Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
- Thread starter
-
- #81
Asante saaana mkuu.....nmekuelewa sanaUsimtishe wala swala la kutokwenda jeshi haliwezi kuwa kikwazo katika ajira.........
Hii ni kwasababu, jambo lenyewe la kuwapeleka wahitimu wa kidato cha sita lipo kisanii sana......
Kwa mfano kuna shule moja ipo Manyara ilikuwa na wahitimu 200, ila waliochaguliwa kwenda jeshi ni 10 tu.....Vipi kuhusu hao 190, hawajakataa kwenda ila hawajachaguliwa..
Pia kuna shule nyingine ipo Morogoro ilikuwa na wahitimu 148, lakini waliochaguliwa ni 8 tu..
Vipi hao 140 waliobaki?
Serikali yetu bado haipo makini katika hilo suala, bado hawajaamua, nadhani wakiamua hata suala la bajeti haiwezi kuwa kikwazo, maana ndio kisingizio chao kikubwa....
Acha kumpotosha dogo jeshi limeanzishwa tena kwa mujibu wa sheria hata haijapita miaka mi 4 walioenda 2013 now ndo wapo chuo mwaka wa 3Si kushauri uendee Tangu jeshi jkt kwenda imeanzishwa kuna wengine huwa wanaahirishiwa kila mwaka so wewe piga dili zako home mm nilipangiwa Kigoma sikwendaaaa hadi leo nipo na maisha yanaenda? Kwani sahizi wote mmpangiwa? Nchi yetu haijajipanga so na wewe usijipange kwendaaa piga dili zako za hela kule sahizi ni kupotezeana mdaa
Huwa wanaenda kwa awamu mkuuUsimtishe wala swala la kutokwenda jeshi haliwezi kuwa kikwazo katika ajira.........
Hii ni kwasababu, jambo lenyewe la kuwapeleka wahitimu wa kidato cha sita lipo kisanii sana......
Kwa mfano kuna shule moja ipo Manyara ilikuwa na wahitimu 200, ila waliochaguliwa kwenda jeshi ni 10 tu.....Vipi kuhusu hao 190, hawajakataa kwenda ila hawajachaguliwa..
Pia kuna shule nyingine ipo Morogoro ilikuwa na wahitimu 148, lakini waliochaguliwa ni 8 tu..
Vipi hao 140 waliobaki?
Serikali yetu bado haipo makini katika hilo suala, bado hawajaamua, nadhani wakiamua hata suala la bajeti haiwezi kuwa kikwazo, maana ndio kisingizio chao kikubwa....
Nenda bhana. hatutaki tena kupata mawaziri walevi baadae!
ntakua cna tofauti na walioachwa
sawaUsiende
Kambi yakikuda sana,sisi ndio tuliifungua 2014.Habari wana JF ,
Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa?
Naombeni ushauri tafadhali
Inategemea kambi na kambi lkn Mtabila,mabinti walikuwa wanachungwa sana na maofficer.Na sidhani kama kuna afande alifanikiwa kumla kuruti.Nackia hyo kawaida
hahaa dahInategemea kambi na kambi lkn Mtabila,mabinti walikuwa wanachungwa sana na maofficer.Na sidhani kama kuna afande alifanikiwa kumla kuruti.
Muda wa miaka mitano upi ndugu huo(hakuna kitu km hicho).Sisi tulienda 2014 lkn wapo ambao hawakupangwa kwenda waambiwa wataenda wakimaliza chuo,let say MD anamaliza chuo baada ya miaka mitano.Na pia miaka imeyofata hakuna waliopangwa wore wengine huachwa so unawazungumziaje walio achwa na serikali?.Dogo ujue kuwa baada ya mika mitano ijayo, MTU hatapata ajira serikalini kama hajapitia JKT, Nenda tu kijana.
Mtabila eeeeh ambaaaa!!!Mtabila kigoma
muende tuu pazuri sana istoshe ni fursa unaweza pata ajira jwtz au police ukipenda ajira ngumu ongeza cv sio gerezani ni mafunzoni kujila lazima na kigoma ni mzika haswa BULOMBORAPoa me nimechaguliwa bulombora-kigoma
Wewe tulikuwa wote unayoongea ni kweli kabisa wale Wa kujitolea wazinguaji kichizi .Kambi yakikuda sana,sisi ndio tuliifungua 2014.
Kuna matunda yakila aina huwezi kufa njaa,lkn bustani zake zipo mbali sana.Mabio nayo nimilimani.
Kuna JKT wakujitolea hawa ndio wasumbufu sana,hakuna shida yamaji kabisa mabomba yamejazana kwenye maanga(mabweni),pia kuna mto kama maji yakikatika mnaenda kuchota sio mbali pia.Tatizo kuna baridi sana,mwezi wa nane mvua huwa zinaanza kunyesha.
Duh n vita nn... Ila nmemuona massawe kwenye list,wanyumbani huyoMtabila eeeeh ambaaaa!!!
Ngoja nikupe hint za matabila nilikuwa hapo mwaka juzi.
Kamanda: Major GB Kazaula.
Msaidizi: Major TJ Ngailo.
Maafisa:
1.Lt Nyakohanda ng'oncho lusui.
2.Lt AJ Massawe.
3.Lt Sk Mwakyobwe.
4.Lt IT Mwambasi
5 .LT Mtasigwa
6.LT Chiteji (mfupi hivi-halafu ni chief of Military police)
Mazingira:
1 Hamna umeme
2. Ilikuwa camp ya wakimbizi hapo zamani
3.Kuna miti ya matunda ya kutosha(maembe,maparachichi,Ndizi)
4 .Mvua ikinyesha bonge la tope hapa andaa raba ngumu hata pea mbili na rainboot
Kambi ina eneo kubwa saaana yaani kama mtaa kama kariakoo yote ile daaah mpaka moyowosi kule
Nenda na track suit ,usiende na nguo nyeupe ukiwa na nguo nyeusi au kijani ni poa zaidi ,
Tafuta soksi ndefu hata pea mbili halafu uwe na tochi na betri za kutosha
Usibebe nguo nyingi kwani hutozivaa
Shuka ,godoro , blanketi na neti utapewa .
Pamoja na vyombo vya kulia
Kikubwa muhimu usiwe mkaidi yaani legeza moyo utainjoi sana ukijifanya nunda utalala selo ya jeshi.
Waziiiiiiiiiiiiiii[emoji14] haya mzalendo nenda Kule bhana use kuruti kisha uwe serviceman was jeshi
" tinaaa tinanaa mtoto was jeshi tinaa tinaaaaa hongera mwanamaua "×2
Vijana maua popote huchanua twendeniiiii tukaljengee taifaaaa"