macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Uko sahihi mkuu. 80 ni mwendo mzuri! Hata 100 sehemu nzuri siyo mbaya. Zaidi ya hapo ndiyo unaanza kuingia kwenye hatari.80kph ni salama kabisa boss., mimi ni muoga sana na mara chache ndio hua natembea 80kph hadi 100kph unless ni 60-70 full stop
Si ndio hapo sasa! Agizeni vyuma kwa mjepYard zenyewe za waarabu za kuchekecha mileage
Wewe ndio mimi.. nafikaga 130km/p hapo kamoyo kanaanza kudunda nikifiria watoto naanza kuachilia pedali mdogo mdogo narudi zangu 80!! Cha kufia nini 🤣🤣80kph ni salama kabisa boss., mimi ni muoga sana na mara chache ndio hua natembea 80kph hadi 100kph unless ni 60-70 full stop
Sasa kuna watu zile kona za iyovi wanalala na 150!! Aisee kuna watu majasiri. Yupo jamaa yangu ana crown athlet hua anasema ikitokea amepata ajali hataki kusumbua bora afe. Yeye mara zote anamaliza kisahaniUko sahihi mkuu. 80 ni mwendo mzuri! Hata 100 sehemu nzuri siyo mbaya. Zaidi ya hapo ndiyo unaanza kuingia kwenye hatari.
Mkuu kuna magari ni hatari sana kuendesha kama huna uzoefu nayoWewe ndio mimi.. nafikaga 130km/p hapo kamoyo kanaanza kudunda nikifiria watoto naanza kuachilia pedali mdogo mdogo narudi zangu 80!! Cha kufia nini 🤣🤣
DuuuMara ya mwisho kubadilisha Spark Plugs wire ignition cables ni lini mkuu?
Sina uzoefu sana ila Mara nyingi ni vitu vitatu.
Lakini pia ujuzi wa fundi unaye mtumia nayo ni sababu piaNinachojua chombo cha moto hakifi ni hela tu
Sasa kuna watu zile kona za iyovi wanalala na 150!! Aisee kuna watu majasiri. Yupo jamaa yangu ana crown athlet hua anasema ikitokea amepata ajali hataki kusumbua bora afe. Yeye mara zote anamaliza kisahaniUko sahihi mkuu. 80 ni mwendo mzuri! Hata 100 sehemu nzuri siyo mbaya. Zaidi ya hapo ndiyo unaanza kuingia kwenye hatari.
Yuko bwana mmoja kuna siku tulikuwa tunatoka Moro to Dodoma.. yule jamaa ni mshenzi wa speed.. 200kmp 260 kwake kawaida. Unaona kabisa hii speed sio ikafika muda nikamwambia Oya mbona unamkaribisha Israel?Mkuu kuna magari ni hatari sana kuendesha kama huna uzoefu nayo
Mi nimezoea kuendesha haya magari yetu ya kimasikini kama Rav 4, IST nk nk ambayo ukifika speed 120 comfortability inapotea unaanza kuona kama gari inapaa na inakosa balance
Siku moja nikaendesha Land cruser Vx kutokata Tanga kuja Dar
Aisee kuna muda unakuta barabara imetuliaa inakuita tu, kwa njisi gari lilivyotulia unadhani upo kwenye speed za kawaida za 100-120.......kuja kuchungulia speed meter nakuta inasoma 180, nili shtuka sana nika achia pedal
Kuanzia hapo nikawana natembea na speed meter tu sivuki 120
Kuna magari unaweza ukawa 200 lakini gari imetuliaa lakini sasa ukibugi kidogo tu hiyo ajali yake nimbaya sana
Mtu wa aina hiyo mimi nashuka mara moja. Naweza hata kudanganya kutaka kujisaidia na nishuka kwenye gari sirudi.Sasa kuna watu zile kona za iyovi wanalala na 150!! Aisee kuna watu majasiri. Yupo jamaa yangu ana crown athlet hua anasema ikitokea amepata ajali hataki kusumbua bora afe. Yeye mara zote anamaliza kisahani
Yuko bwana mmoja kuna siku tulikuwa tunatoka Moro to Dodoma.. yule jamaa ni mshenzi wa speed.. 200kmp 260 kwake kawaida. Unaona kabisa hii speed sio ikafika muda nikamwambia Oya mbona unamkaribisha Israel?
Binafisi ni mwoga wa speed always nikisoma kisahani baridi inaingia naanza kupunguza.
hapo shida itakua labda kwenye wheel alignment au mounting ya engine ila kama sikosei hiyo ni 3l diesel au 5l maswala ya spark plug haina huko angaika na miguu ya gari fanya full serviceNi land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
Naombeni msaada wataalamu
Badilisha spark plugs iyo ndo tatizo hapo hakuna kingine, at that particular speed, engine revs ziko high and engine power deliverance ni ndogo due to clogged spark plugs, hivyo basi mitetemeko unayoipata ni output (result) ya engine inavo kua ina-struggle to get extra power to attain mzunguko wake at that peak. Failure to to that una hatarisha engine yako. Fix thatNi land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
Naombeni msaada wataalamu
130 barabara zenyewe hizi sio mkeka hata kidogo chuma zenyewe ndo hizi mara paap tyre limechomokaWewe ndio mimi.. nafikaga 130km/p hapo kamoyo kanaanza kudunda nikifiria watoto naanza kuachilia pedali mdogo mdogo narudi zangu 80!! Cha kufia nini 🤣🤣
Aisee nami nisharekebisha kwa sasa iko poaKwa uzoefu wangu nilikua na Harier ambayo hapa mjini sikuwahi kuvuka speed 100
Siku moja nikawa nasafiri kwenda Singida, basi ile natoka Dar kwenye zike njia nane kuitafuta Kibaha nikawa nafika speed hadi 100 gari ikawa ina vibrate sana
Kufika Kibaha ikabidi nimpigie fundi wangu akaniambia fanya wheel balancing na wheel alignment
Aisee baada ya hapo nikawa natembea speed hadi 140 gari imetuliaaaa
Issu hapo itakuwa ni Woga. Gari lako huwa marafiki halifiki hizo speed. So lazima liwe na woga na kutetemeka.lizoeshe litakuja kuzoea na kuona kawaida.Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
Naombeni msaada wataalamu
Sahihi grand gars lc300 na discovery nyingi Iko stable sana na baadhi ya sports cars kama alteza unaweza kua kwenye 150-180 na gari imetukiaMkuu kuna magari ni hatari sana kuendesha kama huna uzoefu nayo