Tatizo la kuchukiwa kazini

Kwa kuongezea umeeleza mengi...asikae vikao vya gossiping...pia usitake watu wamjue sanaa.

Kujipendekeza,ujuaji, kiherehere, masifa, kujimwambafy, kuchelewa, kuharibu kazini, kuwahi Sana kazini, kujituma Sana kazini

Azingatie ulicho mwambia naunga mkono hoja..
 
Umerogwa
 
makazini pakisenge sana jamaa niliemfanyiaga mpango wa kazi nikajua ni mshikaji wangu sana ,baada ya kugundua ninamzidi kwenye masilahi akaungana na wapumbafu fulani ili waning'oe kwenye position .mkipiga story zenu wasenge wanaenda mwambia boss .Boss before alikua ananielewa sana kuna siku nikamessup kidogo wakanimanua kwenye ile dept .Ila Mungu mkubwa riziki ya mtu kama ipo iatabaki kuwepo.Ila yuel chalii msenge sana huwa nikimuona nasema bianadamu ni umbwa
 
Kaka tatizo la kuchukiwa kazini bila sababu za msingi ni wazi kuwa umewazidi kitu
Cha kukushauli hapa ni kimoja wewe jikutr katika ibada za kweli Lia na Mungu wako acha kulia na wanadam uwezi mtegemea Mungu ukawa na mwisho mbaya una madui wengi Wana kuchafulia nyota yako na maisha yako Ili ualibikiwe kimaisha mwombe sanaungu ipo siku utakuja nishukuly mwenyezi Mungu ashindwi na kitu ana uwezo mkubwa sana wa kusambalatisha chuki hizo amini nakuambia piga goti toa sadaka asa katika vitio vya watt yatima saidiaa maskini nakuaidi ao wanao kuchukia watakupenda nyuma yako una maduhi wengi wanao hakikisha anguko lako la kiuchumi na kuona unakata Tama na kubaki kama wao madui zako ndio ao ao wanao kuzunguka na na furaha yao n kuona anguko lako la kiuchumi na umealibikiwa Lia na Mungu wanadam watakutupa lakin Mungu kamwe awezi kukutupa
 
Wewe utakuja kufanikiwa sana na kua mtu Mkubwa.

Maisha yako yanakuhitaji wewe ndio uwe BOSS kwa sababu una nyota kali

Kazin kwako utaendelea kuchukiwa na watu WAVIVU, WAJINGA, WAZEMBE

Muombe sana Mungu kama wee ni MTU wa kusali na umwambie Mama yako awe anakuombea sana

Wewe kama wewe Hauna namna ya kujinasua, ukiangalia hata njia yako ya Maisha Toka unasoma, ulikua unachukiwa, unaonewa wivu n.k


Kwa Ufupi, **** Roho mbaya inayokufatilia Kwa sababu waloitumia hiyo Roho wanajua wee ni MTU wa kufanikiwa.


Watu pekee mnaoendana ni lazima WAE WALE WENYE AKILI, WACHAPA KAZI, WANAOCHUKIA UZEMBE NA UVIVU , WATU WANAOJIAMIN NA WAPENDA HAKI .
 
Kama kazi inakukosesha amani.Piga chini nenda kajiajiri.Hiyo kazi si ya babako!!!
 
Makazini majitu majinga na yenye roho mbaya hayakosagi.Hayo ni kuishi nayo kimachale.Kazini hakuna rafiki ila kuna maadui wa kudumu.Ukishawajua wajingawajinga wa hapo kazini anza kuishi kimasta.
 
Mpe limbwata huyo boss akili imkae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…