Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

Jamani msikilizeni Pole pole anasema*****
 

Attachments

  • H1GyP7BLw9Pag2AJ.mp4
    652.3 KB
Naunga mkono hoja #1,2&4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi walinishangaza pale walipowarudisha wanafunzi wa mashuleni na vyuoni nyumbani huku wakiendelea kuruhusu watu waingie na kutoka mipakani...unaziba huku kule kuko wazi..mnhhh
Vipi umeambukizwa corona na familia yako? Na utakoma kama unasubiri serikali ikutangazie lockdown hakuna cha lockdown
 
Pole kwa kuambukizwa corona mkuu na familia yako. Muombe Mungu akuepushe na kifo cha corona kwa kuwa umeambukizwa mapema sana!
 
Walaumiwe kwa kuleta Corona au? Maana ugonjwa ki vyovyote ungekuja tu.

Je watanzania dizaini yako wangekuwa kama wataliano wanavyokufa mngekuwa mnaweka UZI back to back hadi server zingesema poh humu?

Inabidi tushukuru na kuwatia moyo wale wote awalali kipindi hiki maana kwa uwezo na kwa resources tulizonazo kama nchi hamna case za vifo vingi kama huko kwa wenzetu wenye resources za kutosha kuliko Tanzania.
 
Makaburi yaliyopo mtaa wa kondo / Bahari beach kata ya kunduchi yanaelekea kujaa maana kila saa ni ving'ora na kufukia maiti ndani ya shimo/kaburi moja , kama sio wagonjwa wa corona ni nini maana huoni ndugu zaidi ya hao wazikaji , kama leo jioni zimekuja kama gari sita hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio huru wa kupotosha mambo mnaopigia kelele, je ukiambiwa uthibitishe kwa unachokieleza hapa, upo tayari?
 
Vipi na mama yako amezikwa hapo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…