Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Hofu kwako MziziMkavuFixed Point na wewe pia Bibie mpendwa hujambo lakini?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hofu kwako MziziMkavuFixed Point na wewe pia Bibie mpendwa hujambo lakini?
Lakini kuna swala la kuweza kurekebisha hali kwa kuongezea tu.
kwa watoto wenye miaka 6> basi waeuke kula vitu aina ya vimiminika baada ya saa kumi na mbili jion. hali hii itamfanya mtoto awe ameshakojoa japo mara 3 kabla ya muda wake wa kulala saa mbili usiku. hii inapunguza kiwango cha mkojo utakao tengenezwa usiku na pia kama mzazi akifanikiwa kumwamsha saa 7 usiku ili akoje basi over time tabia hii itastop.
Mkuu kama una mtoto wako au mtoto wa jamaa yako anakojoa kitandani jaribu dawa yangu itamsaidia inshallah.@InvisibleHahaha,
Dah!
MziziMkavu Ph.D. Babu wa Jamii Forums hahahahahahah karibuni sana Kwato la Ng'ombe linatibu maradhi mengi tu sio Maradhi ya kikojozi. Kwato la Ng'ombe nikianza kusema faida yake ninafikiri naweza kujaza hii Server ya Jamii forums JestinaInvisible nakusubiri leo na kwato lako la ng'ombe......hahahahhahahahahhhhhhhh huyo ndio mzizimkavu aka babu wa loliondo...hahahhahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mama mbavu zangu zinachomoka....:nerd::spy::yawn:
Ndio maana ikaitwa Dawa kuna Dawa Rahisi Dawa lazima şwe ngumu ndipo itakapofanya kazi mkuu Jomsembona dawa ngumu na ina masharti ivyo.
Kuna mimea inaota maeneo ya mkoa wa kagera, akikojoa usiku unampaka, zinawasha, hapo hatarudia tena make akipatwa na mkojo kisoikologia anakumbuka kuwashwa na hivo anaamka mwenyewe. mmea huo unaitwa'engenyi'
Vp Mkuu umeamka na kujikuta umelimwaga nini kwa bed?
Mola akusamehe bure, nina uhakika hiyo si akili yakoMkekete ataacha