Walimu wengi ni failure , na ndo mana hawawez uzika kwenye private skul , mtu kapata div 4 , akasoma grade A anaweza vip fundisha English medium school , English alipata D near to F, ..... Hz papara alianza mkapa , akaja Kikwete , walitengeneza tatizo kubwa Sana , Nyerere Ali keep holding kuwa mda ukifika watu watajaa Tu tena wenye sifa , mkapa na kikwete wakawa wa kuzoa zoa, sa hv shule za private wanaofundisha ni vijana walioscore div 1&2 form four and div 1&2 form six wakisubir kwenda chuo ..... Walimu Weng hawana sifa za kuwa walimuHuu ni uongo uliokubuu, nani aliyeachwa kwa kukosa sifa
Mbali na kua na viwanda 8,460 pia amesema mkimchagua awamu hii atatangeneza ajira milioni 8 tena ameongea kwa msisitizo huku akionyesha kitabu kikubwa chenye kava la njano na kijani anachodai yote yameandikwa humo. Pia akasema msipomchagua yeye mtajuta na siku zote majuto ni MWIJUKULU.
Anayetakiwa kuajiriwa ni yule aliyefaulu kuanzia daraja la kwanza mpaka la tatu, walimu wengi ni watu waliofeli mitihani, tatizo wanazoa zoa tu. Na pia serikali haiwezi kuajiri kila anayehitimu, mambo mengne ni kudanganyana tuu. Vijana wanatakiwa wawe tuned kupambana na mtaa.
Walimu wengi ni failure , na ndo mana hawawez uzika kwenye private skul , mtu kapata div 4 , akasoma grade A anaweza vip fundisha English medium school , English alipata D near to F, ..... Hz papara alianza mkapa , akaja Kikwete , walitengeneza tatizo kubwa Sana , Nyerere Ali keep holding kuwa mda ukifika watu watajaa Tu tena wenye sifa , mkapa na kikwete wakawa wa kuzoa zoa, sa hv shule za private wanaofundisha ni vijana walioscore div 1&2 form four and div 1&2 form six wakisubir kwenda chuo ..... Walimu Weng hawana sifa za kuwa walimu
Serikali ina shule za English medium? unaongelea walimu wapi hao? walimu wanaoongelewa hapa ni wa degree.Walimu wengi ni failure , na ndo mana hawawez uzika kwenye private skul , mtu kapata div 4 , akasoma grade A anaweza vip fundisha English medium school , English alipata D near to F, ..... Hz papara alianza mkapa , akaja Kikwete , walitengeneza tatizo kubwa Sana , Nyerere Ali keep holding kuwa mda ukifika watu watajaa Tu tena wenye sifa , mkapa na kikwete wakawa wa kuzoa zoa, sa hv shule za private wanaofundisha ni vijana walioscore div 1&2 form four and div 1&2 form six wakisubir kwenda chuo ..... Walimu Weng hawana sifa za kuwa walimu
Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana.
Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe 14.09.2020 feeder ilikuwa imeshapokea jumla ya maombi 80,000+!
Sijui itakuwaje tu kwa vijana hawa watakaoachwa.
Solution kubwa ya tatizo la ajira hapa nchini kwetu ni kwa serikali kutengeneza mazingira ya watu kuweza kujiajiri, kuilea na kuikuza sekta binafsi kwa sababu kwa vipimo vyote, serikali haiwezi na haina uwezo wa kuajiri watu wote wenye sifa za kuajirika. Hili katika sekta ya elimu linaithibitisha hoja hii.
Inasikitisha kuwa, tangu kuingia madarakani kwa ndugu John Pombe Magufuli 2015, ameitibua tibua sana sekta binafsi kiasi ambacho imetema watu wengi toka kwenye ajira rasmi na yenyewe kudorora kwa kiasi kikubwa.
Matokeo ya Sera za CCM ya Magufuli ni haya. Sasa hawa ni vijana wa taaluma ya ualimu tu waliozagaa mitaani.
