Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

Huu ni uongo uliokubuu, nani aliyeachwa kwa kukosa sifa
Walimu wengi ni failure , na ndo mana hawawez uzika kwenye private skul , mtu kapata div 4 , akasoma grade A anaweza vip fundisha English medium school , English alipata D near to F, ..... Hz papara alianza mkapa , akaja Kikwete , walitengeneza tatizo kubwa Sana , Nyerere Ali keep holding kuwa mda ukifika watu watajaa Tu tena wenye sifa , mkapa na kikwete wakawa wa kuzoa zoa, sa hv shule za private wanaofundisha ni vijana walioscore div 1&2 form four and div 1&2 form six wakisubir kwenda chuo ..... Walimu Weng hawana sifa za kuwa walimu
 
Bagambile bagambile
Mbali na kua na viwanda 8,460 pia amesema mkimchagua awamu hii atatangeneza ajira milioni 8 tena ameongea kwa msisitizo huku akionyesha kitabu kikubwa chenye kava la njano na kijani anachodai yote yameandikwa humo. Pia akasema msipomchagua yeye mtajuta na siku zote majuto ni MWIJUKULU.
 
Anayetakiwa kuajiriwa ni yule aliyefaulu kuanzia daraja la kwanza mpaka la tatu, walimu wengi ni watu waliofeli mitihani, tatizo wanazoa zoa tu. Na pia serikali haiwezi kuajiri kila anayehitimu, mambo mengne ni kudanganyana tuu. Vijana wanatakiwa wawe tuned kupambana na mtaa.

Asante kwa mchango wako wa mawazo...

Hata hivyo, umenisoma vizuri na kunielewa kweli?

Hapa is not about nani kafaulu sana. Ni mpango wa serikali kuhakikisha kuwa ina nurture mazingira ya watu kujiajiri huko unakoita "kitaa"...

Mfano hivyo viwanda 100 kila mkoa viko wapi? Mbona tatizo la unemployment ni kubwa sana?

Je, ni kweli kuwa kwa takwimu za serikali watu 8,000,000 wameajiriwa na sekta ya viwanda ndani ya miaka 5 ya Magufuli?

Serikali inafanya nini kuki - promote kilimo ambayo ndiyo sekta inayoajiri zaidi ya 75% ya wananchi?

Kilimo siyo ishu ya kuwa na ardhi kubwa tu. Ni ishu ya namna gani kunakuwa na mazingira rahisi kwa kila mtu ku - exploit kilichomo ndani na juu ya ardhi hiyo...

Yaani Sera ya umiliki ardhi ni favourable kwa kiasi gani kwa kila mtu wakiwemo vijana hawa?

Je, unajua kuwa ni 15% ya watanzania ndiyo wanamiliki ardhi tena wakiwemo viongozi wa serikali na CCM peke yao??

Una maoni gani kwenye hili?
 
Walimu wengi ni failure , na ndo mana hawawez uzika kwenye private skul , mtu kapata div 4 , akasoma grade A anaweza vip fundisha English medium school , English alipata D near to F, ..... Hz papara alianza mkapa , akaja Kikwete , walitengeneza tatizo kubwa Sana , Nyerere Ali keep holding kuwa mda ukifika watu watajaa Tu tena wenye sifa , mkapa na kikwete wakawa wa kuzoa zoa, sa hv shule za private wanaofundisha ni vijana walioscore div 1&2 form four and div 1&2 form six wakisubir kwenda chuo ..... Walimu Weng hawana sifa za kuwa walimu

Nisome hapo juu post #63👆 👆👆

Hata aliyefeli anastahili kuishi na kujipatia kipato...

Jaribu kupanua ufahamu wako unapo argue juu ya hoja hii...

Don't be too judgemental...
 
Walimu wengi ni failure , na ndo mana hawawez uzika kwenye private skul , mtu kapata div 4 , akasoma grade A anaweza vip fundisha English medium school , English alipata D near to F, ..... Hz papara alianza mkapa , akaja Kikwete , walitengeneza tatizo kubwa Sana , Nyerere Ali keep holding kuwa mda ukifika watu watajaa Tu tena wenye sifa , mkapa na kikwete wakawa wa kuzoa zoa, sa hv shule za private wanaofundisha ni vijana walioscore div 1&2 form four and div 1&2 form six wakisubir kwenda chuo ..... Walimu Weng hawana sifa za kuwa walimu
Serikali ina shule za English medium? unaongelea walimu wapi hao? walimu wanaoongelewa hapa ni wa degree.
 
Hao wote wana qualify kuwa walimu wala sio uongo.

Awamu ya 5 imeharibu mifumo..

Ajira pekee iliyo baki kwa vijana ni bodaboda.
Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana.

Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe 14.09.2020 feeder ilikuwa imeshapokea jumla ya maombi 80,000+!

Sijui itakuwaje tu kwa vijana hawa watakaoachwa.

Solution kubwa ya tatizo la ajira hapa nchini kwetu ni kwa serikali kutengeneza mazingira ya watu kuweza kujiajiri, kuilea na kuikuza sekta binafsi kwa sababu kwa vipimo vyote, serikali haiwezi na haina uwezo wa kuajiri watu wote wenye sifa za kuajirika. Hili katika sekta ya elimu linaithibitisha hoja hii.

