Mpendwa usikomalie tu ilimradi... utumie kwa viwango kidogo na siyo kupapukia...Tutaish vipi bila ya kula ivyo vya kula vya nafaka alivovitaja
Ndio matunda na maziwa ni carbohydrates i.e matunda kitaalam huitwa fructose na maziwa huitwa maltose.mpk ma2nda na maziwa??????
Kunywa soda sio tatizo ila itakuwa tatizo kama unakunywa sana,na unakula carbohydrates mara nyingi and then haufanyi mazoez or any physical exercise.Hii itaipa shida isulini katika kubalace/control kiasi cha sukali.Naombeni msaada kuhusu hii kitu inaitwa aspartine,ni kemikali inayowekwa kwenye vinywaji sikuhizi ina ladha ya sukari lakin sio sukari,mfano soda ya coke zero,ukiinywa ni kama soda kabsa sukar yake lakin sio sukari,je ni kwel hii ni nzur kwa diet nzur kwa tunaoogopa ugonjwa huu,..mi imekua ndo mbadala wangu wa soda sikuhiz kwasabab napenda sana soda
Nimesoma nikaelewa ndo maana najiamini,sina haja yakurudia kusoma mambo niliyo kwisha soma nakuyaelewa.We uyenabisha ndo uje na reference inayo onyesha sehem inayoleta mkanganyiko au kama hujaelewa sehem kuwa specific usaidiwe.Onesha references sio kutoa kichwani mwako ,,,afu onesha aina za kisukari
Mkuu hili ni jukwa huru, unapokosoa hebu njoo alternative reference ambayo wewe unayo.Maelezo yako yanakanganya inawezekana huna elimu hiyo ya ugonjwa wa kisukari au umeshindwa namna ya kuwasilisha ulichokusudia kutueleza
Ndio inaweza sababisha kisukari,na pia haishauriwi kumpa mgojwa wa kisukari.Hivi mkuu hata asali inaweza changia kisukari.
Hapo Ndipo Pabaya!Tule nini sasa.....!!!! kila kitu ni hatari
Ki sugar nacho ndo kitu gani???? Haupo kwenye ile orodha ya Kairuki wewe?Thank you for your attention,toa kwenye list mboga tu kama ipo, itakuwepo ki makosa
Sorry kwa kutumia kiswa -English.Lengo lilikuwa ku capture attention ya msomaji.Ki sugar nacho ndo kitu gani???? Haupo kwenye ile orodha ya Kairuki wewe?