pyongyang
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 737
- 1,590
nitajie boss hizo ninazotumia s30+ hata 3 tuNokia anazo 4g phone za bei rahisi ila os s30+, ni os ya kiboya kushinda hio kai os. App ya maana ni opera tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitajie boss hizo ninazotumia s30+ hata 3 tuNokia anazo 4g phone za bei rahisi ila os s30+, ni os ya kiboya kushinda hio kai os. App ya maana ni opera tu.
Nokia 8210 4G, Nokia 5710 express music, 6300 4Gnitajie boss hizo ninazotumia s30+ hata 3 tu
kiongozi nimezicheki hizo simu za nokia ila katika pitapita zangu huko mtandaoni nikakutana na simu kama ulizorecommend inatumia kaiOS pia inaitwa cat B35 nimezutiwa nayo, vipi kuhusu upatikanaji wake(cat B35) kwa dar kama unafahamu chochote? Napenda sana hizi cm za kaiOS nilikuwa natumia smart kitochi cha tig0 kwa miaka 2+ ila sasa naona battery yake imevimba mpaka mfuniko wa cm haufungi tenaNokia 8210 4G, Nokia 5710 express music, 6300 4G
Kaios zote zinafanana mkuu, so experience upande wa software itakua sawa. Hii Cat B35 Ina ram 512MB itasaidia compare na 256MB za smart kitochi.kiongozi nimezicheki hizo simu za nokia ila katika pitapita zangu huko mtandaoni nikakutana na simu kama ulizorecommend inatumia kaiOS pia inaitwa cat B35 nimezutiwa nayo, vipi kuhusu upatikanaji wake(cat B35) kwa dar kama unafahamu chochote? Napenda sana hizi cm za kaiOS nilikuwa natumia smart kitochi cha tig0 kwa miaka 2+ ila sasa naona battery yake imevimba mpaka mfuniko wa cm haufungi tena
ok powa kiongozi nashukuru kwa feedbackKaios zote zinafanana mkuu, so experience upande wa software itakua sawa. Hii Cat B35 Ina ram 512MB itasaidia compare na 256MB za smart kitochi.
Ngumu kupata hizo cat hapa kwetu na hata ukipata itakua overpriced. Naziona tu mitandao ya Uingereza ndio bei ipo Chini kama una connection huko.
Alternative yake ni Nokia 800 Tough zinafanana.
Changu kimeishia kwenye kai os yan vinazingua alafu ni OS YA LINUX sijui tatizo nini aiseeKai os ipo slow, si tu Kitochi cha tigo, Nokia, Jio phone, azumi na wengine pia wana lag za kutosha tu. Pengine hicho chako ni zaidi ila vyengine pia vina matatizo lukuki.
Ni Firefox os mkuu, inatumia Engine ya Mozilla Gecko.Changu kimeishia kwenye kai os yan vinazingua alafu ni OS YA LINUX sijui tatizo nini aisee
Nimevurugwa mkuu wakati najibu nlikuwa nafanya kitu kwenye linux ni kweli ni Firefox aaah mwanangu noma sana masta…ila ipo relied na LINUX, haya makitu yanatupa moto mkuu aaah acha kabisaNi Firefox os mkuu, inatumia Engine ya Mozilla Gecko.
Mkuu ndio nasikia kwako, nimejaribu kugoogle Digit ni brand ya simu kama Nokia, Tecno etc., wana hii custom os kwa haraka haraka inaonekana kama ni fork ya Android, ila sina uhakika.Wakuu habari hopefully mko poa!? Nimekutana na hii simu mpya online kutoka vodacom wanayoipromote toka juzi ya " SMART KITOCHI PLUS", kwa mujibu wa vodacom simu hii inauwezo wa kusupport mpaka instagram, tiktok na netflix,nikajaribu kufatilia itakuwa inatumia OS gani, vodacom wanadai ni digitOS 12. Sasa msaada ninaoutaka kutoka kwenu ni mnifahamishe kama mnauelewa wa hii digitOS,je inaweza ikawa inachangamoto yeyote kwa mtumiaji kwasababu ningeni masikioni mwangu? navipi kuhusu applications kwenye appstore zipo za kutosha hasa opera mini which is still missing on kaiOS? Naomba mnisaidie wakuu kwa hili
VODACOM wanadai wanaiuza kwa tsh. 60,000 tu, na specification wise inaonekana iko poa kiasi kuliganisha toleo lao la kitochi lililopita , walichoboresha ni ukubwa wa screen sasa ni inch 2.8 pia ni touch screen, pia sasa ram ni 1GB na battery ni 3000 mAH.Mkuu ndio nasikia kwako, nimejaribu kugoogle Digit ni brand ya simu kama Nokia, Tecno etc., wana hii custom os kwa haraka haraka inaonekana kama ni fork ya Android, ila sina uhakika.
