Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni health personnel ila kwa formal education nimesoma environmental health sience.Sawa mkuu, ila nauliza tu, je wewe ni health personnel au una deal na kisukari tu.
Pole sana. Ila nina shauri mtu personal coz ningetaka kutoa ushauri kwa kila mtu ningeuandika hapa. Ila ahadi yangu ya watu wa5 iko pale pale kwa mtu atakayenitafuta personalMie huwa napatwa na hyo pregnancy diabetes!hhuwa inanisumbua mno mno had nafaint! unanishaurije
Pole sana. Ila nina shauri mtu personal coz ningetaka kutoa ushauri kwa kila mtu ningeuandika hapa. Ila ahadi yangu ya watu wa5 iko pale pale kwa mtu atakayenitafuta personal
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungesoma bandiko langu vizuri wala usingepata hiyo shida. Nimesema kwa sasa silipishi kabisa ila baada ya muda nitaanza kufanya hivyo hasa baada ya watu ninaowahudumia bure watakapopona kabisa. Hii ni long term strategy ya ku-win imani za wagonjwa kwanza maana kitu kipya kinachangamoto kwenye kukubalika hasa kinapogusa afya ya mtu ambaye anaishi kwa masharti ya wataalamu wa afya. Mpaka sasa nimepata wanajf wa 2 bado wa3toa hapa hapa mkuu kwa faida ya wengi! kuna mtu fulan nae alikuja anatiu gonjwa fulan akasema ni bure hachaj kitu!mshikaj wangu akamfata pm...ghafla akatajiwa malaki kibao! anywys nitakufata pm.....
Mkuu ungesoma bandiko langu vizuri wala usingepata hiyo shida. Nimesema kwa sasa silipishi kabisa ila baada ya muda nitaanza kufanya hivyo hasa baada ya watu ninaowahudumia bure watakapopona kabisa. Hii ni long term strategy ya ku-win imani za wagonjwa kwanza maana kitu kipya kinachangamoto kwenye kukubalika hasa kinapogusa afya ya mtu ambaye anaishi kwa masharti ya wataalamu wa afya. Mpaka sasa nimepata wanajf wa 2 bado wa3
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu,Ni health personnel ila kwa formal education nimesoma environmental health sience.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu. Dawa za hospitali huwa zinaongezeka tatizo badala ya kutoa suluhisho la kudumu kwasababu zinatibu dalili badala ya chanzo cha tatizo. Kwa kawaida dawa za hospitali zinamsaidia mgonjwa kwa miezi 3 mpaka 6. Baada ya hapo tatizo linarudi likiwa kubwa zaidi hivyo utegemezi wa dawa unaongezeka zaidiMimi nimewahi ugua kisukari, mara ya kwanza nagundulika nina kisukari mwezi wa ramadhani 2016, nilivyopimwa ilikuwa18 hapo nimefunga, futari yangu ilikuwa uji wenye sukari, tambi, weka na tende kumbe ndo naikoleza. Nilipungua uzito toka 89kg hadi 62kg ndani 1week, nimetumia dawa za hospitalini wiki moja tu sikuona badiliko ndo kwanza kinakolea, nikakutana na ustadh fulani tandika anajihusisha na utengenezaji wa dawa za kisuna, nikamweleza tatizo langu, akanipa dawa iliyohifadhiwa kwenye kijichupa iliyonigharimu tshs3000/=, nikatumia wiki moja tu sukali yote chali mpaka leo nina mwaka sukali haijapanda zaidi ya 7mmgl, natumia vyakula vyote, soda natumia mara moja kwa mwezi, mazoezi kwa sana na afya imeimarika. Thanks god
Sent using Jamii Forums mobile app
Glucoblock Capsule Regulate Sugar level
a.- -It improves circulation of the collateral branch and reallocation of the blood stream, regulate microcirculation and metabolism of the pancreas, so as to normalize the physiological function of the diseases insulin tissue.
b. - -It reduces the blood sugar, eliminates symptom of diabetes, restores function of the insulin, improves normal secretion of the insulin cell, activates histiocyte, and resumes receptors to insulin cytosine. Meanwhile, it is particularly effective on diabetes complications.
c. - -It regulates incretion, metabolism of carbohydrate an central
BALSAM PEAR TEA
a. Repairs£cells of pancreas which is responsible for producing insulin;
b. Polypeptide P - a plant insulin, reduces blood sugar and blood lipid level safely;
c. Prohibits the absorption of glucose in small intestine and reduces glucose in the blood stream;
d. Alleviates complications of diabetes such as thirst and dry mouth.
CHITOSAN CAPSULE;
a. Reduces blood lipid; helps weight loss;
b. Reduces blood sugar;
c. Strengthens the function of liver; prevents liver against damage of toxins;
d. Promotes healing of gastric ulcer.
MEAL CELLULOSE
a. Normalizes bowel movement and maintain bowel integrity and health;
b. Lowers blood cholesterol levels;
c. Helps control blood sugar levels;
d. Acids in weight loss.
BALSAM PEAR TEA.
a. Hucangia utumizi Wa sukari kwenye chembe chembe hai.
b. Huzuia uharibifu Wa mwili unaotokana na kisukari.
c. Huchangia kusawazisha mwilini.
d. Huzuia makari yanayo sababis hwa na kisukari.
e. Huindoa sumu mwilini.
CHITOSAN CAPSULES
a. Huondoa sumu mwilini na kupunguza mafuta mabaya.
b. Hupunguza sukari kwenye damu
c. Hupatia INI nguvu kwa kutoa mafuta mabaya na kuboresha inavyofanya kazi yake.
d. Hunyonya uchafu Wa chuma ( madini) mwilini.
- MEAL CELLULOSE
a. Hupunguza sukari kwenye dam
b. Huzuia mwili kuhifadhi kalori za ziada basi kwa kupunguza unene.
c. Nzuri kwa walio na ugonjwa Wa mishipa ya ubongo na moyo.
Asante mkuukaribuni wakuu
bora ukimwi kuliko sukari!
ukimwi unatakiwa ule kila kitu lakini sukari unakula kwa masharti!yaani utajikuta we ni tajiri lakini unakula vyakula vya ovyo kabisa.kibaya siku hizi kisukari hakichagui sio maskini sio tajiri bora zamani matajiri tu waliumwa!kisukari ni balaaa ilimtesa sana babaangu mwisho ikamuondoa duniani