Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

Mtausingizia sana wali kwa kuleta vitambi. Ukweli ni kwamba chakula chochote unachokula usiku kinaweza kukusababishia kitambi usipokuwa macho. Cha muhimu ni kula chakula chs usiku mapema kwenye saa 12 au saa moja wakati unaingia kulala saa 4 usiku ili kutoa nafasi kwa mwili kuburn some calories zilizozalishwa na chakula ulichokula. Ukila chakula saa 4 usiku na baada ya nusu saa ukaingia kulala, calories zote zilizozalishwa zinabadilika kuwa fat na accumulation ya fat tumboni ndio kitambi chenyewe.

Tujifunze kula chakula cha usiku mapema.

Tiba
 
Kama no hivyo tungeshuhudia watu wa Mbarali na Kyela wangekuwa wanaongoza kwa vitamin! Ukweli hakuna kitu kisicho ma madhara kwani hata dawa ikitumika visivyo inadhuru.
 
Mtausingizia sana wali kwa kuleta vitambi. Ukweli ni kwamba chakula chochote unachokula usiku kinaweza kukusababishia kitambi usipokuwa macho. Cha muhimu ni kula chakula chs usiku mapema kwenye saa 12 au saa moja wakati unaingia kulala saa 4 usiku ili kutoa nafasi kwa mwili kuburn some calories zilizozalishwa na chakula ulichokula. Ukila chakula saa 4 usiku na baada ya nusu saa ukaingia kulala, calories zote zilizozalishwa zinabadilika kuwa fat na accumulation ya fat tumboni ndio kitambi chenyewe.

Tujifunze kula chakula cha usiku mapema.

Tiba
Tatizo ni malezi wengi wetu tuliyokulia, but watu tusiwe wabishi ni muhimu kujifunza kila mara tunapopata fursa ya kufanya hivyo
 
Mkuu ni wali huhuu unaopendwa na watoto?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ninaacha wali kabisa ili nisijeota kitambi. Sitaki kitambi na sitaruhusu niwe na kitambi kamwe!

KITAMBI NOMA.
 
hivi inawezekana mtu akaish kwa Matunda wiki 2 bila kula chakula chochote? namaanish yani anakula matunda anashiba , asubuh , mchana na usiku, na hali chakula kingine kwa hizo wiki 2.
help watu8 MziziMkavu

Jibu rahisi ni kwamba inawezekana akaishi kwa muda huo tajwa.

Lakini kama itakuwa kwa muda mrefu, yaani mtu akaamua kuwa fruitarian basi kuna baadhi ya nutrients muhimu kwa mwili mtu huyo atakosa.

Kwa kawaida ukiacha matunda, mwili unatakiwa upate pia complex carbohydrates mathalani brown rice, ugali dona, viazi n.k. Sasa matunda hayana kabisa aina hii ya virutubisho.

Pia matunda sio chanzo kizuri cha hamirojo "protein" na nishati. Vilevile mwili utakosa madini muhimu kama ya chuma, zinc, calcium na baadhi ya vitamini kama B12.
 
Mi buwa nafuatilia sana ushauri km huu ila mara nyingi wadau mnatoaga ushauri bila kutoa option ...km ulivyosema tusile wali ungepaswa kusema tule chakula gn? kingine kinachofaa badala ya wali

Mboga mboga na matunda
 
Jibu rahisi ni kwamba inawezekana akaishi kwa muda huo tajwa.

Lakini kama itakuwa kwa muda mrefu, yaani mtu akaamua kuwa fruitarian basi kuna baadhi ya nutrients muhimu kwa mwili mtu huyo atakosa.

Kwa kawaida ukiacha matunda, mwili unatakiwa upate pia complex carbohydrates mathalani brown rice, ugali dona, viazi n.k. Sasa matunda hayana kabisa aina hii ya virutubisho.

Pia matunda sio chanzo kizuri cha hamirojo "protein" na nishati. Vilevile mwili utakosa madini muhimu kama ya chuma, zinc, calcium na baadhi ya vitamini kama B12.

Exactly what I was talking about, hii biashara ya kusema watu waache kula hiki sijui kile doesn't make any sense to me thou nakubali kuna vyakula vina madhara fika na havina faida kabisa kwa mwili hivyo vyapaswa kuachwa lakini ni vichache sio vyote
 
Mkuu mleta hoja unamaanisha niache kabisa kula wali au nipunguze?Vipi kuhusu tambi,maccroni, viazi mviringo naweza fanya mbadala wa wali?
Halafu wadau mtusaidie na sisi washamba, hiyo brown rice inapatikana wapi? Vipi kuhusu hayo matunda mnayoyasema je ni matunda gani hasa ambayo ni mazuri kula mara kwa mara maana kuna mtu kanipiga mkwara kuwa ndizi zinachochea kisukari pia.
 
