Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Pole mkuu Ila mbona hujaambatanisha picha umekosea kwenye titleHili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je unaweza kutumia mbinu gani kukatengeneza mwenyewe bila kwenda kwa fundi ikiwa una laptop. Maana hata ukikatengeneza baada ya muda tatizo linajirudia tena.
Na kucheza tetrisVinafaa kwa matumizi ya hotspot, SMS na calls tu, ila kwa intaneti havifai. Kuna features nyingi havina
Vimewaokoa wengi sana wanaohitaji 4G pocket Wi-Fi kwa 20,000. Hivi visimu mtaani unapata mpaka kwa 15,000.Na kucheza tetris
Pia vina Custom rom inaitwa Gerdaos ila apps nyingi hazijakuwa optimized. Ipo emulator ya j2me apps, Gameboy color, etc. Inashare apps na firefox os.Vimewaokoa wengi sana wanaohitaji 4G pocket Wi-Fi kwa 20,000. Hivi visimu mtaani unapata mpaka kwa 15,000.
Wakitoa 4G physical QWERTY phones zenye kioo 2.8" kwenda juu kwa 40,000, itakua poa sana. Wanaotumia second phone kwa kutext kwa kasi watakua wamepata mkombozi.Pia vina Custom rom inaitwa Gerdaos ila apps nyingi hazijakuwa optimized. Ipo emulator ya j2me apps, Gameboy color, etc. Inashare apps na firefox os.
Nokia anazo 4g phone za bei rahisi ila os s30+, ni os ya kiboya kushinda hio kai os. App ya maana ni opera tu.Wakitoa 4G physical QWERTY phones zenye kioo 2.8" kwenda juu kwa 40,000, itakua poa sana. Wanaotumia second phone kwa kutext kwa kasi watakua wamepata mkombozi.
4G QWERTY phones zote as second phone tofauti na KaiOS bei mkasi
Za S30+ za 4G kuna za physical QWERTY keypad?, bei yake inaweza kuwa under 45,000?, lengo ni as a second phone, hotspot , calls na SMSNokia anazo 4g phone za bei rahisi ila os s30+, ni os ya kiboya kushinda hio kai os. App ya maana ni opera tu.
Qwerty mkuu umemaaniza A mpaka Z zipo button separate? hapana hazipo hivyo, hizi ni candybar zina T9 keypad.Za S30+ za 4G kuna za physical QWERTY keypad?, bei yake inaweza kuwa under 45,000?, lengo ni as a second phone, hotspot , calls na SMS
Za candybar kama kwenye picha hapo juu hapana kwakweli mkuu, smart kitochi kinatosha.Qwerty mkuu umemaaniza A mpaka Z zipo button separate? hapana hazipo hivyo, hizi ni candybar zina T9 keypad.
Ya bei rahisi ni Nokia 105 (kitochi) kina version ya 4g bila camera.
Bei sijajua soko letu ipoje mkuu huko ughaibuni masoko mengi around 50k to 70K.
Na pia information za hotspot ni chache, pengine haina.
Version ya jio ni qwerty sema upate mtu achukue india na itolewe lock maana jio ni mtandao wa simu kama Tigo sema upo india.Za candybar kama kwenye picha hapo juu hapana kwakweli mkuu, smart kitochi kinatosha.
Labda tusubiri siku za mbele, huenda KaiOS watatoa 4G physical QWERTY phones chini ya 45,000
Kina option ya hotspot?!Vimewaokoa wengi sana wanaohitaji 4G pocket Wi-Fi kwa 20,000. Hivi visimu mtaani unapata mpaka kwa 15,000.
Ewaa!!, hiyo ndiyo yenyewe sasa.Version ya jio ni qwerty sema upate mtu achukue india na itolewe lock maana jio ni mtandao wa simu kama Tigo sema upo india.
Ipo hivi
Ndiyo.Kina option ya hotspot?!