Tatizo la gari kutetemeka kwenye speed likifika speed ya 70kph hadi 80kph

Hilo tatizo liliwahi kunitokea kwenye gari yangu nikiwa dodoma ila nilivua tyres za nyuma nikaweka mbele na za mbele nikaweka nyuma bcoz za nyuma zilikua zimelika kuliko za mbele tatizo liliondoka
 
Ulitumia aproxmately shilingi ngapi
Muda umepita kidogo Ila kwa kumbukumbu zangu ile ya allignment, balance na zile weight za rim ilikuwa laki mbili kasoro, ile ya tairi nilinunua tairi, Hii ya mount nilinunua mount sijui ilikuwa laki nne kasoro hivi nadhani.
 
Reasonable kabisa sidhani kama itapishana sana
 
Reactions: Tsh
Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.

Naombeni msaada wataalamu
Badili plug
 
MATATIZO NI TOFAUTI ,KUNA BALL JOINT,MOUNTING NA KWENYE ENGINE INATEGEMEA VIBRATION INATOKEA WAPI?
 
Wheel balancing na bearing na bolt joint ndio vitu vya kuangalia ndio hua vinaleta sana hio shida
 
Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.

Naombeni msaada wataalamu
Kama tyres zako ni nzuri, kafanye wheel balance na wheel alignment.

Tatizo lisipoondoka itabidi kucheki kwa undani zaidi.
 
MATATIZO NI TOFAUTI ,KUNA BALL JOINT,MOUNTING NA KWENYE ENGINE INATEGEMEA VIBRATION INATOKEA WAPI?
Sawa sawa mkuu ahsante sana๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
 
Wengi wamekueleza kuangalia matairi, na ni kweli matairi kama hayana mizania sawa hilo tatizo huja, angalia uchakavu wake, upepo wa tairi zote na kufanya wheel balance kama ikibidi, ukishamaliza kufanya hivyo ndiyo uende kwenye axle na suspensions.
 
Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.

Naombeni msaada wataalamu
Linaogopa lawama lisije likaambiwa ndilo limesababisha kifo chako kwa kukimbia sana.
 
80kph ni salama kabisa boss., mimi ni muoga sana na mara chache ndio hua natembea 80kph hadi 100kph unless ni 60-70 full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