Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,139
- 842
Hadi sasa, ukiacha Zanzibar ambako wagonjwa bado wanaongezeka, Tanzania bara, kwa kiasi kikubwa umedhibitiwa. Sababu kubwa ya kudhibitiwa ni wananchi kuzingatia ushauri wa wataalamu, na usimamizi makini wa Serikali. Baadhi ya Mikoa imwxhukua hatua zaidi ya kuhakikisha vyombo vya usafiri na maeneo ya mikusanyiko ya watu km hospitali, masoko, nk yanapuliziwa dawa.
Wewe mtu unaongea ukiwa nchi gani!! Unadiriki kusema umethibitiwa, kweli!?? Hii "exponential growth" huioni, ama mwenzetu unaongea ukiwa usingizini, hata habari za takwimu zitolewazo na Wizara kabisa huzijui!!! Wenzako wameona Mloganzila haitoshi, wameichukua na Amani, halafu unasema imethibitiwa!! Kwa usalama wako tu, ondoa hili wazo na chukua hatua...wagonjwa ni wengi mtaani.