtu anafikia maamuzi haya, unahisi atakuwa amekutana na nini..??

Yaani yupo radhi apewe Passo pistoni 3 aachie ndinga kali...

European cars zina wenyewe....siyo za kila mtu...View attachment 2102262

Mkabidhi Nissan vuta Chuma hicho ule maisha.

DYC aiseee gari inaonekana bado mbichi, huenda gari imepata shida na marekebisho yake ameona ni gharama sana. Au zimeshamtoka heka maana kurekebisha kitu fulani.

Wala litakuwa siyo jini. Kwa Tech za Bimmer Cc2000 kwa hiyo gari ina consumption nzuri tu.
 
wazee wa kanagawa toyota ukiwaeleza gari ya mzungu wanaona unaongea nini sijui, na ukataufuta nao ni sababu mojawapo ya kuogopa gari za mzungu ukikaa pale uyole uone wazambia wazimbabwe na wacongo vitu wanavyopeleka kwao unajisemea kweli wabongo ni waoga sana tatizo hatuna exposure wengi wetu we kila siku Mwenge-Mwananyamala utaielewa vipi bmw na ushazoea kuona passo na ist road!...gari ya mzungu ni the best when it comee to quality & performance....mjapani gari aliyoweza ni cruiser na crown tu mengine hakuna kitu

wanakuja wajapani kukupiga vita moja safi.
 
Mkabidhi Nissan vuta Chuma hicho ule maisha.

DYC aiseee gari inaonekana bado mbichi, huenda gari imepata shida na marekebisho yake ameona ni gharama sana. Au zimeshamtoka heka maana kurekebisha kitu fulani.

Wala litakuwa siyo jini. Kwa Tech za Bimmer Cc2000 kwa hiyo gari ina consumption nzuri tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hii Nissan nina historia nayo ya kipekee...nataka ikae hata nije kumpa ndugu kwa laki 3
 
Back
Top Bottom