Msimchape sio kosa lake. Nenda nae taratibu. Unatakiwa umwamshe kila siku hata mara tatu. Ni kazi kama hauwezi mnunulie pempers zipo zenye kama chupi ila hata akikojoa haozeshi godoro.Tunajitahidi sana kumwamsha usiku ili akojoe lakini bado ni ngoma nzito, niliwahi kutishia kwa FIMBO lakini hakuna matokeo mazur
Asante mkuu, hata leo nawaza nikawaone madokta wapo nane 8 niseme nao.Hilo ni tatizo walilonao baadhi ya watoto.
Ingawa nimesoma wengi humu wanasema ni kudekeza mtoto ambapo siyo kweli.
Wengi wanaobwabwaja hapa bila kutoa suluhisho wakidhani kuadhibu mtoto ndiyo suluhisho, ujue hao hawajakumbana na vikojozi na hawawezi kufanya lolote.
Kwanza tatizo hilo huwaandama watoto involuntarily kuanzia wakiwa wachanga hadi umri wa balekhe wa miaka 15 na kisha tatizo hilo hukoma na kuondoka lenyewe.
Akiendelea baada ya umri huo nenda hospitali kawaone wataalamu.
Sometimes ni kama ugonjwa.
Kaka yangu aliacha kukojoa akiwa form4 na hiyo ni baada ya kutumia dawa.
Wazazi walimtandika baadaye wakagundua jibu si kutandika.
Ila ilimsaidia sana kuwa msafi,yaani ni msafi Sana kuanzia sehemu anapolala, mavazi yake na mwili wake.
AsantePia usimkaripie,maana huwa wanaona kama wako chooni wanakojoa,kumbe wapo kitandani.Ni ndoto unaota umebanwa mkojo tena unaenda chooni kuja kushtuka kumbe yupo kashusha mzigo kitandani.
Ni kisaikolojia zaidi. Ataacha tu.
Akinywa maji iwe hata masaa mawili kabla hajakwenda kulala. Then before kulala akojoe. Then unamwamsha hata mara tatu usiku. Uwe consistent katika kumwamsha. Pia ongea nae vyema usimchape. Muulize nini kinamtokea hadi anajikuta kakojoa kitandani? Huyo ni mwanao. Kwani unafikiri yeye anapenda kukojoa kitandani?Hanywi mengi ni glasi moja tu
Alitumia mitishamba. Sijui ni ipi, ni muda mrefu sasa umepita. Nitajaribu kumuuliza.dawa gani hiyo ndugu?
Weka chemsha ndevu nyingi sio unaweka kamoja. Na anywe bila kukosa kwa siku saba au kumi na nne.Nilishajaribu hiyo japo sikumbuki kama zilifika Siku 7
Nini kilisaidie sasa akaacha?Kumwamsha usiku sio tiba, hii inamjengea mazoea ya kukojoa kila ikifika muda huo ikiwa hatoamshwa, ahimizwe kunywa maji mengi asubuhi na kukojoa kila mara mchana kutwa hadi ubongo utazoea.
Mkojo ni matokeo ya kunywa, muhimu ni kumdhibiti kunywa maji kuanzia mida ya jioni, au anywe kiasi kiduchu sana baada ya chakula.
Nimekuwa na mtoto wa hivyo, nilijaribu mbinu nyingi ikiwemo vitisho na vipigo kabla sijagundua hii, alikuja kukoma akiwa na miaka 13 kwa njia hii.
Ok naongelea tokana na uzoefu, nina mtoto wa ndugu yangu ninaishi nae ana miaka 11 bado alikua anajikojolea, nikamuuliza mama yake mtoto wako anashida gani mimi siwezi ishi nae, akasema kuna dawa anampa amekua akijikojolea kwa muda mrefu, nikamwambia haiwezekani akaniambia hata kaka yake alifika miaka 12 anakojoa akawa anatumia dawa.Hilo ni tatizo walilonao baadhi ya watoto.
Ingawa nimesoma wengi humu wanasema ni kudekeza mtoto ambapo siyo kweli.
Wengi wanaobwabwaja hapa bila kutoa suluhisho wakidhani kuadhibu mtoto ndiyo suluhisho, ujue hao hawajakumbana na vikojozi na hawawezi kufanya lolote.
Kwanza tatizo hilo huwaandama watoto involuntarily kuanzia wakiwa wachanga hadi umri wa balekhe wa miaka 15 na kisha tatizo hilo hukoma na kuondoka lenyewe.