Hatujui ni madaktari, manesi, wahasibu, wanasheria, wahandisi nk. Wangapi wamezagaa mitaani bila msaada wowote wa serikali kuwawezesha waajirike au wajiajiri.
Mzee Edward Ngiyai Lowassa kuna wakati fulani alionya kuwa, tatizo la ajira kwa vijana ni BOMU KUBWA linalosubiri kulipuka.
Mkuu walimu wa degree hawafikii 80000 ambao hawana ajira , 2015 &2016 walimu wa degree science wote waliajiriwa , 2017 wachache pia waliajiriwa,....walimu wa degree art kuanzia 2015 up to date hawafikii 20000 , the rest ni grade A na diploma watu ambao ni totaly incompetentSerikali ina shule za English medium? unaongelea walimu wapi hao? walimu wanaoongelewa hapa ni wa degree.
Aiseeeeeee. Mkuu hakuna kijana mwenye digrii ambae ana chini ya daraja la kwanza mpaka la tatu.Anayetakiwa kuajiriwa ni yule aliyefaulu kuanzia daraja la kwanza mpaka la tatu, walimu wengi ni watu waliofeli mitihani, tatizo wanazoa zoa tu. Na pia serikali haiwezi kuajiri kila anayehitimu, mambo mengne ni kudanganyana tuu. Vijana wanatakiwa wawe tuned kupambana na mtaa.
Basi ni kweli hao walimu walifeliUna maanisha nini? Hivi kwa nini watu wanakuwa na mtazamo hasi kuwa walimu ni watu walioshindwa kufanya vizuri katika mitihani yao! Hili jambo si sahihi kabisa
Walimu wa degree hawafikii 80000 hyo number ni Grade A & diploma combined together, walimu wa degree hawazidi 20000 from 2015 up to date ambao hawana ajira, Kwa science 2015, 2016 wote waliajiriwa na 2017 baadhi..Aiseeeeeee. Mkuu hakuna kijana mwenye digrii ambae ana chini ya daraja la kwanza mpaka la tatu.
Kumbuka pia hao 80+ ni watu wenye muingiliano na mtandao na wana namba za nida
Huku hali si shwari
Taarifa huna unakisia kisia tuMkuu walimu wa degree hawafikii 80000 ambao hawana ajira , 2015 &2016 walimu wa degree science wote waliajiriwa , 2017 wachache pia waliajiriwa,....walimu wa degree art kuanzia 2015 up to date hawafikii 20000 , the rest ni grade A na diploma watu ambao ni totaly incompetent
Mbali na kua na viwanda 8,460 pia amesema mkimchagua awamu hii atatangeneza ajira milioni 8 tena ameongea kwa msisitizo huku akionyesha kitabu kikubwa chenye kava la njano na kijani anachodai yote yameandikwa humo. Pia akasema msipomchagua yeye mtajuta na siku zote majuto ni MWIJUKULU.
Maana ya waombaji wengi hivi ni kuwa wahitimu wetu ni wengi sana kuliko soko la ajira. Kwa hali kama hii, si maendeleo pale ufauli unapokuwa zaidi labda ya 90% wakati hao wahitimu hakuna pa kuwapeleka.Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana.
Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe 14.09.2020 feeder ilikuwa imeshapokea jumla ya maombi 80,000+!
Sijui itakuwaje tu kwa vijana hawa watakaoachwa.
Solution kubwa ya tatizo la ajira hapa nchini kwetu ni kwa serikali kutengeneza mazingira ya watu kuweza kujiajiri, kuilea na kuikuza sekta binafsi kwa sababu kwa vipimo vyote, serikali haiwezi na haina uwezo wa kuajiri watu wote wenye sifa za kuajirika. Hili katika sekta ya elimu linaithibitisha hoja hii.
Inasikitisha kuwa, tangu kuingia madarakani kwa ndugu John Pombe Magufuli 2015, ameitibua tibua sana sekta binafsi kiasi ambacho imetema watu wengi toka kwenye ajira rasmi na yenyewe kudorora kwa kiasi kikubwa.
Matokeo ya Sera za CCM ya Magufuli ni haya. Sasa hawa ni vijana wa taaluma ya ualimu tu waliozagaa mitaani.
