Tatizo la kuchukiwa kazini

Tatizo la kuchukiwa kazini

Ogea chumvi ya mawe , au tafuta sehemu yenye upepo mwingi tembea tu kwa muda
(kama ni muumini wa huu upande )
Hapa kweenye Chumvi ya mawe mbinu zipo nyingi sio lazima kuiogea tu hata kuishi nayo tu au kutembea nayo pia ni dawa ya kupungusa kijicho

Kingine ni kindu za mkeka zile mpya 7 ni dawa. Sikwambii wanafanyaje

Kingine aogeee maji ya mvua yaliyotiririka toka angani yenyewe yakajaa kwenye ndoo bila kuguswa bila kutumia gata au bati au kitu chochote kinachorahisisha maji kujaa kwenye hio ndoo apige maombi au manuizi aaoge hali hio itaenda

Kingine aooge maji ya visima 7 tofauti kutoka maeneo 7 au mitaa 7 au vijiji 7 tofauti achanganye kwenye ndoo 1 aogee kwa maombi au manuizi maalum hali hio itaondoka

Kingine akachote maji ya baharini yanayoingia sio yanayotoka kisha aogee siku 7 kwa maombi au manuizi maalum hali hio itaenda

NB: kuoga hauogei bafuni unatakiwa uogee nje Mungu akuone vizuri km unavyooga maji ya mvua ikiwa inanyesha

Kiingine kikubwa na cha muhimu zaidi maombi kusali au kuswali kwa dini yako kwa imani yako kwa Mungu wako kwa Malaika wako
 
Ensure that those above you always feel superior. But don't overdo it when trying to impress or please them, or you'll inadvertently make them feel insecure and you'll suffer the backlash. Go out of your way to make your bosses look better and feel smarter than anyone else
Never outshine your master...Mimi najifunza kuweka limit, watu wananichukulia poapoa...ukinizngua nakuchana tu, hainipi marafiki ila hawanichukii ila wanaona tu mtu nisieleweka..hah
 
Ilichkua mda gn since huyu Jamaa kulipwa matendo yake? I mean tokea alivokuchongea ukakosa kazi
Ilichukua mwaka na mpk sasa watu hawaamini kama anaondoka maana alikuwa mtu wa kupiga story/umbea na boss kitu kidogo kimetokea haangalia kama ni kweli au uongo anakipeleka kwa boss .Mnafanya kazi kitengo kimoja anatoa maneno ya uchonganishi kwa huyu anapeleka kwa yule,alf akikaa na nyinyi anajidai kutoa ushauri na mawaidha ila akigeuka tu utaskia makosa ya mwenzako anakuambia wewe na ya kwako anamuambia yeye akitakaa utie neno na wewe umseme vibaya ili akitoka hapo mbio kwa huyo mtu,ila ukiavoid kwa kumtetea huyo mtu anachukia huyo ananuna,kitu ambacho yeye kama kiongozi alipaswa kumwambia mhusika,watu wakigombana ndio anachochea hasulushi .Kosa akifanya yeye akienda kwa boss anasema ni wewe so yule boss alikuwa anamlia timing.Kafanya aliyofanya nikatoka siku tu anashangaa meza imeongezwa ofisini kwake na jamaa mwingine kaletwa amfundishe kazi zake kaambiwa tu huyo atachukua nafasi yake kwa sababu jamaa elimu yake ni kubwa itawasaidia kwenye maswala ya kuandaa report na kudeal na watu wakubwa ( yeye alikuwa anasomeshwa na ofisi ila alifeli).Hivyo jamaa atachukua nafasi yake yeye atampa majukumu mengine.
 
Umesema wewe ni muslim, asubuhi jitahidi kusoma au kusikiliza sura 3, yasin, waqiah na mulk.....kama kusoma ni ngumu download audio on your way job kuwa unasikiliza.....kinga tosha.
Afu jiangalie umezoeana na nani hapo job, ukute kuna mubaba unachekeana nae kumbe ni secret lover wa mtu......dunia ina mengi.
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu
Una kimavi
 
Hizo ni nuksi umetupiwa,Sali sana,omba sana Mungu Hilo Pepo likuvuke...
 
