Tatizo la kuchukiwa kazini

lzewe6xssdgxzrff6d
KWANZA POLE SANA KIJANA,HAYO MAISHA PIA NILISHAWAHI KUYAPITIA KITAMBO.
KUCHUKIWA KAZINI HUWA MARA NYINGI KUNASABABISHWA NA MAMBO YAFUATAYO,NITAYAORODHESHA YOTE HAPA HALAFU WEWE MWENYEWE UTAELEWA UPO KWENYE KIPENGELE KIPI.
1.UKIWAZIDI ELIMU/AU UKIWA SMART KUWAZIDI WAFANYAKAZI ULIOWAKUTA HAPO KAZINI IKIWEMO NA BOSS WAO.
2.UKIWA NI MTU UNAYEJIAMINI SANA NA MWENYE MISIMAMO NA HUPENDI KUPEWA MAAGIZO YA KIJINGA YASIYO NA MANTIKI,PIA HUTAKI MAISHA YA KUJIPENDEKEZA AU KUISHI KAMA CHAWA.
3.UKIWA SERIOUS SANA NA MAMBO YAKO NA HUNA MUDA WA KUJICHANGANYA NA WAFANYAKAZI WENZAKO,HII HUTOKEA ZAIDI KWENYE SEHEMU ZA KAZI AMBAZO WATU WANAFANYA MAGENDO KWA HIYO WANAHOFIA USALAMA WAO USIJE UKAWACHOMA SIKU ZA MBELENI.
4.KAMA HAUPO KWENYE VIPENGELE VYOTE HAPO JUU BASI UJUE UMEFANYIWA MAMBO YA KISHIRIKINA,UMEFUNGWA ILI MAISHA YAKO YOTE UWE NI MTU WA MAHANGAIKO WATU WAKO WA KARIBU HAWATAKI UFANIKIWE KIMAISHA.
KAMA UNAHITAJI USHAURI AU UNA MASWALI ZAIDI KUWA HURU KUNICHEKI NITAKUELEKEZA KIUNDANI ZAIDI
 
Je wewe unapenda watu maana what you see is what you reflect.

Ila Kama uliwahi kwenda Kwa Waganga hii huwa inashusha kinga za kiroho na kuleta mambo Kama hayo for the rest of ur life, unakuwa na rejected power spirit
(roho ya kukatiliwa).


Muombe Sana Mungu sana
Kwa kuikumbatia zuburi.
 
Una roho ya kukataliwa
Omba Mungu ikuondoke
Oga na chumvi ya mawe huku unaomba hiyo roho ikuondokee
 
Hakuna kitu Kama hiki Kama una rejected power spirit haijalishi Una nini watu wanakuwa hawaioni potential yako .
 
Jipanga ufanye yako mzee
 
Kwenda Kwa waganga ndo chanzo cha yote hayo maana wapo watu Kama 10 nawajua wana hiyo kitu Ila chanzo ni kwenda Kwa waganga
Waganga ndo wachukua nyota wenyewe sasa usipostuka imekula upande wako
 
Fanya maombi sana.
 
Waganga ndo wachukua nyota wenyewe sasa usipostuka imekula upande wako
Sio kwamba wanachukua nyota this is illusion.

Ni Kama unavyoona Mwili wako unahitaji kinga Fulani ya Kupambana na magonjwa bila hata kumeza dawa. Yoyote. Ila mwili utakosa kinga ikiwa utaanza kuupa uchafu mbali mbali Kama too much sex too much alcohol ,junk food n.k

The same ROHO inatabia ya kujiendesha na kupambana yenyewe Ila unapoanza kwenda Kwa manabii fake na waganga unakuwa umeenda kuua kinga zako za kiroho so unaweza kuwa vulnerable.


So hii situation inawapata zaidi wazee wanaopenda kupiga ramli.
 
Kwenda Kwa waganga ndo chanzo cha yote hayo maana wapo watu Kama 10 nawajua wana hiyo kitu Ila chanzo ni kwenda Kwa waganga
Anatakiwa aende wapi?ila usinitajie wakina mwamposa maana na wao wanapita njia zilezile za waganga
 

Kwepa tabia za:

1. Umbea.
2.Uchonganishi.
3. Kiherehere
4. Uchawa

Mwanzoni ma Bocy walikuwa hawakuchukii maana walikuwa wana enjoy unapowapa umbea, ila wameshakuchoka!

Badilika ufurahie kazi,

Fanya yakuhusuyo!
 
Anatakiwa aende wapi?ila usinitajie wakina mwamposa maana na wao wanapita njia zilezile za waganga
Waswahili wengi au waafrica wanapenda Sana kwenda Kwa waganga na kupiga ramli , anapoona mambo hayaendi anaenda kuogeshwa dawa za Mvuto ,kukubalika n.k

Sasa hizo dawa huwa zikiisha nguvu ule mvuto unakuwa chuki badala ya kupendwa unachukiwa na hizo dawa huwa zinatabia ya kuweka usugu kiasi cha kwamba ikifika muda hata uroge vipi mvuto walk haurudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…