Inasikitisha kuwa, tangu kuingia madarakani kwa ndugu John Pombe Magufuli 2015, ameitibua tibua sana sekta binafsi kiasi ambacho imetema watu wengi toka kwenye ajira rasmi na yenyewe kudorora kwa kiasi kikubwa.

Matokeo ya Sera za CCM ya Magufuli ni haya. Sasa hawa ni vijana wa taaluma ya ualimu tu waliozagaa mitaani.

Hatujui ni madaktari, manesi, wahasibu, wanasheria, wahandisi nk. Wangapi wamezagaa mitaani bila msaada wowote wa serikali kuwawezesha waajirike au wajiajiri.

Mzee Edward Ngiyai Lowassa kuna wakati fulani alionya kuwa, tatizo la ajira kwa vijana ni BOMU KUBWA linalosubiri kulipuka.
 
Serikali ina shule za English medium? unaongelea walimu wapi hao? walimu wanaoongelewa hapa ni wa degree.
Mkuu walimu wa degree hawafikii 80000 ambao hawana ajira , 2015 &2016 walimu wa degree science wote waliajiriwa , 2017 wachache pia waliajiriwa,....walimu wa degree art kuanzia 2015 up to date hawafikii 20000 , the rest ni grade A na diploma watu ambao ni totaly incompetent
 
Anayetakiwa kuajiriwa ni yule aliyefaulu kuanzia daraja la kwanza mpaka la tatu, walimu wengi ni watu waliofeli mitihani, tatizo wanazoa zoa tu. Na pia serikali haiwezi kuajiri kila anayehitimu, mambo mengne ni kudanganyana tuu. Vijana wanatakiwa wawe tuned kupambana na mtaa.
Aiseeeeeee. Mkuu hakuna kijana mwenye digrii ambae ana chini ya daraja la kwanza mpaka la tatu.

Kumbuka pia hao 80+ ni watu wenye muingiliano na mtandao na wana namba za nida

Huku hali si shwari
 
Una maanisha nini? Hivi kwa nini watu wanakuwa na mtazamo hasi kuwa walimu ni watu walioshindwa kufanya vizuri katika mitihani yao! Hili jambo si sahihi kabisa
Basi ni kweli hao walimu walifeli

Vipi
Madaktari wameajiriwa?
Wahandisi wameajiriwa?
Wanasheria wameajiriwa?
Mabwana mifugo wameajiriwa?
Wahasibu wameajiriwa?
Wakufunzi wameajiriwa?
Wa mipango wameajiriwa?
Marubani wameajiriwa?
N. K

Au na hao ni vilaza kama walimu
 
Aiseeeeeee. Mkuu hakuna kijana mwenye digrii ambae ana chini ya daraja la kwanza mpaka la tatu.

Kumbuka pia hao 80+ ni watu wenye muingiliano na mtandao na wana namba za nida

Huku hali si shwari
Walimu wa degree hawafikii 80000 hyo number ni Grade A & diploma combined together, walimu wa degree hawazidi 20000 from 2015 up to date ambao hawana ajira, Kwa science 2015, 2016 wote waliajiriwa na 2017 baadhi..
 
Mkuu walimu wa degree hawafikii 80000 ambao hawana ajira , 2015 &2016 walimu wa degree science wote waliajiriwa , 2017 wachache pia waliajiriwa,....walimu wa degree art kuanzia 2015 up to date hawafikii 20000 , the rest ni grade A na diploma watu ambao ni totaly incompetent
Taarifa huna unakisia kisia tu
Mara ya mwisho ajira kutoka kulikua na maombi 80000
 
Mbali na kua na viwanda 8,460 pia amesema mkimchagua awamu hii atatangeneza ajira milioni 8 tena ameongea kwa msisitizo huku akionyesha kitabu kikubwa chenye kava la njano na kijani anachodai yote yameandikwa humo. Pia akasema msipomchagua yeye mtajuta na siku zote majuto ni MWIJUKULU.

We jamaa umeniua mbavu! Kwamba majuto ni mwijukulu! 😂😂
 
Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana.

Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe 14.09.2020 feeder ilikuwa imeshapokea jumla ya maombi 80,000+!

Sijui itakuwaje tu kwa vijana hawa watakaoachwa.

Solution kubwa ya tatizo la ajira hapa nchini kwetu ni kwa serikali kutengeneza mazingira ya watu kuweza kujiajiri, kuilea na kuikuza sekta binafsi kwa sababu kwa vipimo vyote, serikali haiwezi na haina uwezo wa kuajiri watu wote wenye sifa za kuajirika. Hili katika sekta ya elimu linaithibitisha hoja hii.

Inasikitisha kuwa, tangu kuingia madarakani kwa ndugu John Pombe Magufuli 2015, ameitibua tibua sana sekta binafsi kiasi ambacho imetema watu wengi toka kwenye ajira rasmi na yenyewe kudorora kwa kiasi kikubwa.