Au unaongea ukweli sana kazini
 
Chukua magadi
Maji ya baharini

Chumvi maweee

Ongea sokusaba asbh na jion mkuu

Njoo unishukuru

Asbh kabla ya saa Moja

Na jion kabla ya saa Moja

Cyabonga jesu
 
Kuchukiwa sehemu nne zote sio rahisi , kaa chini jirudishe nyuma angalia weakness zako, unaweza kuchukiwa kwa mambo mengi miongoni mwake ni

Ujuaji ,Kuwa na maarifa sio kitu kibaya lakini angalia unapokua unawaelekeza wengine unawasilisha ujumbe wako kwa style ipi asieelewa mwelekeze taratibu hata kwa kurudia akishindwa usimtweze "yaan kinakushinda hiki?

Pia inawezekana umehama hizo ofisi nne ila kila ukihama taarifa za tabia zako zinahamia ofisi mpya ! Yaan unafika watu wanajua huyu binti ni mnoko mnoko ! Hata kama umesingiziwa watu wanaanza kukuchukia ! Ofisi nne ni nyingi sana

Kingine usipende kuweka mambo yako hadharani yaan wewe day 1 ushaanza kutamba ulivyo na nyumba , ulivyo na gari kwamba hiyo kazi unafanya tu kujiweka busy 😂 wabongo watakuchukia. Fanya kazi watu wataona wakifika kwako

Kingine kudharau ofisi , yaan day one umefika ushaanza kusifu kule ulikokua umetoka yaan kule kila siku chai na lunch tulikua tunapewa ! Na posho ya kila siku huku mnanyanyaswa !😂 Zile zikifika ofisi kuu atakuzingua mwanetu !

Kwa hiyo mradi unatafuta ugali wako we endana na mazingira ya ofisi yako usikubali tu kunyanyaswa ! Ukiona ofisi haikufai hama binadamu tumepewa miguu tutembee !!

Lastly, pia kuna watu mna damu ya kuchukiwa ipo hivyo yaan ukifika sehemu watu kukuelewa au kukufurahia ni ngumu. Yaan unasaidiwa kiugumu ugumu tu hiyo ipo pia.
Ogea chumvi ya mawe , au tafuta sehemu yenye upepo mwingi tembea tu kwa muda
(kama ni muumini wa huu upande )
Aogee kwenye koridor sio chooni

Mkuu na kama ana magadi achanganye

Na maji ya baharini

M nisharudi OFISIN na hii maxaYas
 
Hawawezi kukuchukia kama hawajakuzoea ,ukiwa serious hauna mazoea na mtu hakuna kitu watakufanya..

Salamu basi usitake kumjua mtu ,mtu akikujua basi anataka ajue mpaka neema ulizokuwa nazo ; ukiwa umefanikiwa dhidi yake baalaa linaanzia hapo ,mambo yako ya nyumbani weka private kabisa .
Mkuu sio lazima
Pengine NDUGU zake wamechukua nyota

Yake
Anabaki pekuu maadui WANAOTUMWA kumwaribia pale anapopata kipatooooo

Jiongeze
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu
Nakushauri kama hutoi zaka , anza kutoa alafu utaniambia!.
 
Ni ngumu kujua unashd gan hasa kwasisi tunaokutan jukwaan ila nina haya

Jifunze wanavyofanya wenzako nawe fanya hivyo hvyo (fanya yale mazur tuu )

Kama si mtu wa social fanya social ya kinafiki

Punguza kujisifia kama n mtu wa sifa

Kaa mbali na mipango ya watu hapo ofisin
Punguz kucheka cheka na mademu zao

Punguz kihereher na kimbelembele.
Usifanye kaz had mda wa zaida either tuu umeambiwa kwa maelekezo maalumu

Punguza famililazation
 
Wewe ni mtu wa Imani Gani? (Sipendi neno dini)

Kama wewe ni mfuasi wa Kristo! Nitafute tufanye jambo, Sina kipengele! Kipengele labda uje nacho wewe!
Mimi ni mfuasi wa kristo.....ila Am curious 🤨

Semaji Kama semaji nifikishie salamu nyingi kwa rais wetu.
 
Back
Top Bottom