Mnataka kuishi miaka mingapi nyie kila kitu mnataka msile?
Wali-hapana,
Chips-usile,
Starch-epuka,
Kitimoto-mbaya,
Nyama nyekundu-usile,
Maharagwe-hayafai kula usiku,
Mboga za majani-zinakuzwa kwa madawa na kemikali za kuua vidudu hazifai bora ulime mwenyewe!
Maziwa yana mafuta mengi ambayo ni hatari!
Mayai yana Cholesterol kwa wingi sana!
Maini-yana mabaki ya sumu kwani kazi yake ni kuchuja sumu mwilini!!!Kwa hiyo tuache kula ama tununue vyakula kutoka ulaya kwa vile vimepimwa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mtausingizia sana wali kwa kuleta vitambi. Ukweli ni kwamba chakula chochote unachokula usiku kinaweza kukusababishia kitambi usipokuwa macho. Cha muhimu ni kula chakula chs usiku mapema kwenye saa 12 au saa moja wakati unaingia kulala saa 4 usiku ili kutoa nafasi kwa mwili kuburn some calories zilizozalishwa na chakula ulichokula. Ukila chakula saa 4 usiku na baada ya nusu saa ukaingia kulala, calories zote zilizozalishwa zinabadilika kuwa fat na accumulation ya fat tumboni ndio kitambi chenyewe.

Tujifunze kula chakula cha usiku mapema.

Tiba
Dada wengine kutokana na foleni tunafika nyumbani saa 3 usiku. Sasa muda wa kula hapa inakuwaje?
 
Dada, brown rice ina fibres. Unashiba haraka na unapata less carbs. Binafsi napenda na natumia brown rice. Dietician anashauri a cup size kwa mlo inatosha, na moto iwe kubakisha wali badala ya mboga.
@ King'asti, je kuna pilau ama biriani ya brown rice?
 
Ushauri wangu nikiwa wenye vitambi na miili kama yangu ya kuongezeka haraka kuna watu wenye miili mizuri wenyewe wanaweza kula chochote. Kitu ambacho nimejifunza sio kila mtu ana mwili sawa!. Suala na wali ni muhimu kwasababu tumekuwa tukifichwa kuhusu wali kwa muda mrefu hivyo watu wengi walikuwa wanafikiri wali ni mzuri sana lakini kwa watu wanaotaka kupunguza uzito sio kweli. Kwa sisi vijana wa US na Canada tuna machine za rise cooker na ukiweka wali unaweza kula hata siku tatu bila kuharibika hivyo na makazi ya huku wali ulikuwa chakula ambacho kinaendana ma maisha kwasababu ni raisi kupika, hakiaribiki haraka na kinaendana na mboga yeyote. Baada ya muda nilianza kuongezeka ingawa mimi ni mrefu 6"3" feet .Dr wangu akaniambia nifanye mazoezi. Nilikuwa nafanya mazoezi na kucheza tennis hadi masaa mawili kwa siku na sikuwa nakula tofauti na wtu wengine lakini nilikuwa nakula wali sana ndipo Dr wangu ambaye ni mhindi akanieleza vizuri kwasababu yeye pia alikuwa anatatizo kama la kwangu la kula wali na wanakula sana wali wahindi. Umri ulivyokuwa unaongezeka hata mimi nikawa naongezeka na maisha yakawa tofauti na kuanza kazi za kukaa ofisini kwa masaa 10 kwa siku na kuendesha gari kwa muda mrefu. Hakuna mazoezi utakayofanya yakatosha kama unafanya kazi ya kukaa zaidi ya masaa 8 kwa siku na unakula wali mara tano kwa wiki na una umri zaidi ya miaka 30 au zaidi na mwili wa kunenepa haraka. Mazoezi ya dakika 30 hayatatosha ni lazima upunguze kula wali kwanza. Naomba ujaribu usile wali miezi miwili uone kama hauta badilika!. Huku bahati nzuri tunakula mapema saa 12 au saa moja usiku lakini chakula ni muhimu kuliko hata mazoezi ukizingatia miili yetu imekulia kwenye hali ngumu ya kutembea na kutoa jasho tukiwa na umri mdogo. Hivyo mwili wa Mtanzania wa kawaida si sawa na mwili na Mmarekani aliozaliwa hapa kwasababu miili yetu ina memory na inakumbuka kwamba inatakiwa kutembea na kutoa jasho sasa isikokuwa hivyo inahifadhi mafuta (energy) ikitegemea tutatembea na kufanya mazoezi lakini haiwi hivyo. Ingawa watu wa asili ya kichina mfano hawawi wanene lakini wana matatizo sana ya moyo na namba zao sio nzuri kwa wale wanaoishi huku kwasababu miili yao haiko active kama walivyokuwa china, japan au Vietnam lakini bado wanakula vilevile. Hivyo kula kutokana na hali yako lakini wali si chakula cha kila siku hasa kwa maisha ya siku hizi. Kama unabeba magunia na unakula mara moja kwa siku basi unaweza kula wali. Kama una mwili ambao hauongezeki bali unaweza kula wali lakini kama una mwili mbaya wa kunenepa haraka punguza kula hasa wali. Chakula kizuri kuliko vyote ni vyakula vya mbegu (nuts) kama karanga, korosho, n.k
 
Back
Top Bottom