Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Tena akiwa na "agenda ya siri" iliyokuja kugundulika mwaka 1939!Hitra aliajiri kila mtu tena jeshini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena akiwa na "agenda ya siri" iliyokuja kugundulika mwaka 1939!Hitra aliajiri kila mtu tena jeshini
Hitra ndio nani?Hitra aliajiri kila mtu tena jeshini
Tunaomba ufafanuzi was jinsi ya kukabiliana na mazingira hayoAnayetakiwa kuajiriwa ni yule aliyefaulu kuanzia daraja la kwanza mpaka la tatu, walimu wengi ni watu waliofeli mitihani, tatizo wanazoa zoa tuu. Na pia serikali haiwezi kuajiri kila anayehitimu, mambo mengne ni kudanganyana tuu. Vijana wanatakiwa wawe tuned kupambana na mtaa.
Halafu kuna wapuuzi wanasema miaka mitano tena. Halafu ukiangalia hata pesa ya bando tu kununua ni shida😆😆Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana.
Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe 14.09.2020 feeder ilikuwa imeshapokea jumla ya maombi 80,000+...
Aliitabiria mwisho ni 2015
Siyo kabisaJiwe siyo mtu
Kwa hizo data kazi anayoMagufuli kaua nchi acheni aisee!
Ni hoja za miccm kwakuwa imeshindwa kutekeleza wajibu waoUna maanisha nini? Hivi kwa nini watu wanakuwa na mtazamo hasi kuwa walimu ni watu walioshindwa kufanya vizuri katika mitihani yao! Hili jambo si sahihi kabisa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unavyoweka comment yenye marangi rangi hivi tukueleweje sasa?!Una maanisha nini? Hivi kwa nini watu wanakuwa na mtazamo hasi kuwa walimu ni watu walioshindwa kufanya vizuri katika mitihani yao! Hili jambo si sahihi kabisa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Msisitito,kwanini kunyanyapaaUnavyoweka comment yenye marangi rangi hivi tukueleweje sasa?!
Hebu acha uchekechea basi... Ushakuwa mkubwa..... Tunaumizana machoMsisitito,kwanini kunyanyapaa
hata wachukue waliopata daraja la kwanza tu ila bado waalimu weng wako mtaan hawana ajiraAnayetakiwa kuajiriwa ni yule aliyefaulu kuanzia daraja la kwanza mpaka la tatu, walimu wengi ni watu waliofeli mitihani, tatizo wanazoa zoa tuu. Na pia serikali haiwezi kuajiri kila anayehitimu, mambo mengne ni kudanganyana tuu. Vijana wanatakiwa wawe tuned kupambana na mtaa.
Mnaongelea daraja la kwanza kwa level ipi?hata wachukue waliopata daraja la kwanza tu ila bado waalimu weng wako mtaan hawana ajira
Sekta binafsi inakufa kwa kasi kutokana na utegemezi wa mfumo wa kiuchumi ambao hauendani na sera za taifa.Serikali iwafanyie mchujo mkali wa interview na wachukue walimu waliopata division one form six, bila hivo wataajiri magarasa, pia awamu hii ijifunze kwa Jakaya ilikuwaje miaka yake kumi wote waliosoma ualimu walipata kazi, pamoja na madaktari, nurses iweje awamu hii ishindikanike, pia why sector binafsi inakufa Sana kuliko wakati wote,?