Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu