Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,605
- 3,176
Mtausingizia sana wali kwa kuleta vitambi. Ukweli ni kwamba chakula chochote unachokula usiku kinaweza kukusababishia kitambi usipokuwa macho. Cha muhimu ni kula chakula chs usiku mapema kwenye saa 12 au saa moja wakati unaingia kulala saa 4 usiku ili kutoa nafasi kwa mwili kuburn some calories zilizozalishwa na chakula ulichokula. Ukila chakula saa 4 usiku na baada ya nusu saa ukaingia kulala, calories zote zilizozalishwa zinabadilika kuwa fat na accumulation ya fat tumboni ndio kitambi chenyewe.
Tujifunze kula chakula cha usiku mapema.
Tiba
Tujifunze kula chakula cha usiku mapema.
Tiba