Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Sawa mkuu, ila nauliza tu, je wewe ni health personnel au una deal na kisukari tu.
 
Mie huwa napatwa na hyo pregnancy diabetes!hhuwa inanisumbua mno mno had nafaint! unanishaurije
 
Pole sana. Ila nina shauri mtu personal coz ningetaka kutoa ushauri kwa kila mtu ningeuandika hapa. Ila ahadi yangu ya watu wa5 iko pale pale kwa mtu atakayenitafuta personal

Sent using Jamii Forums mobile app


toa hapa hapa mkuu kwa faida ya wengi! kuna mtu fulan nae alikuja anatiu gonjwa fulan akasema ni bure hachaj kitu!mshikaj wangu akamfata pm...ghafla akatajiwa malaki kibao! anywys nitakufata pm.....
 
toa hapa hapa mkuu kwa faida ya wengi! kuna mtu fulan nae alikuja anatiu gonjwa fulan akasema ni bure hachaj kitu!mshikaj wangu akamfata pm...ghafla akatajiwa malaki kibao! anywys nitakufata pm.....
Mkuu ungesoma bandiko langu vizuri wala usingepata hiyo shida. Nimesema kwa sasa silipishi kabisa ila baada ya muda nitaanza kufanya hivyo hasa baada ya watu ninaowahudumia bure watakapopona kabisa. Hii ni long term strategy ya ku-win imani za wagonjwa kwanza maana kitu kipya kinachangamoto kwenye kukubalika hasa kinapogusa afya ya mtu ambaye anaishi kwa masharti ya wataalamu wa afya. Mpaka sasa nimepata wanajf wa 2 bado wa3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungesoma bandiko langu vizuri wala usingepata hiyo shida. Nimesema kwa sasa silipishi kabisa ila baada ya muda nitaanza kufanya hivyo hasa baada ya watu ninaowahudumia bure watakapopona kabisa. Hii ni long term strategy ya ku-win imani za wagonjwa kwanza maana kitu kipya kinachangamoto kwenye kukubalika hasa kinapogusa afya ya mtu ambaye anaishi kwa masharti ya wataalamu wa afya. Mpaka sasa nimepata wanajf wa 2 bado wa3

Sent using Jamii Forums mobile app


naja
 
Mimi nimewahi ugua kisukari, mara ya kwanza nagundulika nina kisukari mwezi wa ramadhani 2016, nilivyopimwa ilikuwa18 hapo nimefunga, futari yangu ilikuwa uji wenye sukari, tambi, weka na tende kumbe ndo naikoleza. Nilipungua uzito toka 89kg hadi 62kg ndani 1week, nimetumia dawa za hospitalini wiki moja tu sikuona badiliko ndo kwanza kinakolea, nikakutana na ustadh fulani tandika anajihusisha na utengenezaji wa dawa za kisuna, nikamweleza tatizo langu, akanipa dawa iliyohifadhiwa kwenye kijichupa iliyonigharimu tshs3000/=, nikatumia wiki moja tu sukali yote chali mpaka leo nina mwaka sukali haijapanda zaidi ya 7mmgl, natumia vyakula vyote, soda natumia mara moja kwa mwezi, mazoezi kwa sana na afya imeimarika. Thanks god

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimewahi ugua kisukari, mara ya kwanza nagundulika nina kisukari mwezi wa ramadhani 2016, nilivyopimwa ilikuwa18 hapo nimefunga, futari yangu ilikuwa uji wenye sukari, tambi, weka na tende kumbe ndo naikoleza. Nilipungua uzito toka 89kg hadi 62kg ndani 1week, nimetumia dawa za hospitalini wiki moja tu sikuona badiliko ndo kwanza kinakolea, nikakutana na ustadh fulani tandika anajihusisha na utengenezaji wa dawa za kisuna, nikamweleza tatizo langu, akanipa dawa iliyohifadhiwa kwenye kijichupa iliyonigharimu tshs3000/=, nikatumia wiki moja tu sukali yote chali mpaka leo nina mwaka sukali haijapanda zaidi ya 7mmgl, natumia vyakula vyote, soda natumia mara moja kwa mwezi, mazoezi kwa sana na afya imeimarika. Thanks god

