Tatizo la kuchukiwa kazini

Tatizo la kuchukiwa kazini

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,062
Reaction score
1,871
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu
 
Kuwa neutral, Kuna sehemu huwa najifanya msela msela, muda mwingine mpole na mchamungu, muda mwingine muhuni Tu yaani inafikia kipindi mtu ukimwambia Nina degree mbili za fani tofauti anakataa kabisa.....juzi juzi TU nilikuwa sehemu nimekaa na wahuni tunakunywa visungura na Mimi ndio mnunuaji kwa sababu unakuta asilimia kubwa ya wahuni HAWANA pesa......nitaendelea baadae
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi
Shida inaweza kua ni nini
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu
Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha
Natanguliza shukran zangu
Kazi zote nne unachukiwa wewe tu???

Jitafakari mkuu.
 
Hawawezi kukuchukia kama hawajakuzoea ,ukiwa serious hauna mazoea na mtu hakuna kitu watakufanya..

Salamu basi usitake kumjua mtu ,mtu akikujua basi anataka ajue mpaka neema ulizokuwa nazo ; ukiwa umefanikiwa dhidi yake baalaa linaanzia hapo ,mambo yako ya nyumbani weka private kabisa .
 
D
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi
Shida inaweza kua ni nini
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu
Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha
Natanguliza shukran zangu
uh nina tatizo kama lako mkuu, na mm ni intermediate boss, kuna mtu mmoja ananichukia balaa, sasa anafanya vikao almost kila siku kunijadili either nje ya ofisi ama ndani ya ofisi na mm ni boss wake. And shida ni kugombea nafasi niliyonayo. Ananiroga mno, ni nafasi ya uteuzi, na mm ndo boss wake
 
Pole mkuu
 
Mimi ni intorovent huwa siongei sana na mkimya kupitiliza
Sio rahisi mtu kukuchukia kabisa kwanza lazima akuogope automatically ,yaani ile watu hawajui unakaa wapi ?kabila gani ? Una familia au laah?

Lazima watakuwa na maswali wakuanzaje .Kuna step niliboronga ya kujuana na watu ila nataka nianze ukimya maana wanataka kunipanda kichwaji.
 
Kuchukiwa sehemu nne zote sio rahisi , kaa chini jirudishe nyuma angalia weakness zako, unaweza kuchukiwa kwa mambo mengi miongoni mwake ni

Ujuaji ,Kuwa na maarifa sio kitu kibaya lakini angalia unapokua unawaelekeza wengine unawasilisha ujumbe wako kwa style ipi asieelewa mwelekeze taratibu hata kwa kurudia akishindwa usimtweze "yaan kinakushinda hiki?

Pia inawezekana umehama hizo ofisi nne ila kila ukihama taarifa za tabia zako zinahamia ofisi mpya ! Yaan unafika watu wanajua huyu binti ni mnoko mnoko ! Hata kama umesingiziwa watu wanaanza kukuchukia ! Ofisi nne ni nyingi sana

Kingine usipende kuweka mambo yako hadharani yaan wewe day 1 ushaanza kutamba ulivyo na nyumba , ulivyo na gari kwamba hiyo kazi unafanya tu kujiweka busy 😂 wabongo watakuchukia. Fanya kazi watu wataona wakifika kwako

Kingine kudharau ofisi , yaan day one umefika ushaanza kusifu kule ulikokua umetoka yaan kule kila siku chai na lunch tulikua tunapewa ! Na posho ya kila siku huku mnanyanyaswa !😂 Zile zikifika ofisi kuu atakuzingua mwanetu !

Kwa hiyo mradi unatafuta ugali wako we endana na mazingira ya ofisi yako usikubali tu kunyanyaswa ! Ukiona ofisi haikufai hama binadamu tumepewa miguu tutembee !!

Lastly, pia kuna watu mna damu ya kuchukiwa ipo hivyo yaan ukifika sehemu watu kukuelewa au kukufurahia ni ngumu. Yaan unasaidiwa kiugumu ugumu tu hiyo ipo pia.
Ogea chumvi ya mawe , au tafuta sehemu yenye upepo mwingi tembea tu kwa muda
(kama ni muumini wa huu upande )
 
Ni nini hii mkuu
Nimewaza kama watanzania waliowengi kwamba kuna mambo ya kiroho hayako sawa, ila kwa ushauri wangu jitahidi kuwa serious uwe unaongea mara chache sana.
Itoe akili yako huko unakowaza unachukiwa, kuwa mtu mwenye ratiba nzuri huku ukifocus na kilichokupeleka hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom