Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

Huu ni upumbavu, watu walipokuwa wanashauri kuwa fungeni mipaka mliwaona wajinga na ninyi mkajiona werevu na mnajua kila kitu.
Mmeharibu na kutusababishia maafa makubwa

Sasa oooh! Tuombee nchi, mara tusiamame na rais kuiombea nchi.
Mara, muda huu si wa kulaumiana tusambaze elimu.

Upumbavu mtupu,kusambaza elimu wakati adui yumo ndani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upumbavu jibu comment hiyo
 
Huu ni upumbavu, watu walipokuwa wanashauri kuwa fungeni mipaka mliwaona wajinga na ninyi mkajiona werevu na mnajua kila kitu.
Mmeharibu na kutusababishia maafa makubwa

Sasa oooh! Tuombee nchi, mara tusiamame na rais kuiombea nchi.
Mara, muda huu si wa kulaumiana tusambaze elimu.

Upumbavu mtupu,kusambaza elimu wakati adui yumo ndani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameulizwa vp hizo nchi nyengine serikali zao zilizembea Kama mipaka wamefunga Kama lockdown ipo na wanakufa vp mwenzetu au unafikiria kwa kutumia 0713
 
Sasa wakifa kwani nani anadhulika? Hizi akili mi za watu kama wewe mkuu. Eti watu wakifa hauna hata huruma! Hooeless kabisa. Afe mama yako pia usiwe na huruma.
Msukule huo Hana hata ufahamu wa kujitambua mwenyewe hopeless kabisa
 
Naona wapumbavu mlivyo wengi humu alafu mnajiita great thinkers.

Umeoewa njia za kujikinga na huu ugonjwa hutaki kuzifuata then unalaumu serikali.

Na basi mtakufa sana mipaka haifungwi.

God save us
 
Naona wapumbavu mlivyo wengi humu alafu mnajiita great thinkers.

Umeoewa njia za kujikinga na huu ugonjwa hutaki kuzifuata then unalaumu serikali.

Na basi mtakufa sana mipaka haifungwi.

God save us
Ndio ujue misukule haina ufahamu ipo tu kulaumu tu na kulazimisha serikali iwagawie chakula Basi
 
Jamaa akiibuka kutoka mafichoni utasikia kwani ccm iliahidi kuleta corona?
 
Tahadhari gani unazungumzia bara wakati leo makanisani watu walijazana na tbc inarusha
Hadi sasa, ukiacha Zanzibar ambako wagonjwa bado wanaongezeka, Tanzania bara, kwa kiasi kikubwa umedhibitiwa. Sababu kubwa ya kudhibitiwa ni wananchi kuzingatia ushauri wa wataalamu, na usimamizi makini wa Serikali. Baadhi ya Mikoa imwxhukua hatua zaidi ya kuhakikisha vyombo vya usafiri na maeneo ya mikusanyiko ya watu km hospitali, masoko, nk yanapuliziwa dawa.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Mkuu nafikiri kwa sasa hivi hakuna ubishi kuwa Covid-19 ni janga kubwa la kitaifa na dunia nzima.
Hao viongozi wabishi muda haupo upande wao,walifanya makosa makubwa ya kupenda pesa za watalii kuliko uhai wananchi watanzania.Leo nashangaa tunapomtania Mungu kwa maombi.Kwanini hawakutumia madaraka yao kufunga mipaka mapema?
Huyu ngoma ikipamba moto ataturuka tu kuwa nilimwambia mfunge na kusali hamkusikia
 
WA KULAUMIWA WACHINA.
yaani vile vijamaa ningekuwa na uwezo ningewafuta kwenye uso wa dunia.
Yaani wewe kila kitu unakula popo,panya, mbwa,paka
Wewe binadamu gani?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
SIO KWELI..
na hyo lock down ni nyie wa mitandaoni ndo mnaopiga kelele.
Na hata mkiulizwa nyie mpo lockdown hamuwezi KUJIBU.
Kwasasa Wananchi waliowengi wamemchukia kiasi cha kutisha kwa kweli waliobaki wanampenda ni Mapolisi tu kwa sababu amekuwa akiwaongezea mishahara kila wanapowapiga na kuwadhalilisha Chadema ila Zitto hawamgusi

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Mfano haya masoko ya minada kwanini isifungwe kwa muda sababu haya masoko yanakusanya watu wengi sana.kwa mfano hapa kwetu muheza Mjini tanga Leo jumaa tatu ndio siku yetu ya soko.watu wanabanana kununua vitu .kwanini yasifungwe haya nakubakiza masoko ya kawaida haya ambalo kila duka kuna utaratibu mzuri wa kuweka maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lockdown ni kwa usalama wako na familia yako,haumkomoi Becky kwa kutoweka lockdown...muda ni mwalimu mzuri,leo ndio siku ya tatu ya maombi..subiri tuone yatakayojiri, boss wako katoka kujimwambafy hafungi mipaka previously mpaka kuomba tufunge kwa siku tatu...subiri nakupa na muda na wewe nione utaimba ngonjera gani..
Leo nimeota umepata Coronavirus dada! Kuwa makini sana kama inawezekana njoo tujilockdown na mimi ndiyo pona yako!
 
Back
Top Bottom