Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Mimi nahisi umuamshe kila baada ya masaa manne akojoe, usiwe discouraged ukimkuta amekojoa baada ya masaa hayo manne, wewe fanya hivyo iwe routine, hali iki improve unaongeza masaa yanakua sita badala ya manne. Usimkaripie au kumzodoa as stress can also cause incontinence.
 
Hii inaitwa enuresis. Daktari wa mfumo wa akili hasa wa watoto atakusaidia.Tatizo liko kwenye mfumo wa fahamu. Ubongo wa binadamu unafanya kazi masaa 24. Kibofu kikijaa ujumbe unafika kwenye ubongo na usingizi unapata.

Mtoto wa miaka miwili bado mishipa ya fahamu pamoja na sphincter zinajijenga lakini miaka mitatu watoto wengi huwa wanaamka. Wengine hufika miaka 5 lakini 12 ni tatizo.

Weka alarm ya kukuamsha umpeleke choo ni kila baada ya masaa manne.
Nimekuelewa Dr sky Eclat,

Lakini kuna mtoto wa shangazi alikuwa hivyo hivyo kikojozi kamaliziwa dawa zote aliendelea kukojoa hata kila mtu Home alishikwa na hamu ya kumuamsha mara Kwa Mara ila akirudi kulala tu anakojoa kabla ya kuamshwa tena
Aliendelea hivyo hivyo hadi miaka 17 anamaliza form 4. Kwa bahati kabla majibu akaposwa. Watu wakawa na wasiwasi Sana kesho harusi Leo kakojoa. Ilitia wasiwasi watu kuona kutakuwa na aibu. Siku ya harusi akachukuliwa na mume kuingiliwa tu, ndio ilikuwa mwisho wa kukojoa.

Sasa inawezekana hilo ni tatizo hadi kuolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asinywe maji mengi usiku, uwe unamuamsha usiku wa manane kwenda kukojoa

Cc Nissan
 
Nimekuelewa Dr sky Eclat,

Lakini kuna mtoto wa shangazi alikuwa hivyo hivyo kikojozi kamaliziwa dawa zote aliendelea kukojoa hata kila mtu Home alishikwa na hamu ya kumuamsha mara Kwa Mara ila akirudi kulala tu anakojoa kabla ya kuamshwa tena
Aliendelea hivyo hivyo hadi miaka 17 anamaliza form 4. Kwa bahati kabla majibu akaposwa. Watu wakawa na wasiwasi Sana kesho harusi Leo kakojoa. Ilitia wasiwasi watu kuona kutakuwa na aibu. Siku ya harusi akachukuliwa na mume kuingiliwa tu, ndio ilikuwa mwisho wa kukojoa.

Sasa inawezekana hilo ni tatizo hadi kuolewa.
Jamaa yangu kipindi hichoo hadii 4m 4 anamaliza alivyo anza ishu za kula mizigo na kujichanganya na starehe ikaishaaa mpaka na leoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah pole sanaaa. Nina experience na hilo tatz[emoji119][emoji119]..kwangu liliacha tu lenywe baada ya kutok mazingira ya home. Form 5 hioo. O level nilisom bording tanga tech but kwa aibu nilikuw nalal nyumbani kwa wizi. All in all nashkur Allah liliisha japkuw liliathiri perfomance yangu shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah pole sanaaa. Nina experience na hilo tatz[emoji119][emoji119]..kwangu liliacha tu lenywe baada ya kutok mazingira ya home, form 5 hioo, o level nilisom bording tanga tech but kwa aibu nilikuw nalal nyumbn kwa wizi. All in all nashkur Allah liliisha japkuw liliathiri perfomance yangu shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaur wangu mshaur asione tatz kuw ni special sana aone ni kawaid wap weng wanapitia na itaish...pia ajaribu kutoka nje ya mazingira ya nyumbani afnye kegel exercise amuombe Mung sababu matatz haya muda mwngn yanahusishwa na mapepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12 sasa anaingia class 7. Anakojoa kitandani kila siku. Kwa mwezi anaweza asikojoe mara moja au mbili tu. Lakini siku zote hizo anakojoa sana.

