Tatizo la engine kumisi ukikanyaga accelerator kwenye baadhi ya gari za Toyota

Pamoja sana Ndugu.
 
Gari yangu ni 1ZZ 1790 CC
Kuna muda nilifanya Service Nikabadili spark plugs na Air cleaner sababu ulaji wa mafuta uliongezeka sana, kwa sasa inaenda wastani wa 8Km hadi 9Km urban...natakiwa nifanyeje maana naona bado haiperform vzuri kwenye wese.

Na kitu cha 2 ni kwamba, kuna wakati nikiwa Road, naweza nikakanyaga pedal ya mafuta lakini gari inakuwa nzito kuchanganya yaani mpaka nakanyaga kwa nguvu lakini wapi...baada ya few seconds ndo inacatch ule mwendo na kuongeza speed ghafla...tatizo linaweza kuwa nini?

N.B hakula warning sign yoyote kwenye dashboard
 
Carburetor tatizo
 
Aangalie tu waya wa ABS, akifungua tairi ya mbele atauona pengine umechubuka au umekatika
Boss samahani mimi nina R4 huwa inawasha taa ya ABS mara inazima,kwa sasa imeacha,je ilikuwa nini hiyo?
 
Fedhea ya kuzimikiwa gari kwa sababu ya mafuta ni mbaya ,[emoji23]
 
Sasa hiki ndio nini we jamaa?
 
Nadhani napitia changamoto hio kwa sasa, plugs nzima, pump nzima ila gari inaleta miss ya ajabu na hata kuchelewa kuwaka.

Swala nawaza nitapata wapi coils za uhakika maana hata sijui zikiwa nzima zinapimwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…