Hatujui ni madaktari, manesi, wahasibu, wanasheria, wahandisi nk. Wangapi wamezagaa mitaani bila msaada wowote wa serikali kuwawezesha waajirike au wajiajiri.
Mzee Edward Ngiyai Lowassa kuna wakati fulani alionya kuwa, tatizo la ajira kwa vijana ni BOMU KUBWA linalosubiri kulipuka.
wanasikia kijiwen hana uthibitishoKama ujui vitu nyamaza tangu lini kada ya uwalimu ikasomewa na watu waliofeli hivi unajua sifa za kujiunga na kozi ya uwalimu
Nikujuze tu huwezi kukuta mwalimu ana degree alafu ajamaliza kidato cha sita hiyo ina maana gani kidato cha nne alifauru, kidato cha sita au diploma alifauru
Nenda kada nyingine uko ukajionee ndio utajua uwalimu ni complicated kwenye matokeo hawaendi vilaza,
Pitia tovuti ya wizara ya elimu angalia sifa wanazoitaji mtu kujiunga kozi ya uwalimu kuanzia cheti alafu pitia na vyuo vingine angalia kozi nyingine sifa zipi wanaitaji mtu kujiunga na kozi ya cheti alafu ulinganishe ufauru ndio utajua kumbe
Hayo maneno uwalimu wanaenda walioferi hutolewa na mtu asiyejua mambo anayejua division one na two ndio ufauru
Hapo sawa mkuuWe mbona hujielewi , changanua basi , katika hayo maombi , grade A ni wa ngap , diploma wa ngap na degree wa ngap ? Alaf fatilia record za TCU walimu wa degree waliomaliza since 2015 , wakat huo huo walimu wa degree science Kwa 2015, 2016, 2017waliajiriwa , hao 80000 sio wote degree namba kubwa ni grade A na diploma......tatizo hii nchi la Saba wengi
Changamoto ya upatikanaji wa ajira ni ya dunia nzima na si Tanzania pekee kama ambavyo unataka kuaminisha watu.Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana.
Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe 14.09.2020 feeder ilikuwa imeshapokea jumla ya maombi 80,000+!
Sijui itakuwaje tu kwa vijana hawa watakaoachwa.
Solution kubwa ya tatizo la ajira hapa nchini kwetu ni kwa serikali kutengeneza mazingira ya watu kuweza kujiajiri, kuilea na kuikuza sekta binafsi kwa sababu kwa vipimo vyote, serikali haiwezi na haina uwezo wa kuajiri watu wote wenye sifa za kuajirika. Hili katika sekta ya elimu linaithibitisha hoja hii.
Inasikitisha kuwa, tangu kuingia madarakani kwa ndugu John Pombe Magufuli 2015, ameitibua tibua sana sekta binafsi kiasi ambacho imetema watu wengi toka kwenye ajira rasmi na yenyewe kudorora kwa kiasi kikubwa.
Matokeo ya Sera za CCM ya Magufuli ni haya. Sasa hawa ni vijana wa taaluma ya ualimu tu waliozagaa mitaani.
Hatujui ni madaktari, manesi, wahasibu, wanasheria, wahandisi nk. Wangapi wamezagaa mitaani bila msaada wowote wa serikali kuwawezesha waajirike au wajiajiri.
Mzee Edward Ngiyai Lowassa kuna wakati fulani alionya kuwa, tatizo la ajira kwa vijana ni BOMU KUBWA linalosubiri kulipuka.
Eeh napo nitampigia kura Tundu Lissu . Hata kama asipo nipa ajira , hii nchi ni ya watanzania wote, mmefeli vya kutosha tunahitaji mtu mwingine sasa.Kapige kura umchague Tundu Lissu akupe ajira
Mzee umeandika uongo uliokomaaWalimu wa degree hawafikii 80000 hyo number ni Grade A & diploma combined together, walimu wa degree hawazidi 20000 from 2015 up to date ambao hawana ajira, Kwa science 2015, 2016 wote waliajiriwa na 2017 baadhi..