Katumia dawa za kienyeji, za kimasai pia lakini imeshindikana. Nikampeleka hospital kuna vidonge alipewa. Walisema akinywa ndani ya siku 30 tatizo litaisha. Hakuna unafuu. Nikampeleka Muhimbili kuna Dr niliambiwa anasaidia lakini ilishindikana. Dr alisema hali itaisha yenyewe.

Yeye binti pia haipendi hii hali. Maana huwa anakuja na njia nyingi za kupona tatizo lake kama kunywa maji ya mchele, kunywa maji ya nazi, kuchemsha yale manyoya ya mahindi mabichi nk.

Sasa anakaribia kukua na soon ataenda form one boarding.

Naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua dawa au Dr anaweza msaidia please. Tupo Dar
Inawezekana ni tatizo la ubongo kushindwa kufanya kazi sawasawa, Nitafute, ninayo product inayofanya brain activation.
 
Wakuu heshima kwenu. Naomba yeyote anayejua dawa yoyote ya kutibu kikojozi anishauri. Nina mwanangu ana umri Wa miaka 11 bado anakojoa kitandani. Juhudi za kumsaidia aache ikiwepo kumwekea alarm zimeshindikana. Nawasilisha.
 
Utotoni tulikuwa tunatishwa ki-saikolojia tu.

Mara tutakuvunga chura utembee nae mtaa mzima na godoro wakiimba kikojozi.
Mara maji ya mchele.

Ngoja waje mkuu kukusaidia.
 
Nini suluhisho sahihi na rahisi kuhusu tatizo hilo la kukojoa kitandani?
 
Rejea mada tajwa hapo juu.

Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 10 sasa lakini bado anakojoa kitandani, nafikiria kwa umri huu ni mkubwa mtu kukojoa kitandani.

Tafadhali wakuu naomba mnisaidie nini chakufanya, kuna tiba ya tatizo hilo?
 
USHAURI:
Kila akikojoa kamnunulie zawadi na keki uipeleke shuleni kwao, wafanye sherehe kubwa Sana. Maana kukojoa miaka 10 ni kipaji cha kuendelezwa. Asante Baba Junior
 
Rejea mada tajwa hapo juu.
Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 10 sasa lakini bado anakojoa kitandani, nafikiria kwa umri huu ni mkubwa mtu kukojoa kitandani.
Tafadhali wakuu naomba mnisaidie nini chakufanya, kuna tiba ya tatizo hilo?
Umemuendekeza, like serious huwezi kutumia hata force kumuweka sawa? Wazazi mna malezi ya kudekeza sana, mtoto anafikaje miaka 10 anakojoa
 
Rejea mada tajwa hapo juu.
Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 10 sasa lakini bado anakojoa kitandani, nafikiria kwa umri huu ni mkubwa mtu kukojoa kitandani.
Tafadhali wakuu naomba mnisaidie nini chakufanya, kuna tiba ya tatizo hilo?
Hii ni matokeo ya mzazi kuchekachekea ujinga, tunatakiwa tuwape watoto malezi yatakayo wajenga, mtoto anafikaje miaka kumi anakojoa? Labda kama ana anakaugonjwa.
 
Mzazi atueleze vizuri,je mtoto amemhimiza vya kutosha kuhusu swala la kutokujoa kitandani,au ukili udhaifu huo km hukufanya hivyo. Pili km umejitahidi imeshinfikana pia sema make kukojoa kwingine siyo uzembe,malezi au kutowajibika vzr kwa mzazi, pia kuna UGONJWA sema/ fafanua vzr usaidiwe.
 
Rejea mada tajwa hapo juu.

Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 10 sasa lakini bado anakojoa kitandani, nafikiria kwa umri huu ni mkubwa mtu kukojoa kitandani.

Tafadhali wakuu naomba mnisaidie nini chakufanya, kuna tiba ya tatizo hilo?
Anza kwa kumuamsha usiku akakojoa hata kama hana mkojo yani aamke 2 times usiku.
 
Back
Top Bottom