Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

Wanakumbuka shuka wakati kumekucha wanazuoni kila mwaka wanamaliza vyuo ila ajira hakuna wakati yeye mwenyewe alianzia kwenye ualimu mpaka leo akawa raisi ila mwanadamu ni watu wa kusaha wakishapata na kusahau alikotokea
Lissu kawakurupusha kutoka usingizini! Halafu nikasikia mjinga mmoja anauliza ana dhambi gani?
 
Hao walimu hawataajiriwa wata ahirisha hili zoezi, pesa yote iko kwenye kampeni za Magufuli na wenzake.
 
Mawazo ya KIJAMAA kwa mjima na upuuzi!! Nani amekwambia vyuo vinatoa vyeti kwa wahitimu waliofeli??. Roho mbaya ndio inawasumbua, F.you
 


Shkran mkuu! Hii elimu natamani viongozi wote waipate.
Jukwaa linahitaji watu kama wewe.
Kwa hoja zako inaonesha ni jinsi gani tunakwama na wapi tunakwama.

Aproach anayoitumia Rais inafaa sana kwa jamii ya kijamaa sio kwa kipindi hiki cha mfumo wa ubepari.
Sekta binafsi ndio solution pekee ya kuondoa tatizo la jobless kwenye taifa hili, Kuanzia elimu, hospitali, viwanda, kilimo na teknolojia.

Kongore kiongozi
 
Mnaongelea daraja la kwanza kwa level ipi?
O-level? Advance? Au Chuo?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
sijajua lipi alikuwa anaongelea ila hata akisema daraja la kwanza la kidato cha 4 au 6 bado ngumu watu wengi wanasomea ualimu ili wapate mkopo na kwa miaka ya nyuma wapate ajira kwa urahisi
 
Mawazo ya KIJAMAA kwa mjima na upuuzi!! Nani amekwambia vyuo vinatoa vyeti kwa wahitimu waliofeli??. Roho mbaya ndio inawasumbua, F.you
wanaosema hvyo ni vilaza kwa sababu wanasindwa hata kusoma hata kitabu cha TCU kuona wanachukua watu weny alama zipi
 
Kama ujui vitu nyamaza tangu lini kada ya uwalimu ikasomewa na watu waliofeli hivi unajua sifa za kujiunga na kozi ya uwalimu

Nikujuze tu huwezi kukuta mwalimu ana degree alafu ajamaliza kidato cha sita hiyo ina maana gani kidato cha nne alifauru, kidato cha sita au diploma alifauru

Nenda kada nyingine uko ukajionee ndio utajua uwalimu ni complicated kwenye matokeo hawaendi vilaza,

Pitia tovuti ya wizara ya elimu angalia sifa wanazoitaji mtu kujiunga kozi ya uwalimu kuanzia cheti alafu pitia na vyuo vingine angalia kozi nyingine sifa zipi wanaitaji mtu kujiunga na kozi ya cheti alafu ulinganishe ufauru ndio utajua kumbe

Hayo maneno uwalimu wanaenda walioferi hutolewa na mtu asiyejua mambo anayejua division one na two ndio ufauru
 
Kipindi cha Kikwete Asilimia kubwa waliajiriwa , walimu, wanajeshi , mpaka secta binafsi ziliajiri, unemployment rate ilikuwa ndogo sana na wasomi waliheshimika mtaani na watu waliona umuhimu wa shule.

Tokea elfu mbili na kumi na tano mpaka sasa ajira hamna.
 
Hatakuwi kupewa mitano tena
 
Nadhani hizi nafasi kazi watakuwa wameomba na walioko makazini hasa walio shule za private ndio maana inaonekana waombaji ni wengi
 
Kapige kura umchague Tundu Lissu akupe ajira
 
We mwenyewe umeajiriwa na wakisema unafukuzwa kazi unaweza ukafa hata kwa pressure. afu unasema vijana wapambane mtaani
 
Kama waalimu ambao wanasifa lakini hajaariwa wanafika zaidi ya laki jiulize kada zingine wako wangapi? CCM ni janga la Taifa
 
Inaskitisha sana
 
Huu ni uongo uliokubuu, nani aliyeachwa kwa kukosa sifa
 
Muheshimiwa kafeli kalimbikiza mno, sasa inakuwa tabu sasa.

Ona sasa tunavyofeli!
Mzee Joni ukimwangalia kwa jicho la tatu, utabaini kuwa anataka kupunguza ukubwa wa tarakimu kwenye payroll. Kumtaka aajiri ni kumpeleka kinyume na malengo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…