Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kwa kuongezea umeeleza mengi...asikae vikao vya gossiping...pia usitake watu wamjue sanaa.Ni ngumu kujua unashd gan hasa kwasisi tunaokutan jukwaan ila nina haya
Jifunze wanavyofanya wenzako nawe fanya hivyo hvyo (fanya yale mazur tuu )
Kama si mtu wa social fanya social ya kinafiki
Punguza kujisifia kama n mtu wa sifa
Kaa mbali na mipango ya watu hapo ofisin
Punguz kucheka cheka na mademu zao
Punguz kihereher na kimbelembele.
Usifanye kaz had mda wa zaida either tuu umeambiwa kwa maelekezo maalumu
Punguza famililazation
Kujipendekeza,ujuaji, kiherehere, masifa, kujimwambafy, kuchelewa, kuharibu kazini, kuwahi Sana kazini, kujituma Sana kazini
Azingatie ulicho mwambia naunga mkono hoja..