Tatizo la engine kumisi ukikanyaga accelerator kwenye baadhi ya gari za Toyota

Njoo inbox nkupe no
 
Dashboard au fuel gauge yenyewe imezingua.
Yangu ni ya Digital mkuu nayo inasoma ndivyo sivyo. Yani mafuta yakiwa mengi kama half tank au zaidi inasoma vizuri. Yakishuka kuanzia 3 bars inaanza kunipa false readings, inashuka na kubakia bar moja kisha utatembelea gari ukija shtuka limekata mafuta tu wakati bar inaonekana moja haiendi kuwa empty kabisa wakati zamani haikuwa hivyo.

So yakishapungua Bar 3 huwa naendesha gari kwa wasiwasi kama ya wizi vile kila nikipita karibu na sheli nalazimika niweke kukwepa fedhea ya kuzimikiwa na gari ila kimsingi yanakuwepo mengi kwenye tank.

Ukiongeza utashangaa yamepanda yanasoma bar 3
 
Mkuu samahani mimi nina Subaru Impreza haimalizi les inaishia kwenye 3 inarudi chini lkn kwenye machine mafundi waliangalia hakuna tatzo na kwa unaweza tembea safari ya kawaida ikakuwashia taa ya check injini lkn pia juzi limeanza kuchemsha na kukausha maji ingawa limeenda jana safari ya km400 Je tatzo ni hilo hilo coil au kuna tatzo jingine?
 
subiri fundi maiko aje hapa.
yeye ashamwambia mwenye gari kwamba miss ya isuzu ndio mbovu inabidi iagizwe nairobi.
we unakuja hapa kusema ignition coil
 
Kama gari inawasha Check engine lazima ukipima ikuoneshe shida ni nini....

Nasisitiza, Ni lazima.

Hiyo ndo sehemu yq kuanzia.
 

Fuel gauge za digital zinapitia kwenye control box, Nimeshaona kwa gari kama Vitz.

Sometimes ishu huwa inakuwa complicated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…