Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Hatumuhukumu, ndiyo tunamkumbusha kuvuta shuka asubuhi, mtoto akifikia hatua anakojoa mpaka miaka 10 kweli kuna kauzembe sana.Msimuhukumu mleta Uzi. Mpeni msaada, labda ugonjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatumuhukumu, ndiyo tunamkumbusha kuvuta shuka asubuhi, mtoto akifikia hatua anakojoa mpaka miaka 10 kweli kuna kauzembe sana.Msimuhukumu mleta Uzi. Mpeni msaada, labda ugonjwa
Tunajitahidi sana kumwamsha usiku ili akojoe lakini bado ni ngoma nzito, niliwahi kutishia kwa FIMBO lakini hakuna matokeo mazuri.Mzazi atueleze vizuri,je mtoto amemhimiza vya kutosha kuhusu swala la kutokujoa kitandani,au ukili udhaifu huo km hukufanya hivyo. Pili km umejitahidi imeshinfikana pia sema make kukojoa kwingine siyo uzembe,malezi au kutowajibika vzr kwa mzazi,pia kuna UGONJWA sema/ fafanua vzr usaidiwe
Nilishachapa fimbo sikufanikiwaHii ni matokeo ya mzazi kuchekachekea ujinga, tunatakiwa tuwape watoto malezi yatakayo wajenga, mtoto anafikaje miaka kumi anakojoa? Labda kama ana anakaugonjwa.
Halafu usifikiri lakini ni kweli kosa how miaka kumi? Mtoto wa miaka 3 tu anaweza asijikojolee, akawa anamka anakojoa kwenye poti yake regularly, ni namna unavyomzoesha mtoto, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Rejea mada tajwa hapo juu.
Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 10 sasa lakini bado anakojoa kitandani, nafikiria kwa umri huu ni mkubwa mtu kukojoa kitandani.
Tafadhali wakuu naomba mnisaidie nini chakufanya, kuna tiba ya tatizo hilo?
asante mkuu nitatekeleza hilo kuanzia leoMkojoze kabla hajalala, mkojoze kila baada ya masaa matatu then utakuja kunishukuru!
thank you, Ila hii nilishawahi jaribuMpatie kikombe kimoja cha maji yaliooshewa mchele anywe mida ya jioni, pia usiku asinywe maji mengi kabla ya kulala
Hilo ni tatizo walilonao baadhi ya watoto.Rejea mada tajwa hapo juu.
Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 10 sasa lakini bado anakojoa kitandani, nafikiria kwa umri huu ni mkubwa mtu kukojoa kitandani.
Tafadhali wakuu naomba mnisaidie nini chakufanya, kuna tiba ya tatizo hilo?
mkuu siyo uzembe ninajaribu kila aina japo sijampeleka hospital tuHatumuhukumu, ndiyo tunamkumbusha kuvuta shuka asubuhi, mtoto akifikia hatua anakojoa mpaka miaka 10 kweli kuna kauzembe sana,
Sio kuchapa tu ndiyo solution, mpe utaratibu utakao mjengaNilishachapa fimbo sikufanikiwa
Hii ni mila amaChemsha ndevu za mahindi kisha awe anakunywa maji yake yakiwa ya mepoa asubuhi na usiku kwa muda wa siku saba.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Anza kwa kumuamsha usiku akakojoa hata kama hana mkojo yani aamke 2 times usiku.
Nilishajaribu hiyo japo sikumbuki kama zilifika Siku 7Chemsha ndevu za mahindi kisha awe anakunywa maji yake yakiwa ya mepoa asubuhi na usiku kwa muda wa siku saba.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hii njia ni temporary tu. Jioni-usiku apunguze kunywa maji.Mkojoze kabla hajalala, mkojoze kila baada ya masaa matatu then utakuja kunishukuru!
Usiku kabla ya kulala anakunywa maji sana?Kabla ya kwenda kulala akakojoe na usiku midnight mwamshe akakojoe.
Kuna wangu mmoja ameacha kukojoa akiwa na miaka 8.Ila kusema ukweli nilichoka kumuamsha usiku ikabidi usiku akawa anavaa pempers. Sasa ana miaka tisa hakojoi tena kitandani,akibanwa anaamka mwenyewe kwenda chooni usiku.
Kaka Baba yake mwenyewe unaakili ya ki-ccm, wewe mwache akojoe tu. Akifikisha umri kama wa Wassira aka Tyson ataacha kukojoa.Rejea mada tajwa hapo juu.
Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 10 sasa lakini bado anakojoa kitandani, nafikiria kwa umri huu ni mkubwa mtu kukojoa kitandani.
Tafadhali wakuu naomba mnisaidie nini chakufanya, kuna tiba ya tatizo hilo?
Hayajakukuta.Umemuendekeza, like serious huwezi kutumia hata force kumuweka sawa? Wazazi mna malezi ya kudekeza sana, mtoto anafikaje miaka 10 anakojoa