hasa kwa sisi watu wa IfakaraHahah!!!
Hiyo kiporo inapendwa na wengi kumbe!!
wewe utakuwa sekondari ulisoma Umbwe ndio maana umechoka ugaliWali siachi ugali naweza Acha...
Tatizo ni malezi wengi wetu tuliyokulia, but watu tusiwe wabishi ni muhimu kujifunza kila mara tunapopata fursa ya kufanya hivyoMtausingizia sana wali kwa kuleta vitambi. Ukweli ni kwamba chakula chochote unachokula usiku kinaweza kukusababishia kitambi usipokuwa macho. Cha muhimu ni kula chakula chs usiku mapema kwenye saa 12 au saa moja wakati unaingia kulala saa 4 usiku ili kutoa nafasi kwa mwili kuburn some calories zilizozalishwa na chakula ulichokula. Ukila chakula saa 4 usiku na baada ya nusu saa ukaingia kulala, calories zote zilizozalishwa zinabadilika kuwa fat na accumulation ya fat tumboni ndio kitambi chenyewe.
Tujifunze kula chakula cha usiku mapema.
Tiba
hivi inawezekana mtu akaish kwa Matunda wiki 2 bila kula chakula chochote? namaanish yani anakula matunda anashiba , asubuh , mchana na usiku, na hali chakula kingine kwa hizo wiki 2.
help watu8 MziziMkavu
Mi buwa nafuatilia sana ushauri km huu ila mara nyingi wadau mnatoaga ushauri bila kutoa option ...km ulivyosema tusile wali ungepaswa kusema tule chakula gn? kingine kinachofaa badala ya wali
Jibu rahisi ni kwamba inawezekana akaishi kwa muda huo tajwa.
Lakini kama itakuwa kwa muda mrefu, yaani mtu akaamua kuwa fruitarian basi kuna baadhi ya nutrients muhimu kwa mwili mtu huyo atakosa.
Kwa kawaida ukiacha matunda, mwili unatakiwa upate pia complex carbohydrates mathalani brown rice, ugali dona, viazi n.k. Sasa matunda hayana kabisa aina hii ya virutubisho.
Pia matunda sio chanzo kizuri cha hamirojo "protein" na nishati. Vilevile mwili utakosa madini muhimu kama ya chuma, zinc, calcium na baadhi ya vitamini kama B12.
Dada wengine kutokana na foleni tunafika nyumbani saa 3 usiku. Sasa muda wa kula hapa inakuwaje?Mtausingizia sana wali kwa kuleta vitambi. Ukweli ni kwamba chakula chochote unachokula usiku kinaweza kukusababishia kitambi usipokuwa macho. Cha muhimu ni kula chakula chs usiku mapema kwenye saa 12 au saa moja wakati unaingia kulala saa 4 usiku ili kutoa nafasi kwa mwili kuburn some calories zilizozalishwa na chakula ulichokula. Ukila chakula saa 4 usiku na baada ya nusu saa ukaingia kulala, calories zote zilizozalishwa zinabadilika kuwa fat na accumulation ya fat tumboni ndio kitambi chenyewe.
Tujifunze kula chakula cha usiku mapema.
Tiba
@ King'asti, je kuna pilau ama biriani ya brown rice?Dada, brown rice ina fibres. Unashiba haraka na unapata less carbs. Binafsi napenda na natumia brown rice. Dietician anashauri a cup size kwa mlo inatosha, na moto iwe kubakisha wali badala ya mboga.
Kama nafika nyumbani saa tatu usiku sababu ya foleni. Basi itabidi usiku niwe nafunga, ama nakunywa supu ya matembele basiPole sana na hiyo foleni.
Daah!!! Hivi humu jf kuna mtu anayeweza kukemea pepo la wali maharagwe jamani!?! Vinginevyo kitambi kitanimaliza mwenzenu.....