Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Kuna baadhi ya Wanawake wana matatizo kama lako. Wanaweza kukaa miezi miwili/mitatu hata zaidi bila hii kitu na baada ya miezi hiyo yote ghafla mgeni anakuja kukutembelea. Kawaone wataalamu wakusaidie kwenye hili.
 
mwanamke unapokuwa huna mimba alafu hupati hedhi ni ishara mbaya sana, yaani wahi hospital ukajue tatizo ni nini maana sababu zaweza kutofautiana kati ya mtu na mtu.
 
Vitu km hivi nadhani vipo wazi muende hosp tu,ndio suluhisho! Nawahamasisha na watu wengine jamani km umejiona una tatizo lolote mwilini kamuone daktari hasa wa hosp za serikali
Kwanini za serikali Mkuu?
 
Kwanini za serikali Mkuu?

Kutokana na uzoefu wangu nao yaani ukijielezea tatizo anajua akufanyie kama ni vipimo gani au ushauri na siku zote nawaamini kutokana na kutatua matatizo,ila hizi nyingine madaktari wengine wanakua hawako qualified so jambo lolote laweza kutokea.
 
Nimekuelewa Mkuu japo haohao wengi wanafanya pia na kwenye private. Nadhani cha msingi ni mtu kuwa madaktari kama wawili au watatu hivi wa kuwatumia anapokuwa na matatizo ya kiafya
 
Nimekuelewa Mkuu japo haohao wengi wanafanya pia na kwenye private. Nadhani cha msingi ni mtu kuwa madaktari kama wawili au watatu hivi wa kuwatumia anapokuwa na matatizo ya kiafya

Ni kweli mku kama mimi ninaye daktari japo anayo binafsi,ila nlikuwa nkiwasaidia wengine ambao hawana utaratibu wa kuwa na daktari/ madaktari ambao wamewazoea
 
Mimi nimepitiliza siku zangu ilitakiwa nianze tar 9 june lkn hadi leo sijapata na nina uhakika sina mimba, maana nilikutana na mme wangu bila kinga siku ya sita na mzunguko wangu ni siku 26.naombeni msaana jaman kwa anayejua nini tatizo maana sina raha kabisa.na ninanyonyesha bado lkn sijawahi kupitiliza.
 
Mimi nina shida nimepitiliza siku zangu ilitakiwa nipate tar 9 june hadi leo sijapata nimechanganikiwa, japo nina uhakika sina mimba maana nilikutana na mme wangu siku ya sita na mzunguko wangu ni siku 26.sasa sijajua nn tatizo nahitataji msaada wenu. nanyonyesha lkn haijawahi kutokea kupitiliza siku zote hizi
 
asante sn mzizi mkavu.. nna tatz hilo kw mwezi Wa pl sasa..nmepma nmeambiwa nna left ovarian cysty kidogo.... lkn tatz hili nlpatw Miez mi4 nyuma nkarudia ultra sound Wakasema lmekwisha..ch ajabu nmepma tn nmeambiwa hvo na kukosa hedh..kabla nilikua nikipata..na niko ktk kipnd cha kutafta mtoto..safar hii inajrudia huku nikpatwa na MAUMVU SANA CHN YA KITOVU....
 
kigori nitafute kwa namba hizi kama upo dar au morogoro nikupatie utatuzi wa tatizo lako 0686251188
 
Habari za jioni wanakuu poleni kwa miangaiko ya kazi na majukumu.

Kwa ujumla ni hivi nina mdogo wangu ana matatizo ya kutopata hedhi yani anaweza kukaa muda takribani wa miezi minne bila ya kuona siku zake je tatizo ni nini?

Na je kipi kifanyike tuweze kuondoa hii hali kwake maana analalamika sana tumbo lakini hamna kinachotoka yani hapati hedhi.

Tafadhari naombeni msaada na mchango ya mawazo yenu juu ya hili maana tatizo kubwa kwake.
 
Mi nakushauri bora aende hospitali akaonane na mtaalam wa matumbo ya wanawake
 
Mwambie aende hospitali atabatiwa tiwa na hali yake itarudi kama kawaida kwa mwanamke kutopata siku zake sio jambo la kawaida linaweza kuja kumsababisha hata kuchukua muda mrefu bila kushika mimba awahi tiba mapema
 
Matumizi ya vipandikizi vya uzazi wa mpango na utoaji mimba ndio madhara yake.( ni moja ya sababu ) Dada zetu kuweni makini sana.
 
habari zenu wana forum, natumai m wazima.

naomben mnipe mwanga kidogo.
mke wangu mpaka sasa ana siku 15 hajapata hedhi, ameenda kupima mimba akaambiwa vipimo vinaonyesha hana ujauzito. nini tatizo hapo wakuu?
 
naomba unisaidie mzizi mkavu tatizo langu ni kuruka kwa miez naeza pata bleed mwezi huu alafu nakaa tena kama miez mitatu ndo inatokea tena. mwanzon ilikua inaruka mwezi mmoja lakn ikaendelea mpka miez mitatu minne ndo napata tena..je naweza kua na tatizo.?
 
Pole sana ndugu ningekushauri pia uende kupima Hormone zako Hospitali. Tumia hii dawa itaweza kukusaidia inshallah.
TIBA YA HEDHI INAYOCHELEWA KUTOKA KWA SIKU ZAKE AU KUTOKA KABLA YA SIKU ZAKE KUFIKA: Hapa maana yake ni kuwa baina ya hedhi mbili huenda yakakaribiana sana au kuachana sana kinyume na ada. Yaani siku za tarehe zake haziendi sawa Chukua bakdonise (parsley) gramu 50 kisha uweke ndani ya maji lita moja, ichemshe kwa muda wa dakika tano na ikishapoa uchuje. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili.
 
itabidi nikutafute unisaidie nami haya masuala pls
 
Back
Top Bottom