Tatizo kubwa la kitochi 4G za tigo ni anaganda baada ya matumizi. Nimeambatanisha picha

Tatizo kubwa la kitochi 4G za tigo ni anaganda baada ya matumizi. Nimeambatanisha picha

Asante
Kasi inaridhisha for me, ila inapungua kidogo kama kuna apps nyingi zinarun background, mwAnza zipo nenda kwenye vodashop iliYopo ppf plaza au rock city m
Kasi inaridhisha for me, ila inapungua kidogo kama kuna apps nyingi zinarun background, mwAnza zipo nenda kwenye vodashop iliYopo ppf plaza au rock city mall

Kasi inaridhisha for me, ila inapungua kidogo kama kuna apps nyingi zinarun background, mwAnza zipo nenda kwenye vodashop iliYopo ppf plaza au rock city mall
Asante mkuu ngoja niifwatilie
 
je na telegram pamoja na jamiiforum kanaingia mkuu.
Kanaingia na app ya jamiiforum inawork vizuri tu
Screenshot_20240516-201939.png
Screenshot_20240516-202021.png
 
😂😂😂😂 nimeshangaa hiki kisimu kimepanda bei from 60,000tsh to 75,000tsh ! 😂😂😂

😂😂😂😂 nimeshangaa hiki kisimu kimepanda bei from 60,000tsh to 75,000tsh ! 😂😂😂

Hakina thamani hio, hardware nzuri ila software yao ni so and so.

Kama una hela bora tu uagizishie brand ya kueleweka, Xiaomi, Cat etc.
 
Back
Top Bottom