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu. Dawa za hospitali huwa zinaongezeka tatizo badala ya kutoa suluhisho la kudumu kwasababu zinatibu dalili badala ya chanzo cha tatizo. Kwa kawaida dawa za hospitali zinamsaidia mgonjwa kwa miezi 3 mpaka 6. Baada ya hapo tatizo linarudi likiwa kubwa zaidi hivyo utegemezi wa dawa unaongezeka zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Glucoblock Capsule Regulate Sugar level

a.- -It improves circulation of the collateral branch and reallocation of the blood stream, regulate microcirculation and metabolism of the pancreas, so as to normalize the physiological function of the diseases insulin tissue.
b. - -It reduces the blood sugar, eliminates symptom of diabetes, restores function of the insulin, improves normal secretion of the insulin cell, activates histiocyte, and resumes receptors to insulin cytosine. Meanwhile, it is particularly effective on diabetes complications.
c. - -It regulates incretion, metabolism of carbohydrate an central

BALSAM PEAR TEA
a. Repairs£cells of pancreas which is responsible for producing insulin;
b. Polypeptide P - a plant insulin, reduces blood sugar and blood lipid level safely;
c. Prohibits the absorption of glucose in small intestine and reduces glucose in the blood stream;
d. Alleviates complications of diabetes such as thirst and dry mouth.

CHITOSAN CAPSULE;
a. Reduces blood lipid; helps weight loss;
b. Reduces blood sugar;
c. Strengthens the function of liver; prevents liver against damage of toxins;
d. Promotes healing of gastric ulcer.

MEAL CELLULOSE
a. Normalizes bowel movement and maintain bowel integrity and health;
b. Lowers blood cholesterol levels;
c. Helps control blood sugar levels;
d. Acids in weight loss.

BALSAM PEAR TEA.
a. Hucangia utumizi Wa sukari kwenye chembe chembe hai.
b. Huzuia uharibifu Wa mwili unaotokana na kisukari.
c. Huchangia kusawazisha mwilini.
d. Huzuia makari yanayo sababis hwa na kisukari.
e. Huindoa sumu mwilini.

CHITOSAN CAPSULES
a. Huondoa sumu mwilini na kupunguza mafuta mabaya.
b. Hupunguza sukari kwenye damu
c. Hupatia INI nguvu kwa kutoa mafuta mabaya na kuboresha inavyofanya kazi yake.
d. Hunyonya uchafu Wa chuma ( madini) mwilini.

- MEAL CELLULOSE
a. Hupunguza sukari kwenye dam
b. Huzuia mwili kuhifadhi kalori za ziada basi kwa kupunguza unene.
c. Nzuri kwa walio na ugonjwa Wa mishipa ya ubongo na moyo.
899eab97410f45f7be45204864c2f110.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
0e3424ca1a63ac4aca0518866e633770.jpg
5708ae175ae6ae356fb7c5e63994a085.jpg


KISUKARI NI NINI HASWA?

Sukari mwilini hutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyotumia kila siku na hutumika kuupa mwili nguvu. Glukosi ni aina ya sukari ambayo huzipa chembe za mwili nishati. Hata hivyo ili glukosi iingie ndani ya chembe hizo inahitaji insulini. Insulini ni kemikali (Homoni) ambayo hutokezwa na kongosho (Pancrease).

Kisukari ni ugonjwa unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati.

Ugonjwa wa Kisukari hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo (Homoni) aina ya insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka kwa sukari (Hyperglycemia) au kushuka kwa kiwango cha sukari (Hypoglycemia). Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa na kuwa na kiwango kidogo cha insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili.