Voda wanauza kiasi gani?
Store nimeona inakuja na 9apps
![]()
9Apps - Download Apps & Games APK 2024 | Official
Download APK for Android 2024 with 9Apps APK store. Millions of Apps and Games download for free. Faster, free and the latest version.www.9apps.com
Kama android tu.
Mkuu inaonekana nzuri sana, naweza nikainunua nitakujulisha.VODACOM wanadai wanaiuza kwa tsh. 60,000 tu, na specification wise inaonekana iko poa kiasi kuliganisha toleo lao la kitochi lililopita , walichoboresha ni ukubwa wa screen sasa ni inch 2.8 pia ni touch screen, pia sasa ram ni 1GB na battery ni 3000 mAH.
Poa kiongozi tupo pamojaMkuu inaonekana nzuri sana, naweza nikainunua nitakujulisha.
Poa kiongozi tupo pamoja
mkuu nimeku
I believe hizi ndio specification zake Mtk MT6739 ndio soc ina power hio device, Quad core Cortex A53, soc nzuri tu ukiikuta kwenye Tecno pengine ingekugharimu 150-250K.
Kwa bei ya 60K hii simu ni deal zuri sana mkuu, sijajua tu mambo mengine kama build quality, ukaaji chaji na reliability ya software.
mkuu nilikinunua hicho kisimu toka kama siku 4 au 5 zilizopita nimekifungia tu ndani, kinatumia micro sim card lakini kila nikiweka line haisomi, nimebadilisha line yangu nakuweka line nyingine mbili tofauti still bado tatizo nililelile, nimewacheki voda wameniambia nikirudishe dukani nilipokinunulia kwa msaada zaidi. Nashindwa kuleta mrejesho mzuri kwakua sikukichezea sana baada ya sim cards kukataa kusoma, ila kwa mda niliokitumia screen touch sensitivity iko poa tu, build quality haitofautiani nasmart vitochi vingine, buttons zake zipo zivuri kwakuchat, battery inaonekana ikopoa japo sikuitumia simu sana ila kitendo cha kuitoa battery nakuiweka mara kadhaa wakati naangaika na tatizo la sim card battery haikuonesha kushuka chaji, kuhusu OS no comment kwa sasa japo inaoneka ni light kidogo tofauti na kaios, kwenye kitabu cha matumizi ya simu wameandika "it runs on digitOS based on android latest versions". Ina kuja na app ya "aptoide" kwaajili yadownload applications, sasa sijui kama ina apps nyingi au la. Pia wameandika kwenye kitabu line zote mbili,1&2 zinasoma 4g which am not sure,pia kana uwezo wakuscreen shot.
I believe hizi ndio specification zake Mtk MT6739 ndio soc ina power hio device, Quad core Cortex A53, soc nzuri tu ukiikuta kwenye Tecno pengine ingekugharimu 150-250K.
Kwa bei ya 60K hii simu ni deal zuri sana mkuu, sijajua tu mambo mengine kama build quality, ukaaji chaji na reliability ya software.
jumatatu nimepanga nikirudishe voda wakakiangalie, kama watanibadilishia wanipe kingine nikianzakukitumia tu nitakupa mrejesho mzuri , ila kama unampango wakununua nakushauri usubiri kwanza mrejesho.
I believe hizi ndio specification zake Mtk MT6739 ndio soc ina power hio device, Quad core Cortex A53, soc nzuri tu ukiikuta kwenye Tecno pengine ingekugharimu 150-250K.
Kwa bei ya 60K hii simu ni deal zuri sana mkuu, sijajua tu mambo mengine kama build quality, ukaaji chaji na reliability ya software.
Bei gani inauzwa?jumatatu nimepanga nikirudishe voda wakakiangalie, kama watanibadilishia wanipe kingine nikianzakukitumia tu nitakupa mrejesho mzuri , ila kama unampango wakununua nakushauri usubiri kwanza mrejesho.
60kBei gani inauzwa?
Okay