Tatizo common kwenye engine za BMW

kakata tamaa vibaya hapoo.. unakuta anafunga na kuomba ammbariki mtu tatizo [emoji3][emoji3][emoji3]
Yawezekana aliambiwa dunia ni kijiji ipo kiganjani..[emoji85][emoji85]
Akigusa beinya sensor moja tu huko sijui eBay, sijui Alibaba...anachoka kabisaa...

European car is not for everyone..[emoji2960][emoji2960]
 
Mambo mengine mnayakuza Bure jamani.
Mkuu hiyo gari me mwenyewe udenda ulinitoka,
....ila lazima huyo jamaa amepigwa na kitu kizito kichwani..[emoji85]

Rejea kauli yake, exchange na gari yoyote......hapo ndiyo pana utata...[emoji28][emoji28]

Ila kwa kweli gari jnaonekana bado mafuta kabisaaa
 
Yawezekana aliambiwa dunia ni kijiji ipo kiganjani..[emoji85][emoji85]
Akigusa beinya sensor moja tu huko sijui eBay, sijui Alibaba...anachoka kabisaa...

European car is not for everyone..[emoji2960][emoji2960]
Akikuta sensor mbili 4 million ndio anachoka kabisaaaa.. anavuta pumzi huku kajishika kiuno πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
jamaa ana shida na gari ana anataka gari.. ndio maana anataka hata kwa exchange.. ukitaka mpima nenda kufanya exchange na BMW ingine hata series 3 uone atavyo ruka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii ndo sababu inafanya watu wachache wanaoa madem wazuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yawezekana aliambiwa dunia ni kijiji ipo kiganjani..[emoji85][emoji85]
Akigusa beinya sensor moja tu huko sijui eBay, sijui Alibaba...anachoka kabisaa...

European car is not for everyone..[emoji2960][emoji2960]

Lakini bei ya baadhi ya sensors huko Ebay na Alibaba wala si gharama sana.

Ambapo kwa Bongo watakuuzia hizohizo za Ebay na Alibaba kwa bei ambayo ni almost 4 au 5 times.

Simply wauza spea wamechangia sana watu kuyakimbia hayo magari.

Imagine spea ya laki 2 uambiwe milioni si utaugua uchizi.
 
Yawezekana aliambiwa dunia ni kijiji ipo kiganjani..[emoji85][emoji85]
Akigusa beinya sensor moja tu huko sijui eBay, sijui Alibaba...anachoka kabisaa...

European car is not for everyone..[emoji2960][emoji2960]
Mkuu.

Mbona bei za sensor sio za kutisha?

Hizo spares nyingine ndo balaa, ila so far, sijawahi kuona sensor yenye bei ya kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…