TAKWIMU MBALIMBALI ZA UGONJWA WA KISUKARI

Kulingana na ripoti mbalimbali karibu watu milioni 316 ulimwenguni pote wana kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu, ingawa wengi wao hawajui wana kiwango hicho. Kwa mfano, nchini Marekani pekee asilimia 90 ya watu wenye sukari nyingi kwenye damu hawatambui kama wana tatizo hilo. Ingawa asilimia 8.3 ya watu watu wa Marekani wana Kisukari ambayo ni sawa na watu milioni 25.8 na kufanya Kisukari cha 7 kusababisha vifo vya watu Marekani.

Mamilioni ya watu wana ugonjwa huo lakini hawana habari! Ni ngumu zaidi kutibu ugonjwa wa kisukari kwa kuwa mtu anaweza kuishi nao kwa muda mrefu kabla haujagunduliwa. Hiyo ndiyo sababu watu husema kwamba ugonjwa huo huua kimyakimya.

NINI CHANZO HASA CHA KISUKARI?

Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula kinavyovunjwa vunjwa na kutumiwa na mwili ili kuzalisha nguvu. Wakati chakula kinapoyeyushwa matukio kadhaa hutokea. Moja ni sukari inayoitwa glucosi ambayo ni chanzo cha nishati/nguvu mwilini huingia katika damu. Tukio la pili ni kiungo kinachoitwa kongosho (Pancrease) kutengeneza kichocheo cha insulini. Kazi ya insulini ni kuondoa glucosi katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumika kama nishati.

Watu wenye kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kuliko inavyotakiwa kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu. Hii ni kutokana na moja ya sababu zifuatazo, huenda kongosho zao haziwezi kutengeneza insulini ya kutosha au seli za mwili wao haziathiriwi na insini kama inavyotakiwa au sababu zote hizo mbili.

Main Symptoms of Diabetes
Kama wewe ni mnene kupita kiasi, hufanyi mazoezi kwa ukawaida au una watu wa ukoo walio na kisukari, huenda tayari una kiwango cha juu cha sukari kwenye damu. Ongezeko la sukari kwenye damu mbali na kuwa kisababishi cha kisukari, hali hiyo inahusianishwa na hatari ya kupatwa na ugonjwa wa akili uitwao 'DEMENTIA'.

Kula sukari nyingi sio sababu ya ugonjwa wa kisukari. Lakini lazima tuseme kwamba kula sukari nyingi si nzuri kwa afya yako kwani utaongeza uzito wa kuweza kuathiri uwezo wa mwili wako kujikinga na maradhi tofauti. Ugonjwa wa kisukari umeitwa kwa kufaa "ugonjwa unaoathiri kiini cha nishati ya mwili". Mwili unaposhindwa kutumia glukosi, mifumo mbalimbali ya mwili inaweza kuacha kufanya kazi au hata kusababisha kifo.

Ugonjwa wa Kisukari kitaalamu hujulikana kama 'DIABETES MELLITUS'. Jina 'Diabetes Mellitus' linatokana na neno la Kigiriki linalomaanisha 'kunyonya' na neno la Kilatini linalomaanisha 'tamu kama asali'. Maneno hayo yanafafanua vizuri sana ugonjwa huo, kwani maji hupita mwilini mwa mtu aliye na ugonjwa wa kisukari kana kwamba yananyonywa na mdomo na kupitia kwenye njia ya mkojo kisha kutoka nje ya mwili. Isitoshe mkojo huwa na ladha tamu kwa kuwa una sukari. Ndiyo sababu kabla ya kuvumbua njia bora za kupima ugonjwa huo, mbinu moja ya kutambua kama mtu ana ugonjwa wa kisukari ilikuwa kumwaga mkojo wa mgonjwa karibu na kichuguu cha sisimizi. Ikiwa sisimizi wangevutiwa na mkojo huo basi hilo lilimaanisha kwamba mkojo una sukari.