Matokeo ya Sera za CCM ya Magufuli ni haya. Sasa hawa ni vijana wa taaluma ya ualimu tu waliozagaa mitaani.

Hatujui ni madaktari, manesi, wahasibu, wanasheria, wahandisi nk. Wangapi wamezagaa mitaani bila msaada wowote wa serikali kuwawezesha waajirike au wajiajiri.

Mzee Edward Ngiyai Lowassa kuna wakati fulani alionya kuwa, tatizo la ajira kwa vijana ni BOMU KUBWA linalosubiri kulipuka.
Maana ya waombaji wengi hivi ni kuwa wahitimu wetu ni wengi sana kuliko soko la ajira. Kwa hali kama hii, si maendeleo pale ufauli unapokuwa zaidi labda ya 90% wakati hao wahitimu hakuna pa kuwapeleka.

Lingekuwa jambo bora na afya kwa uchumi wetu endapo idadi kubwa ya wahitimu wa O'Level wangeingizwa kwenye vyuo vya VETA badala ya kuwapeleka Form V na Vyuo vikuu. Nadhani nchi ya Sweden watu wao wengi wameishia kwenye VOCATIONAL TRAINING
 
Kama ujui vitu nyamaza tangu lini kada ya uwalimu ikasomewa na watu waliofeli hivi unajua sifa za kujiunga na kozi ya uwalimu

Nikujuze tu huwezi kukuta mwalimu ana degree alafu ajamaliza kidato cha sita hiyo ina maana gani kidato cha nne alifauru, kidato cha sita au diploma alifauru

Nenda kada nyingine uko ukajionee ndio utajua uwalimu ni complicated kwenye matokeo hawaendi vilaza,

Pitia tovuti ya wizara ya elimu angalia sifa wanazoitaji mtu kujiunga kozi ya uwalimu kuanzia cheti alafu pitia na vyuo vingine angalia kozi nyingine sifa zipi wanaitaji mtu kujiunga na kozi ya cheti alafu ulinganishe ufauru ndio utajua kumbe

Hayo maneno uwalimu wanaenda walioferi hutolewa na mtu asiyejua mambo anayejua division one na two ndio ufauru
wanasikia kijiwen hana uthibitisho
 
We mbona hujielewi , changanua basi , katika hayo maombi , grade A ni wa ngap , diploma wa ngap na degree wa ngap ? Alaf fatilia record za TCU walimu wa degree waliomaliza since 2015 , wakat huo huo walimu wa degree science Kwa 2015, 2016, 2017waliajiriwa , hao 80000 sio wote degree namba kubwa ni grade A na diploma......tatizo hii nchi la Saba wengi
Hapo sawa mkuu
Walimu wa degree pekee hawafiki 30000
 
Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana.

Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe 14.09.2020 feeder ilikuwa imeshapokea jumla ya maombi 80,000+!

Sijui itakuwaje tu kwa vijana hawa watakaoachwa.

Solution kubwa ya tatizo la ajira hapa nchini kwetu ni kwa serikali kutengeneza mazingira ya watu kuweza kujiajiri, kuilea na kuikuza sekta binafsi kwa sababu kwa vipimo vyote, serikali haiwezi na haina uwezo wa kuajiri watu wote wenye sifa za kuajirika. Hili katika sekta ya elimu linaithibitisha hoja hii.

Inasikitisha kuwa, tangu kuingia madarakani kwa ndugu John Pombe Magufuli 2015, ameitibua tibua sana sekta binafsi kiasi ambacho imetema watu wengi toka kwenye ajira rasmi na yenyewe kudorora kwa kiasi kikubwa.

Matokeo ya Sera za CCM ya Magufuli ni haya. Sasa hawa ni vijana wa taaluma ya ualimu tu waliozagaa mitaani.

Hatujui ni madaktari, manesi, wahasibu, wanasheria, wahandisi nk. Wangapi wamezagaa mitaani bila msaada wowote wa serikali kuwawezesha waajirike au wajiajiri.

Mzee Edward Ngiyai Lowassa kuna wakati fulani alionya kuwa, tatizo la ajira kwa vijana ni BOMU KUBWA linalosubiri kulipuka.
Changamoto ya upatikanaji wa ajira ni ya dunia nzima na si Tanzania pekee kama ambavyo unataka kuaminisha watu.
 
Kapige kura umchague Tundu Lissu akupe ajira
Eeh napo nitampigia kura Tundu Lissu . Hata kama asipo nipa ajira , hii nchi ni ya watanzania wote, mmefeli vya kutosha tunahitaji mtu mwingine sasa.
 
Walimu wa degree hawafikii 80000 hyo number ni Grade A & diploma combined together, walimu wa degree hawazidi 20000 from 2015 up to date ambao hawana ajira, Kwa science 2015, 2016 wote waliajiriwa na 2017 baadhi..
Mzee umeandika uongo uliokomaa
Siyo kweli kwamba walimu wote wa sayansi waliomaliza 2016 wameajiriwa.
Unless hauna details na unacho kiandika hapa
 
Back
Top Bottom