Tatizo la kukohoa usiku

Tatizo la kukohoa usiku

Joined
Dec 26, 2015
Posts
68
Reaction score
46
Habari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi wa 11 hivi lakini lilikuwa linanitokea kwa baadhi ya siku ila kwa sasa linatokea kila siku. Tatizo hili huanza hunitokea pale tu ninapotaka kulala lakini nikifanikiwa kupata usingizi huwa sikohoi tena mpaka kesho yake.

Kikohozi hiki kuwa kinaambatana na makohozi machache ambayo nikiyatema ndo huwa napata nafuu. Mwanzo nilidhani ni nyumba nayoishi kuwa na vumbi lakini nmejitahidi sana kuisafisha ila hali bado inaendelea. Pia kwa mchana kuna muda kila nikicheka huwa kama napaliwa na kupata kikohozi naomba msaada wa ushauri wenu wakuu.
 
Ulipata tiba mkuu? Maana mimi pia napata hiyo hali
 
Kaka Umewahi kupima Presha?
Wewe Una Presha alafu hujijui bado
Anzia hapo Saa Ukisikia hiyo hali nenda pharmacy pima Presha ...leta majibu
Nitakuambia kingine cha kucheck. Pole
 
Ssa hiv kila mtu anakohoa.chkua asal na vitunguuu swaum ponda changanya kula kijiko kimoja kimoja
 
Kumbe ni tatizo la watu wengi maana wewe nj mtu wa nne ,hata mimi niko hivo hivo huu ni mwezi wa tano sasa. Sijui tatizo ni nin?
 
Pole Sana

Sasa

Umepewa Tiba Baada Ya Kugundulika
Ndio nilipewa dawa lakini pia nikashauliwa kubadili mtindo wa maisha. kwa upande wa dawa nilishindwa kuvumilia ni za miezi sita kwa mtindo wa maisha nimejutahid kidogo nilikuwa vizur mwanzoni ila kwa sasa kama hali imeanza kurudi
 
Habari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi wa 11 hivi lakini lilikuwa linanitokea kwa baadhi ya siku ila kwa sasa linatokea kila siku. Tatizo hili huanza hunitokea pale tu ninapotaka kulala lakini nikifanikiwa kupata usingizi huwa sikohoi tena mpaka kesho yake.

Kikohozi hiki kuwa kinaambatana na makohozi machache ambayo nikiyatema ndo huwa napata nafuu. Mwanzo nilidhani ni nyumba nayoishi kuwa na vumbi lakini nmejitahidi sana kuisafisha ila hali bado inaendelea. Pia kwa mchana kuna muda kila nikicheka huwa kama napaliwa na kupata kikohozi naomba msaada wa ushauri wenu wakuu.
Jioni punguza kula halafu kunywa dawa za minyoo
 
Back
Top Bottom