NI NANI ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KISUKARI?

Watu walio katika makundi yafuatayo wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kisukari:-

– Wenye uzito uliozidi,

– Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia zao,

– Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi,

– Watu wasiojishughirisha au wasiofanya mazoezi,

– Wenye shinikizo la damu,

– Wenye msongo wa mawazo na

– Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.

Watu hawa wanashauriwa kupima sukari yao kila mwaka wakiwa na umri wa miaka 45 na kuendelea.

Kuna hatari kubwa ya kuugua ugonjwa huo ikiwa mtu ana mafuta mengi katika tumbo na kiuno chake kuliko katika mapaja yake. Mafuta katika kongosho na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.

Wavutaji wa sigara wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi kwani zoea hilo hudhuru moyo na mfumo wa mzunguko wa damu na kubana mishipa ya damu. Kitabu kimoja kinasema kwamba asilimia 95 ya watu wanaougua kisukari ambao hulazimika kukatwa viungo ni wavutaji wa sigara.

DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI

~ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
~ Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.
~ Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.
~ Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.
~ Kusikia njaa kila wakati na kula sana.
~ Wanawake kuwashwa ukeni.
~ Kutoona vizuri.
~ Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.
~ Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole.
~ Miguu kuoza na hata kupata gangrini.
~ Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.
~ Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.
~ Majipu mwilini.

Wenye dalili hizi wanashauriwa kupima sukari ili kubaini kama wana kisukari.

SASA NAWEZA SEMA SASA TUNA HABARI NJEMA KWA WALE WOTE WANAOSUMBULIWA NA KISUKARI

tumepata bidhaa ambayo inafanyakazi ya
Kuziamasisha tezi ambayo ni homoni kutemgeneza vichochezi vya insulin

Na kutengeneza selli pamoja na kufufua seli zilizokufa na kuimarisha utendaji kazi wa tezi ya kongoshonwa ufasaha
Bidhaa hiyo inaitwa

DOUBLE STEM CELL pamoja na CRYSTAL CELL
waweza pitia mwenyewe hizo bidhaa ambazo zimefanyiwa utafiti na wanasayansi na kuona utendaji kazi wake na uwezo wake wa kupambana na maradhi mbalimbali ikiwemu na KISUKARI

Kwa msaada na upatikanaji wa bidhaa hizo

0655731345
0767831345

TAIFA BORA LINAJENGWA NA WANANCHI WENYE AFYA NJEMA
 
bora ukimwi kuliko sukari!
ukimwi unatakiwa ule kila kitu lakini sukari unakula kwa masharti!yaani utajikuta we ni tajiri lakini unakula vyakula vya ovyo kabisa.kibaya siku hizi kisukari hakichagui sio maskini sio tajiri bora zamani matajiri tu waliumwa!kisukari ni balaaa ilimtesa sana babaangu mwisho ikamuondoa duniani
 
Elim nzuri hongera sana mara kwa mara huwa naenda kupima sukari na shinikizo la damu na kukuta niko salama nafanya hivyo ili kujua afya yangu
Kila asubuhi nafanya mazoezi laini na kwenda kazini afya ni muhim kuliko kitu kingine
 
Uzuri kwa wale waliona kisukari kwa sasa utatuzi upo
Kuna ushuda mwingi watu siku hizi wanapona kwa kutumia

Double stem cell
Au
Crystal cell
 
bora ukimwi kuliko sukari!
ukimwi unatakiwa ule kila kitu lakini sukari unakula kwa masharti!yaani utajikuta we ni tajiri lakini unakula vyakula vya ovyo kabisa.kibaya siku hizi kisukari hakichagui sio maskini sio tajiri bora zamani matajiri tu waliumwa!kisukari ni balaaa ilimtesa sana babaangu mwisho ikamuondoa duniani

Pole sana mkuu angekuepo sasa hivi angepata nafuu
Hakika
 
Back
Top Bottom