Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya hapa mkuu tufaidike sote, majanga haya leo unasikia kwa mwenzako kesho linakukuta wewe unaanza kuhangaika, wengi ni wazazi humu tusaidiane.Kama upo serious njoo DM nkupe maelezo ya dawa ya kufanya ndani ya week 3 utaleta mrejesho ni buree
Chukua ndevu za mahindi zikaushe au zichemshe na maji yake MPE anywe kila siku asubuhi na jioni ndani ya wiki atakuwa ameachaNina bint wa miaka 9 ila ana tatizo la kukojoa kitandani, yaani anaweza kukojoa hata mara mbili kwa usiku mmoja. Pia hata mchana akilala anaweza akakojoa pia.
Msaada please.
Wapi hilo duka tuelekeze kama ni Dar.Dawa zipo hospital tena bei rahis kabisa zinakaza mirija ya mikojo..mie pia mwanangu alikua na shida hiyo nimehangaika dawa zote za kienyeji lakin wap baadae ndo nikaenda duka la dawa nikapewa na sasa kapona ila zinahitaji uvumilivu maana anaeza tumia miezi zaid ya mitatu ndo uone matokeo mazuri
Dawa ndogo sana!Nina bint wa miaka 9 ila ana tatizo la kukojoa kitandani, yaani anaweza kukojoa hata mara mbili kwa usiku mmoja. Pia hata mchana akilala anaweza akakojoa pia.
Msaada please.
Chukua ndevu za mahindi zikaushe au zichemshe na maji yake MPE anywe kila siku asubuhi na jioni ndani ya wiki atakuwa ameacha
Samahani wew ni Dk?Amitriptline tablets.
Over
Mwambie akiwa anaota either anaenda chooni au yuko chooni/kichakani anataka kukojoa basi mwambie aamke haraka sana kabla hajakojoa.Nina bint wa miaka 9 ila ana tatizo la kukojoa kitandani, yaani anaweza kukojoa hata mara mbili kwa usiku mmoja. Pia hata mchana akilala anaweza akakojoa pia.
Msaada please.
Nina bint wa miaka 9 ila ana tatizo la kukojoa kitandani, yaani anaweza kukojoa hata mara mbili kwa usiku mmoja. Pia hata mchana akilala anaweza akakojoa pia.
Msaada please.
Hii inshu usiombe ikukuteKukojoa kusikieni jamani tulikuwa tunakaa na jamaa above 18 hostel alikuwa anakojo kila siku yaan haipiti siku hata moja
Yeye wakati wengine tunaamka kwenda kupiga msuli asubuhi inabidi yeye awahi ziwani kwenda kufua mashuka kila siku jamaa alikuwa inferior sana yani sana alikuwa hawezi kugombana na mtu maana alikuwa anajua weakness yake ilipo.
Kuna kipindi alikuwa ana gombania msichana na jamaa sasa demu akamuelewa mshikaj ,opponent wake baada ya kuona hivyo akaenda kumwamba demu eti unaringa na huku unadate na kikojoz demu akamtema jamaa siku ile ile.
Nakumbuka baada ya mikojo kuzidi tukapanga tununue viroba tunywe sisi marafiki zake tumwabie ukweli maana kwa aibu ile hakuna aliyekuwa na kifua cha kumwabia , wengine wakaamua kuwa ikifika saa 7 mtu ajitolee kumshitua.
Kuna siku ya kufunga ikafika watu tukawa kila mti anatoa godoro anaamisha kukusanya kwenye chumba maalumu lakini yeye akagoma hatoi bado ataendelea kuwepo kufika usiku akapaki vitu vyake akasepa akaacha godoro sasa ile mwalimu kupita akasema mbona huyu jamaa kaaga kumbe hajarudisha godoro ebu chukua ulilete huku daa kulinyanyua mkojo uliokuwepo sio wa dunia hii mpaka mwalimu akashanga.
Chini kwenye chaga alikuwa ametafuta karatasi ngumu za nailoni kubwa ameweka yaani zimejaa mkojo kama lita tano lakini mkojo umetuama tu haupiti chini.
Asante sn mkuu. Hii ya alarm nmeifanya sana. Unaweza enda muamsha unakuta ashakojoa. Au naweza mwamsha akakojoa chooni lkn akirudi kulala baada ya muda anakojoa tena. Mpk nmepeleka kwenye maombi jamaniHii inaitwa enuresis. Daktari wa mfumo wa akili hasa wa watoto atakusaidia.Tatizo liko kwenye mfumo wa fahamu. Ubongo wa binadamu unafanya kazi masaa 24. Kibofu kikijaa ujumbe unafika kwenye ubongo na usingizi unapata.
Mtoto wa miaka miwili bado mishipa ya fahamu pamoja na sphincter zinajijenga lakini miaka mitatu watoto wengi huwa wanaamka. Wengine hufika miaka 5 lakini 12 ni tatizo.
Weka alarm ya kukuamsha umpeleke choo ni kila baada ya masaa manne.