Tatizo la gari kutetemeka kwenye speed likifika speed ya 70kph hadi 80kph

Kuna mambo kadhaa ya kukagua: Shock absorbers hasa kama ni zile zenye kuuanganishwa na damper na sping. Wheel bearings, and wheel balancing. Hayo ndiyo mambo makubwa.
mengine ni pamoja na kuhakikisha kuwa injini ina spark plug safi, air cleaner safi na injector safi. Vitu hivi huweza kusababisha injini itetemeke na kusababisha gari lote litetemeke kwenye spidi za juu.
 
Wadau wamependekeza:

1. Engine Mounts
2. Spark Plugs.
3. Wheel Alignment

Ongeza na kucheki:

4. ATF
Hii wheel alignment naunga mkono ngoja nijichange change niingie garage
 
Nenda fanya wheel balancing alafu fanya wheel alignment. That is kama umehakikisha spark plugs ziko sawa. Problem solved.
Gharama za hizo service niandae shilingi ngapi approximately
 
Nunueni mapya acheni ubahili
Kwa namna ninavyoona gari zinavyo depreciate naona used ndio option nzuri, kwakua sioni mabadiliko makubwa kwenye gari ya 2005 na 2015 zaidi kuona batani zimeongezeka na gear kua ya kuzungusha.
 
Kwa namna ninavyoona gari zinavyo depreciate naona used ndio option nzuri, kwakua sioni mabadiliko makubwa kwenye gari ya 2005 na 2015 zaidi kuona batani zimeongezeka na gear kua ya kuzungusha.
In fact magari ya zamani ni reliable sana kuliko ya siku hizi. Siku hizi kuna plastiki nyingi sana ndani ya gari na hata bati lenyewe ni la geji ya juu sana ukiegemea tu linabondeka. Kwa marekani kadri geji inavyokwenda juu ndivyo bati linazidi kuwa jembamba; jamaa walioweka hiyo standard walikuwa stupid sana.
 
Brother gari za miaka ya karibuni hazina changamoto ni vile bei zipo juu tu.
 
Tangu kuanza kumiliki gari Nilipata hii changamoto mara tatu na gari tatu tofauti.
Mara mbili ilikuwa tatizo la tairi mara moja mount
Ulitumia aproxmately shilingi ngapi
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…