zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Hapa kweenye Chumvi ya mawe mbinu zipo nyingi sio lazima kuiogea tu hata kuishi nayo tu au kutembea nayo pia ni dawa ya kupungusa kijichoOgea chumvi ya mawe , au tafuta sehemu yenye upepo mwingi tembea tu kwa muda
(kama ni muumini wa huu upande )
Kingine ni kindu za mkeka zile mpya 7 ni dawa. Sikwambii wanafanyaje
Kingine aogeee maji ya mvua yaliyotiririka toka angani yenyewe yakajaa kwenye ndoo bila kuguswa bila kutumia gata au bati au kitu chochote kinachorahisisha maji kujaa kwenye hio ndoo apige maombi au manuizi aaoge hali hio itaenda
Kingine aooge maji ya visima 7 tofauti kutoka maeneo 7 au mitaa 7 au vijiji 7 tofauti achanganye kwenye ndoo 1 aogee kwa maombi au manuizi maalum hali hio itaondoka
Kingine akachote maji ya baharini yanayoingia sio yanayotoka kisha aogee siku 7 kwa maombi au manuizi maalum hali hio itaenda
NB: kuoga hauogei bafuni unatakiwa uogee nje Mungu akuone vizuri km unavyooga maji ya mvua ikiwa inanyesha
Kiingine kikubwa na cha muhimu zaidi maombi kusali au kuswali kwa dini yako kwa imani yako kwa Mungu wako kwa Malaika wako