Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
- Thread starter
-
- #101
Inakuaje labda nitafte ajira jwtz na polisi,mm mwendawazmmuende tuu pazuri sana istoshe ni fursa unaweza pata ajira jwtz au police ukipenda ajira ngumu ongeza cv sio gerezani ni mafunzoni kujila lazima na kigoma ni mzika haswa BULOMBORA
Km naenda ntakuchekmimi nasoma kigoma boyz nitafute namb zng ni hz hap 0687437852 ntakusidia kwani nina kaka zangu wanajeshi wapo kwenye hizo kambi
Mkuu huwa hatusemi hayo uliyosema hayo yote,n maisha tuInakuaje labda nitafte ajira jwtz na polisi,mm mwendawazm
[emoji16] sawa mkuuMkuu huwa hatusemi hayo uliyosema hayo yote,n maisha tu
Usimtishe wala swala la kutokwenda jeshi haliwezi kuwa kikwazo katika ajira.........
Hii ni kwasababu, jambo lenyewe la kuwapeleka wahitimu wa kidato cha sita lipo kisanii sana......
Kwa mfano kuna shule moja ipo Manyara ilikuwa na wahitimu 200, ila waliochaguliwa kwenda jeshi ni 10 tu.....Vipi kuhusu hao 190, hawajakataa kwenda ila hawajachaguliwa..
Pia kuna shule nyingine ipo Morogoro ilikuwa na wahitimu 148, lakini waliochaguliwa ni 8 tu..
Vipi hao 140 waliobaki?
Serikali yetu bado haipo makini katika hilo suala, bado hawajaamua, nadhani wakiamua hata suala la bajeti haiwezi kuwa kikwazo, maana ndio kisingizio chao kikubwa....
Poa, poa..Pamoja sanaAsante saaana mkuu.....nmekuelewa sana
Ndugu hiyo ni sawa na kuchaguliwa kuudhulia semina flan inakuongezea uwezo na inamaana kubwa katka CV yako watumish waliobaki kazn haina maana Kuwait serikali haiwapendi au haiwajali au hawazi panda cheo
Huwa wanaenda kwa awamu mkuu
Kwa ss hautakuwa na shida, ila baadaye itakuwa n lazima uwe umepitia JKT ili upate kazi
Sijui utamlalamikia nani
Athari zipo mbele...Serikali imeshatenga fungu kwa ajili yako!
Nimesema hivyo maana na mimi ni mmoja wapo kwani kipindi kile cha 2013 mie nilichaguliwa awamu ya 3 kimbi ilikua msange tabora lakini kutokana na mda kubana na tulikua teyari tushaitwa chuo wakatuambia tuandike barua ya kupromise tukimaliza chuo tutaenda and tulifanya hivyo so i hope tukimaliza july and August tutaenda labda kuwe na changesAcha uongo, ni awamu ipi unayoizungimzia? Tangu walivyoanza kuwapeleka kwa mara ya kwanza kuna vijana waliachwa na mpaka leo wanakaribia kuhitimu chuo kikuu bila kupelekwa......
Sasa kama wale walioachwa kwenye awamu ya kwanza hawajapelekwa, unafikiri watapelekwa lini? Na hawa walioachwa awamu hii watapelekwa lini?
Maoni yangu, Serikali inapaswa kujipanga iache mboyoyo.......Kama kweli wapo makini, waandae bajeti ya kutosha na mazingira ya kuwakimu vijana wote wanaohitimu kidato cha sita bila kuwabagua ili waende jeshi..
Ila wale wenye shida maalumu za kudumu waachwe
hahahah naona mkuu hutak kabisa kuchapiwa na macoploThanks but noooo,
Labda ajira za majeshi....
Ila nyingine hilo jambo litakuwa gumu sana, labda serikali ibadili mfumo wa kuwapeleka jeshi kwa kuwabagua wahitimu....Yaani iamue kuwapeleka wote kabisa, hapo kidogo inaweza kuingia akilini
Dogo mimi nakushauri uende 7bu huwez jua matumizi ya kile cheti cha jkt huko mbeleni halafu hii kozi ni ya lazima,kwa mliochaguliwa