Akiendelea baada ya umri huo nenda hospitali kawaone wataalamu.
Hiyo tiba lishe inaenda kuziba mirija wakati wa usiku ili asikojolee au ni imani tu.
Hapendi na ukimuuliza hata kwa upole anaonyesha kusononeka kabisa.Akinywa maji iwe hata masaa mawili kabla hajakwenda kulala. Then before kulala akojoe. Then unamwamsha hata mara tatu usiku. Uwe consistent katika kumwamsha. Pia ongea nae vyema usimchape. Muulize nini kinamtokea hadi anajikuta kakojoa kitandani? Huyo ni mwanao. Kwani unafikiri yeye anapenda kukojoa kitandani ?
Jaribu kunywa mkuu.Hiyo tiba lishe inaenda kuziba mirija wakati wa usiku ili asikojolee au ni imani tu
Soma post zote utakutana na nilioelezea, hatu coment for funy, kama wewe u do for funny sawa, namsaidia ili aamke amelala sasa, we ni mdogo sana huwezi elewa, so tulia, wengine humu ni watu wazima, nina comment navyotaka mimi ili imuelimishe na sio unavyotaka wewe na wengine, mimi ndiyo nampa ushauri mzuri, sio nyie na miti shamba, hiyo miti shamba inaenda kuziba mirija wakati wa usiku ili asikojoe ni mind set tu na imani yako, watoto hukua na tabia tokana na malezi ya wazazi. Garbage in garbage outHayajakukuta.
Una watoto wenye umri gani??
Umeshawahi kulea Mtoto anayekojoa??
Au umeamua tu kuchangia ili umponde mtoa mada!?!
Bro acha kusema hivyo huo ni ugonjwa ase na wat weng inawakuta hiyo hasa wadadaHatumuhukumu, ndiyo tunamkumbusha kuvuta shuka asubuhi, mtoto akifikia hatua anakojoa mpaka miaka 10 kweli kuna kauzembe sana,
Mitishamba gani, haya mambo ni mind set tu, wewe una watoto? Yaliyokutokea ni yapi yanayokupa uzoefuAlitumia mitishamba
Sijui ni ipi,ni muda mrefu sasa umepita.
Nitajaribu kumuuliza.
Yote inawezekana, usilalie upande mmoja, inaweza kuwa ni ugonjwa au pia ni uzembe wa wazaziBro acha kusema hivyo huo ni ugonjwa ase ja wat weng inawakuta hiyo hasa wadada
Mkuu nikujibu kistaarabu ingawa umentusi!Wewe acha ujinga, naongelea tokana na uzoefu, nina mtoto wa ndugu yangu ninaishi nae ana miaka 11 bado alikua anajikojolea, nikamuuliza mama yake mtoto wako anashida gani mimi siwezi ishi nae, akasema kuna dawa anampa amekua akijikojolea kwa muda mrefu, nikamwambia haiwezekani akaniambia hata kaka yake alifika miaka 12 anakojoa akawa anatumia dawa, ,
nikasema huu ni upumbavu nikaweka mpango kuna siku nikamtegea amekojoa tu nilimchapa sana, na kumpa mkakati akikojoa utalala chini na usiku weka alarm usituke ukakojoe, navyokuambia sasa ana miezi miwili hajajikojolea,
Mpeleke hosp...saa nyingine ni suala la mishipa ya fahamu ..usimpgeTunajitahidi sana kumwamsha usiku ili akojoe lakini bado ni ngoma nzito, niliwahi kutishia kwa FIMBO lakini hakuna matokeo mazur
Ukweli mtupu!!! Mm binafsi nakumbuka nilikuwa naumwaga mwingi tu, nikiwa na umri huo.Hilo ni tatizo walilonao baadhi ya watoto.
Ingawa nimesoma wengi humu wanasema ni kudekeza mtoto ambapo siyo kweli.
Wengi wanaobwabwaja hapa bila kutoa suluhisho wakidhani kuadhibu mtoto ndiyo suluhisho, ujue hao hawajakumbana na vikojozi na hawawezi kufanya lolote.
Kwanza tatizo hilo huwaandama watoto involuntarily kuanzia wakiwa wachanga hadi umri wa balekhe wa miaka 15 na kisha tatizo hilo hukoma na kuondoka lenyewe.
Akiendelea baada ya umri huo nenda hospitali kawaone wataalamu.